The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

Binamu yako alishaopoa kitambo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amefanya jambo jema ila mwambieni mwanaume yule aache kuwasakama wadada jamani Kha? Mpaka tunapotea njia kwa misakamo[/QUOTE]
Mimi sie jamani labda mnanifananisha, mimi sijawahi kuwasakama
 
Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)

(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.

Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Kaboom na atoto(Rogie anaiwangia)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)

NB: hii ni chitchat


5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Tuliza munkari kijana, Mambo mazuri....
 
On that day I will say I do On that day I will make a vow to you On that day I will tell the world I want to be with you Never to leave you Never to doubt you Never to ever stop falling in love with you You are an angel in human skin I feel blessed to be touching that skin Your beauty is skin deep My love for you is this deep You come close my heart beat skips My plan is to love you for keeps jje's
 
The ear to listen when you talk
The arm to keep you warm
The heart that won't stop thinking about you
And more of these, I promise my love.
I love you jje's
 
Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Usijali jery.
 
yaani hapo wamegonga mwamba kbsa hawatuwezi.

tulikaa tukajifunza ile fomula ya kuwa pamoja.

acha nifunguke hapa.

unajua kabla ya kuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, wazazi wa pili, ndugu, jamaa na rafiki wa tatu.

ila ukishakuwa na mpenzi/mume/mke; Mungu ni wa kwanza, mpenzi/mume/mke wa pili, watoto wa tatu, na nne ni ndugu, jamaa na marafiki.

so sisi tumekubaliana hilo. uko hapo mkuu.

LadyAj atajisumbua tu nimeshamwambia atuache.
Binamu hujamtaja hapo [emoji23] [emoji23] weka binamu wa ngapi hapo maana michezo yoote umemkuta anajua mie ndo nimemfunza, chezea kazi ya binamu wewe
 
Idea nime create mwenyewe inanitokea puani sasa dah [emoji15] watu wanatajwa kuwa best kapo mimi siipo watu wanawataja wapenzi wao mimi sipo bhaasi hata wa kunyapianyapia pia sipo nitakuwepo waapi sasa mimi [emoji24][emoji24][emoji24]
Ukiona hivyo jua una bahati ya paka kupendwa na wachawi
 
Back
Top Bottom