LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Kwani akija atanasa [emoji14] [emoji14] [emoji14]hapa hakunaga basi umegonga mwamba, tumekula ile kitu inaitwa "amini"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani akija atanasa [emoji14] [emoji14] [emoji14]hapa hakunaga basi umegonga mwamba, tumekula ile kitu inaitwa "amini"
mbona umejua mapema hivyo? basi bora ujisepee tu huna namna kwa ajili ya afya yakoKwani akija atanasa [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Tunakujaga kuangalia palipopungua tupajaze [emoji4] [emoji4] [emoji4][/QUOTE]haaaahhahahahah mnatufatilia kwa karibu eeeh, nimeona mnavyotuchabo
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]mbona umejua mapema hivyo? basi bora ujisepee tu huna namna kwa ajili ya afya yako
haaaa hiii haifai, y makapuku. b4 asking for the change of title, you should explain y makapuku couple.badili title iwe makapuku couple
unajua sipendi ndugu wa honey angu ateseke, so nakupa tahadhari mapema.[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
[emoji50] [emoji50] [emoji50] nalivua pendounajua sipendi ndugu wa honey angu ateseke, so nakupa tahadhari mapema.
ni wewe tu kuchukua steps.
gud gud of you.[emoji50] [emoji50] [emoji50] nalivua pendo
Heshima kwa binam
Nitakupa karaha badala ya rahaacha uchoyo hebu nipe raha mtoto wa mwanamke mwenzio,
Ha haa kuna watu mnatafuta stress kwa nguvu zotehivi hujui ngumi ya mpenzi haiumi,
mi nipo tayari kuvumilia we nipe hivyo hivyo,
mimi padri lakini au umesahau tenaaSista mimi bana
duuuh miaka minne umri wa mtoto huooYes 2012
AbeeeAisee we mtoto!!
We haya tukukukosa wewe ni stress kubwa kuliko kukupata kwa karaha,
Kumbe! Sangapi tukutane jimboni sasa?mimi padri lakini au umesahau tenaa
Sina kizuri zaidi ya mabayajamaani kizuri mpe na mwenzio,
ukija kuosha vyombo mama tena leo nimekuandalia na mkateKumbe! Sangapi tukutane jimboni sasa?
Basi sawa,sakrament muhimu sanaukija kuosha vyombo mama tena leo nimekuandalia na mkate
We jipe mahope tuwaswahili wanasema "ganda la mua la jana chungu kaona kivuno"
nishakupenda boga sina budi kupenda na maua yako,
njoo hivyo hivyo na mabaya yako,