The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

nakwaambia nimeshaandaa mabomu yangu hapa, halafu nimeyatengeneza locally cjui kama watatoboa.
Zidisha mahaba mama...mabomu yanaweza kuexpire...
 
ndo mabomu yenyewe Daby loooh, umenifanya nifunguke hapa
[emoji23][emoji23] LadyAJ mbona kmy au kaenda kutafuta B52 ya nagasaki na hiroshima baada ya kusikia mabomu yako
 
hata afanyeje hawezi Daby, si nimeshafunguka? nini hujakisoma bado?
 
Aya...naona mmeitana na bae wako. BTW, akikuliza sitakuwa tayari kuona unamwaga chozi..ntakufuta [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
aku hakuna kulizana hapa, usitegemee looooh STUNTER umemsikia Daby jaman?
 
Dear jje's ,
Sitokuahidi kwamba sitokufanya ulie,
Bali NAKUAHIDI Kukufanya utabasamu kabla hata machozi hayajakauka mashavuni mwako,
Nakupenda sana Bae
 
Back
Top Bottom