The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

nitaacha, nataka kujua ukweli leo
Hivi kuna nin mbona unataka kufaham mambo ya sumbai lkn!
Kama ni kwel ni blood bro...niambie ni wa wapi tumalize utata
 
Mm namwinda Evelyn Salt ila siku hizi simuoni kabisa, salamu zikufikie popote ulipo,
 
Hivi kuna nin mbona unataka kufaham mambo ya sumbai lkn!
Kama ni kwel ni blood bro...niambie ni wa wapi tumalize utata
haaaa nini huamini lakini? yule ni blood brother kabisa. sumbai njooo bhana umalize huu utata
 
Kaboom daaah......
Heaven Sent hivi kuhusu dad kaboom ni kweli????

Hivi bado upo na shemdarlingu wangu??
Aiseeeee[emoji16] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]

Okky mkuu!!! Hivi Kaboom yupo wapi??? Akirudi niona vita kuu ya ulimwengu

Aseeh huo ugomvi hauamliki. Sjui Rogie kampa nini atoto maana hasikiii

Mambo ya miamala....lazima umnase dada shemeji.

Kaboom yupo bize na biashara
vifuniko vya asali vinalipa
sana msimu huu

Sijui ni @atotoa au nan vile alisema ameacha sikuhizi ana toga vipini vile vya kwenye vitovu...
Anyway i miss him....
Yaani nyie watoto jamani!!
Mbona mmetuandama hivi lakini?
 
haaaa nini huamini lakini? yule ni blood brother kabisa. sumbai njooo bhana umalize huu utata
Sumbai anaish pale darajan pembeni, tamka in English...lkn ni dar, na kwa wazazi wake napafahm...wewe waishi arusha, wap na wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahaha weweeee sisi ni watafutaji jamani, ngoja nimpandie hewani akupigie loooh ulivyoniandama na vile sumbai naye kanyamaza ndo tabu tupu.

sumbai uko wapi vile? mbona umenyamaza sana lakini?
 
Ngoja nikwambie jirani, nami huku natafta tu, mwachie dadako cut b awe na sumbai na wewe uwe wangu jamn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
haaaa mie sumbai na cute b sina tabu kabisa, she will be my wifi anyway.

So mie nilitaka kujua tu ukweli wa baadhi ya maneno umeongea loooh. usinitafutie shida na my wifi khaaa.
 
Yalopita sio ndwele, sumbai kaokoka.
Hebu tuongee mambo yetu mrembo.
Vipi kabarua changu si ukajibu nifurahi?
 
kweli wamjua sumbai, ni kweli kaokoka hapo naanza kukuamini unamfahamu.

ila mengine sitaki bhana utaniharibia mwenzio.
 
haaaa mie sumbai na cute b sina tabu kabisa, she will be my wifi anyway.

So mie nilitaka kujua tu ukweli wa baadhi ya maneno umeongea loooh. usinitafutie shida na my wifi khaaa.

Ngoja nikwambie jirani, nami huku natafta tu, mwachie dadako cut b awe na sumbai na wewe uwe wangu jamn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hahahahaha weweeee sisi ni watafutaji jamani, ngoja nimpandie hewani akupigie loooh ulivyoniandama na vile sumbai naye kanyamaza ndo tabu tupu.

sumbai uko wapi vile? mbona umenyamaza sana lakini?

Sumbai anaish pale darajan pembeni, tamka in English...lkn ni dar, na kwa wazazi wake napafahm...wewe waishi arusha, wap na wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

haaaa nini huamini lakini? yule ni blood brother kabisa. sumbai njooo bhana umalize huu utata

Hivi kuna nin mbona unataka kufaham mambo ya sumbai lkn!
Kama ni kwel ni blood bro...niambie ni wa wapi tumalize utata

noooo don't tell me that, sumbai kuja ujibu makombora huku.

Anakamua nje ya cut b mbaya kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]

Sumbai ni wako usiku, mchana wenyewe wapo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh Teh. Wew QUIGLEY humjui sumbai mimi ndio namjua. Usimdanganye jje's.
Sumbai hana mwanamke zaidi yangu. Ila ngoja sumbai njia zake za siku hizi sizielew elew lazma anavimichepuko maana anaogopa hata kuniita wife hadharani. Namvumilia tuu.
 
Back
Top Bottom