The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

Kwenda kufanya official jobs kwa kutumia qualifications za bongo huwa ni ngumu mno, unless otherwise uwende ukajiendeleze hata kwa course za muda mfupi upate qualifications za kwao inaweza kuwa rahisi, unless otherwise uingie kwa mbinu nyingine then utafute connections za hizo kazi na ulipwe under the table.

ngoja nzichange change nikapiga kozi huko
 
Kwenda kufanya official jobs kwa kutumia qualifications za bongo huwa ni ngumu mno, unless otherwise uwende ukajiendeleze hata kwa course za muda mfupi upate qualifications za kwao inaweza kuwa rahisi, unless otherwise uingie kwa mbinu nyingine then utafute connections za hizo kazi na ulipwe under the table.
Kuna jamaa yangu yeye ameoa 🇩🇰 denmark bado hajapata “karatasi” ila kila baada ya muda huwa anaenda kumtembelea wife, jamaa ni mtu mechanics, so huwa akifika kule anatafuta hizi kazi za kulipwa chini ya meza so kwa miezi mitatu mpaka sita akirudi bongo anakuwa vichenji chenji vya kuvimba mjini.
 
Ila ticket ni lazima iwe go and return?vp work permit watakupaje wakati umeenda kama mtalii?
Kama umepata job offer ya uhakika ni lazima urudi nyumbani na uapply work visa.
 
I will go to the Bahamas, I have a Tourism Company here, I hear a lot of tourists, if you go to advertise our Parks, make a deal with one of the companies there, you will do well, I once did that to Hong Kong and other countries there, I got visitors and I continue to get visitors through there, but this island I hear has many visitors very...
 
Mkuu Isanga family Nimefurahi kufahamu kuwa tupo kwenye the same industry, mimi target market yangu ni Europe hasa Germany, macho madogo (chinese & korean ) wanakuja juu sana kipindi hiki. Vipi Bahamas wageni wengi ni wazawa ama mataifa mengine waliokwenda kula kiinua mgongo cha uzeeni???
Nitaenda Bahamas, nina Kampuni ya Utalii huko, nasikia watalii wengi, ukienda kutangaza Hifadhi zetu, fanya dili na kampuni moja ya huko, utafanya vizuri, niliwahi kufanya hivyo kwa Hong. Kong na nchi zingine huko nilipata wageni na naendelea kupata wageni kupitia huko, lakini kisiwa hiki nasikia kina wageni wengi sana...
 
Mkuu Isanga family Nimefurahi kufahamu kuwa tupo kwenye the same industry, mimi target market yangu ni Europe hasa Germany, macho madogo (chinese & korean ) wanakuja juu sana kipindi hiki. Vipi Bahamas wageni wengi ni wazawa ama mataifa mengine waliokwenda kula kiinua mgongo cha uzeeni???
Mla Bata Bahamas ni kama Spain ni rahisi kupata wageni ambao hawaijui Tanzania na ukiwaeleza wanakuja kwa wingi sana Germany sio kubaya ukienda nenda na hizi nguo za kimasai na vijola vile ukawagawie maana kule vinauzwa bei sana ila ukiweza kupata mwenyeji yeye ndio akuzungushe Germany kwenye makampuni ya hapo utapata wageni na pia soko kubwa lipo Spain ila ujue Kispaniola ndio inakua rahisi maana wale jamaa ukiongea na Kiingereza wanakujibu kispaniola hata Police bara barani...
 
Shukrani sana mkuu kwa mchango mzuri wa kujenga, wageni wengi ninaopata kutoka Germany ni connection za kazi zangu za nyuma ambao sasa wamekuwa marafiki na familia, hivi karibuni nitaenda kufanya market exhibition rasmi, mara ya mwisho kuwa kule ilikuwa 2019 ila haikuwa kikazi nilikwenda kwa masuala mengine.
 
OK sawa nenda utapata majibu mimi pia ntakua na safari ya huko nategemea December na pia ukiweza kata Nissan ipeleke Mikumi inasaidia kupata nauli hizi za kutafuta masoko pana wageni wengi wanakuwepo Mikumi na wanatumia muda mchache tofauti na mbuga na Northen Circuit ukiweza kata hata Cruiser iwe dashboard ndogo au kubwa tupambane maana Utalii unafanywa pia na Wageni kitu ambacho kupambana nao kwenye soko inatakiwa tutoe jasho kweli ila kipo kipindi itakua ni mavuno tu..
 
Mkuu Isanga family barikiwa sana kiongozi, Mimi nipo Northern circuit, kuna jamaa yangu mwaka jana alishift kutoka southern na kuja huku, amevuta Cruiser moja na kuanza kukodisha, alinigusia swala la kupeleka "vibanda wazi" mikumi kwaajili ya day trips ila sikumzingatia sana, ila kwa mara nyingine nasikia kutoka kwako that means hii kitu inalipa hasa ukiconnect na kampuni za zanzibar nasikia wanamwaga vichwa Minapa kama njugu. Ngoja tuone season hii itatupa nini, kama mambo yatakaa sawa nitavuta hata visuzuki old model nivikate.
 
Gari yeyote kata iwe ya Diesel hata prado nimeona wamekata kule hata Surf au zile Land Cruiser za kizamani kule hakuna complications nyingi kama huku kwetu..maana wanapokea asubuhi wanapiga game mpaka Lunch saa sita harafu wanarudi kupiga game mpaka saa kumi wanawapeleka kwenye ndege ukipata gari kwa mara ya kwanza kaa nayo mwenyewe hata mwezi mzima usome mazingira ndio uwaachie msimamizi wako huko...
 
Pamoja sana kiongozi, shukrani.
 
Kuapata uraia, or passport ya bahamas kipi ni rahisi?!
Itakuchukuwa 6yrs kupata uraia wa Bahamas
 
Back
Top Bottom