The Tourist: Let's go to Bahamas, a way forwad to USA

Nida ndo wananichelewesha Nina namba tu I'd sina...inakuwaje hapo
Ukipata namba tu unaweza kuendelea na process nyingine mkuu, kuna namna ukienda nida wanakupa mfanano wa id ya taifa lakini ni partial kwaajili ya kuprocess mambo yako ni kama kikaratasi kimekuwa laminated hivi.
 
Nahitaj ndan ya siku 5 hicho kitabu napataje? Niandae bei gan
 
Kikubwa kuandaa dokomaa zako vyema tu mkuu, sababu za msingi za kuomba passport, kama ni kwenda kusoma basi uwe na ushahidi wa admission, kama kibiashara uwe na takataka za tra kuthibitisha biashara unazofanya, kama kutembea uwe na invitation letter n.k docomaa nyingine ni common.
 
Nataka nikale bata nje..
 
Wanaa hao hapo wanataka kuingia nchi ya mito na maziwa kupitia Florida 😂😂
DEA90F14-2EE9-4DDB-9E5E-452C86018AA8.jpeg
 
nimeenda baadhi ya nchi za afrika kama zambia bostwana zimbabwe malawi ila sijafanikiwa kumfikia mzee wangu ambaye alfika mpka Japan.

Huwa ananicheka kuwa mm mzembe, nataka nikanyage US ila nawaza namnaa au mbinu
Hongera sana kwa exposure mkuu, as long as tupo hai bado chances zipo kutimiza malengo yako.

Namna ya kuingia US, ina vary kati ya mtu na mtu mkuu, kutegemea kipato, connections na hata shughuli tuzifanyazo.
 
nataka nkapige fani za madini. yani migodi ya kule,
 
Kwenda kufanya official jobs kwa kutumia qualifications za bongo huwa ni ngumu mno, unless otherwise uwende ukajiendeleze hata kwa course za muda mfupi upate qualifications za kwao inaweza kuwa rahisi, unless otherwise uingie kwa mbinu nyingine then utafute connections za hizo kazi na ulipwe under the table.
 
Back
Top Bottom