promethus
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 1,164
- 1,901
Thanks mkuu kumbe pesa ya kawaida tu,vp process na kila kitu yaweza inachukua muda gani mpaka kuipata?Laki na nusu hizi za mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mkuu kumbe pesa ya kawaida tu,vp process na kila kitu yaweza inachukua muda gani mpaka kuipata?Laki na nusu hizi za mpya
Nida ndo wananichelewesha Nina namba tu I'd sina...inakuwaje hapoKiutaratibu ni siku 7-10, ila ukipenyeza rupia siku tatu tu kitabu kipo mkononi.
Ukipata namba tu unaweza kuendelea na process nyingine mkuu, kuna namna ukienda nida wanakupa mfanano wa id ya taifa lakini ni partial kwaajili ya kuprocess mambo yako ni kama kikaratasi kimekuwa laminated hivi.Nida ndo wananichelewesha Nina namba tu I'd sina...inakuwaje hapo
Nahitaj ndan ya siku 5 hicho kitabu napataje? Niandae bei ganUkipata namba tu unaweza kuendelea na process nyingine mkuu, kuna namna ukienda nida wanakupa mfanano wa id ya taifa lakini ni partial kwaajili ya kuprocess mambo yako ni kama kikaratasi kimekuwa laminated hivi.
Kikubwa kuandaa dokomaa zako vyema tu mkuu, sababu za msingi za kuomba passport, kama ni kwenda kusoma basi uwe na ushahidi wa admission, kama kibiashara uwe na takataka za tra kuthibitisha biashara unazofanya, kama kutembea uwe na invitation letter n.k docomaa nyingine ni common.Nahitaj ndan ya siku 5 hicho kitabu napataje? Niandae bei gan
Nataka nikale bata nje..Kikubwa kuandaa dokomaa zako vyema tu mkuu, sababu za msingi za kuomba passport, kama ni kwenda kusoma basi uwe na ushahidi wa admission, kama kibiashara uwe na takataka za tra kuthibitisha biashara unazofanya, kama kutembea uwe na invitation letter n.k docomaa nyingine ni common.
Wanaa hao hapo wanataka kuingia nchi ya mito na maziwa kupitia Florida [emoji23][emoji23]
View attachment 2634169
Hapana boss.
Hongera sana kwa exposure mkuu, as long as tupo hai bado chances zipo kutimiza malengo yako.nimeenda baadhi ya nchi za afrika kama zambia bostwana zimbabwe malawi ila sijafanikiwa kumfikia mzee wangu ambaye alfika mpka Japan.
Huwa ananicheka kuwa mm mzembe, nataka nikanyage US ila nawaza namnaa au mbinu
Hongera sana kwa exposure mkuu, as long as tupo hai bado chances zipo kutimiza malengo yako.
Namna ya kuingia US, ina vary kati ya mtu na mtu mkuu, kutegemea kipato, connections na hata shughuli tuzifanyazo.
Unamaanisha kwenda kuajiriwa ama?
nataka nkapige fani za madini. yani migodi ya kule,