Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Kwenda kufanya official jobs kwa kutumia qualifications za bongo huwa ni ngumu mno, unless otherwise uwende ukajiendeleze hata kwa course za muda mfupi upate qualifications za kwao inaweza kuwa rahisi, unless otherwise uingie kwa mbinu nyingine then utafute connections za hizo kazi na ulipwe under the table.
Kuna jamaa yangu yeye ameoa 🇩🇰 denmark bado hajapata “karatasi” ila kila baada ya muda huwa anaenda kumtembelea wife, jamaa ni mtu mechanics, so huwa akifika kule anatafuta hizi kazi za kulipwa chini ya meza so kwa miezi mitatu mpaka sita akirudi bongo anakuwa vichenji chenji vya kuvimba mjini.Kwenda kufanya official jobs kwa kutumia qualifications za bongo huwa ni ngumu mno, unless otherwise uwende ukajiendeleze hata kwa course za muda mfupi upate qualifications za kwao inaweza kuwa rahisi, unless otherwise uingie kwa mbinu nyingine then utafute connections za hizo kazi na ulipwe under the table.
Mkuu habari, bado upon Miami?Ahsante mkuu! Nipo Miami Florida mwaka wa tano huu namshukuru Mungu mambo yanaenda vizuri japo kuna watu walinikatisha tamaa kipindi hiko nafikiria kutoka kwenda kutafuta maisha nje ya Tz
Ila ticket ni lazima iwe go and return?vp work permit watakupaje wakati umeenda kama mtalii?Hakuna haja ya hiyo kitu, unaingia kama mtalii tu.
Ok vp kuhusu gharama za maisha zikoje ikiwemo chakula na malazi na upatikanaji wa ajira ambazo sio rasmiKama umepata job offer ya uhakika ni lazima urudi nyumbani na uapply work visa.
Nitaenda Bahamas, nina Kampuni ya Utalii huko, nasikia watalii wengi, ukienda kutangaza Hifadhi zetu, fanya dili na kampuni moja ya huko, utafanya vizuri, niliwahi kufanya hivyo kwa Hong. Kong na nchi zingine huko nilipata wageni na naendelea kupata wageni kupitia huko, lakini kisiwa hiki nasikia kina wageni wengi sana...
Mla Bata Bahamas ni kama Spain ni rahisi kupata wageni ambao hawaijui Tanzania na ukiwaeleza wanakuja kwa wingi sana Germany sio kubaya ukienda nenda na hizi nguo za kimasai na vijola vile ukawagawie maana kule vinauzwa bei sana ila ukiweza kupata mwenyeji yeye ndio akuzungushe Germany kwenye makampuni ya hapo utapata wageni na pia soko kubwa lipo Spain ila ujue Kispaniola ndio inakua rahisi maana wale jamaa ukiongea na Kiingereza wanakujibu kispaniola hata Police bara barani...Mkuu Isanga family Nimefurahi kufahamu kuwa tupo kwenye the same industry, mimi target market yangu ni Europe hasa Germany, macho madogo (chinese & korean ) wanakuja juu sana kipindi hiki. Vipi Bahamas wageni wengi ni wazawa ama mataifa mengine waliokwenda kula kiinua mgongo cha uzeeni???
Shukrani sana mkuu kwa mchango mzuri wa kujenga, wageni wengi ninaopata kutoka Germany ni connection za kazi zangu za nyuma ambao sasa wamekuwa marafiki na familia, hivi karibuni nitaenda kufanya market exhibition rasmi, mara ya mwisho kuwa kule ilikuwa 2019 ila haikuwa kikazi nilikwenda kwa masuala mengine.Mla Bata Bahamas ni kama Spain ni rahisi kupata wageni ambao hawaijui Tanzania na ukiwaeleza wanakuja kwa wingi sana Germany sio kubaya ukienda nenda na hizi nguo za kimasai na vijola vile ukawagawie maana kule vinauzwa bei sana ila ukiweza kupata mwenyeji yeye ndio akuzungushe Germany kwenye makampuni ya hapo utapata wageni na pia soko kubwa lipo Spain ila ujue Kispaniola ndio inakua rahisi maana wale jamaa ukiongea na Kiingereza wanakujibu kispaniola hata Police bara barani...
OK sawa nenda utapata majibu mimi pia ntakua na safari ya huko nategemea December na pia ukiweza kata Nissan ipeleke Mikumi inasaidia kupata nauli hizi za kutafuta masoko pana wageni wengi wanakuwepo Mikumi na wanatumia muda mchache tofauti na mbuga na Northen Circuit ukiweza kata hata Cruiser iwe dashboard ndogo au kubwa tupambane maana Utalii unafanywa pia na Wageni kitu ambacho kupambana nao kwenye soko inatakiwa tutoe jasho kweli ila kipo kipindi itakua ni mavuno tu..Shukrani sana mkuu kwa mchango mzuri wa kujenga, wageni wengi ninaopata kutoka Germany ni connection za kazi zangu za nyuma ambao sasa wamekuwa marafiki na familia, hivi karibuni nitaenda kufanya market exhibition rasmi, mara ya mwisho kuwa kule ilikuwa 2019 ila haikuwa kikazi nilikwenda kwa masuala mengine.
Mkuu Isanga family barikiwa sana kiongozi, Mimi nipo Northern circuit, kuna jamaa yangu mwaka jana alishift kutoka southern na kuja huku, amevuta Cruiser moja na kuanza kukodisha, alinigusia swala la kupeleka "vibanda wazi" mikumi kwaajili ya day trips ila sikumzingatia sana, ila kwa mara nyingine nasikia kutoka kwako that means hii kitu inalipa hasa ukiconnect na kampuni za zanzibar nasikia wanamwaga vichwa Minapa kama njugu. Ngoja tuone season hii itatupa nini, kama mambo yatakaa sawa nitavuta hata visuzuki old model nivikate.OK sawa nenda utapata majibu mimi pia ntakua na safari ya huko nategemea December na pia ukiweza kata Nissan ipeleke Mikumi inasaidia kupata nauli hizi za kutafuta masoko pana wageni wengi wanakuwepo Mikumi na wanatumia muda mchache tofauti na mbuga na Northen Circuit ukiweza kata hata Cruiser iwe dashboard ndogo au kubwa tupambane maana Utalii unafanywa pia na Wageni kitu ambacho kupambana nao kwenye soko inatakiwa tutoe jasho kweli ila kipo kipindi itakua ni mavuno tu..
Gari yeyote kata iwe ya Diesel hata prado nimeona wamekata kule hata Surf au zile Land Cruiser za kizamani kule hakuna complications nyingi kama huku kwetu..maana wanapokea asubuhi wanapiga game mpaka Lunch saa sita harafu wanarudi kupiga game mpaka saa kumi wanawapeleka kwenye ndege ukipata gari kwa mara ya kwanza kaa nayo mwenyewe hata mwezi mzima usome mazingira ndio uwaachie msimamizi wako huko...Mkuu Isanga family barikiwa sana kiongozi, Mimi nipo Northern circuit, kuna jamaa yangu mwaka jana alishift kutoka southern na kuja huku, amevuta Cruiser moja na kuanza kukodisha, alinigusia swala la kupeleka "vibanda wazi" mikumi kwaajili ya day trips ila sikumzingatia sana, ila kwa mara nyingine nasikia kutoka kwako that means hii kitu inalipa hasa ukiconnect na kampuni za zanzibar nasikia wanamwaga vichwa Minapa kama njugu. Ngoja tuone season hii itatupa nini, kama mambo yatakaa sawa nitavuta hata visuzuki old model nivikate.
Pamoja sana kiongozi, shukrani.Gari yeyote kata iwe ya Diesel hata prado nimeona wamekata kule hata Surf au zile Land Cruiser za kizamani kule hakuna complications nyingi kama huku kwetu..maana wanapokea asubuhi wanapiga game mpaka Lunch saa sita harafu wanarudi kupiga game mpaka saa kumi wanawapeleka kwenye ndege ukipata gari kwa mara ya kwanza kaa nayo mwenyewe hata mwezi mzima usome mazingira ndio uwaachie msimamizi wako huko...
Mkuu ulifanikiwa?Yani mim ipo day tu nitazamia USA, kuna mambo ngoja yakae fresh tu..
Ujasili ninao wa kutosha.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu tupe mrejesho kama upoUzi huu umenigusa sana mimi kwakua kusafiri sana ndo kitu ambacho nakipenda mno. Big up sana mleta uzi mwaka huu nakuhaidi kureta mrejesho hapa kutokea BAHAMAS.
Sent using Jamii Forums mobile app
niUzi huu umenigusa sana mimi kwakua kusafiri sana ndo kitu ambacho nakipenda mno. Big up sana mleta uzi mwaka huu nakuhaidi kureta mrejesho hapa kutokea BAHAMAS.
Sent using Jamii Forums mobile app