joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tatizo abiria hawaipendi KQ kwasabu ya huduma mbaya na nauli zipo juu, hata wakenya wenyewe hutumua mashirika mengine sio KQ.Mkuu kuepo kwa abiria wa kutua nakuunganisha katika uwanja wa nyumbani ni kiashiria kizuri katika biashara ya ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka NYC safari ilisitishwa.Ninataka kufika Mumbai na ATCL lakini naona haiwezekani eti ndege hazina kibali...nyani haoni kundule ila nikitaka kufika NYC naweza nikatumia KQ 😀😀
Ukiwa bepari ndiyo unapaswa uwe kaongokaongo?Sasa cha ajabu nini hapo Kenya ni taifa la kibepari
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ungemjibu.Siyo kuliogopa swali lake.Kama huelewi lolote Pita wima
Lakini Kwa Uchumi wa nchi KQ unachangia $3.2B (ksh 320 billion !!!!) .....Aliekuambia KQ wanapata faida ni nani.
FYI mwaka jana walipata hasara ya 4b za KE na mwakajuzi walipa zaidi ya 5b hasara
God save us
Kama nikweli kQ walipata hasara hivo sasa nimeelewa biashara ya ndege haina faida uwanja wa Jomo kinyata uko bzy kwelili kila baada ya dakika 10 ndege kutua au kupaa, sidhhani kama ATCL itapata faida yoyote kwa uwanja wetu ambao umedolora kwa abiria wa nje na pia Tz tunakosa tabaka la kati 'serious middle class' linalo tumia usafiri waanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes i wrote rubish instead of rubbish; we call that a miss out; hukujua hilo. An that proves that you are a coconut head.You are obviously ignorant of the most basic aspects of business and financial management. That's why you think I didn't understand what you posted and rubbish what I posted (well; you wrote "rubish" which means you don't understand English either).
Jamaa isije ukajumlisha na ndege za KLM maana hamchelewi kusema zenu.Lakini Kwa Uchumi wa nchi KQ unachangia $3.2B (ksh 320 billion !!!!) .....
Tena isitoshe KQ INA operate ndege 40, huyo mbunge anaulizia umiliki wa ndege 28
Soon hatutapita hapo baada ya ujenzi wa radar zetu kukamilika maana sasa tutakuwa tuna control anga letu wenyewe na ndege zitakuwa zinatua direct hapa.Fursakibao ukitaka kufika NYC lazima upitie NAIROBI upende usipende.
Tetesi: ACACIA yaikana BARICK GOLD mchana kuepe kwa press release na kusema haitambui makubalino kati ya barick na TANZAGIZA....Yani bado mnaliwa na beberu?
Hiyo ni kawaida na hiyo inatokana miaka hii ya karibuni Biashara ya sector ya ndege imeshuka sana. Embu tupe faida na hasara inayopata hii air Tanzania yetu.Aliekuambia KQ wanapata faida ni nani.
FYI mwaka jana walipata hasara ya 4b za KE na mwakajuzi walipa zaidi ya 5b hasara
God save us
Uzi unahusu KQ na si wakulima wa korosho.Hivi wakulima wa korosho wanarejeshewa/wanarudishiwa korosho zao na Serikali kwa kisingizio hazina ubora ili wakaziuze wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuliza sio ujingaUzi unabusu KQ na si wakulima wa korosho.
Acha ukiazi
God save us
Ukiwa bepari ndiyo unapaswa uwe kaongokaongo?
Kwanini tujadili tatizo moja la mtu wakati sisi tuna maghala ya matatizo?Uzi unabusu KQ na si wakulima wa korosho.
Acha ukiazi
God save us
Hatucheki ila swali ni kwanini wajivunie vitu wasivyo navyo?Wezi tu.
Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuziendesha tunao?