The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Wezi tu.

Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuliendesha shirika la ndege likaleta faida tunao? Maana tukumbuke Air Tanzania ilishakufa kabisa na jitihada za Magufuli tu ndiyo zinalifufua shirika hilo. Litadumu?

Usijali sweetheart, nyie muna excuse. Tuliwaibia ndege zenu mwaka wa 1977. Kama sivyo mngekua mwaogelea kwa faida.
 
mi nimekujibu ile comment yako ya awali ila ajabu una diverge sijui unazungumzia ufahamu sijui mali asili sasa hayo mambo ya mali asili ukamuulize baba jesca na top leaders ila mm kama mwananchi I have done my part, I went to school, to university, I pay taxes and other tolls ..... uchumi wa kenya kuwa mkubwa ni swala la investment na investors wanao na policies which all of Tanzania cries to,...
Wacha ujuha wewe. Unabishana nini hapa na Wakenya?

Una nini zaidi cha kuwashinda Wakenya? Shule imekusaidia nini?

Nakuona punguani tu.
 
Walitanguliza maslahi binafsi mbele,kama unafuatilia kwa sasa ukizingua unatoka,ukihujumu jela nidhamu imeongezeka,kwa sasa walau kuna hofu maana serikal iko macho muda wote ,utaratibu huu ukiendelea tunaweza sana Ila walilzegeza mijizi haiishi watafilisi

Sent using Jamii Forums mobile app

ATCL leases planes from your government, KQ leases planes from Kenyan businessmen. What's the difference?
 
Fursakibao ukitaka kufika NYC lazima upitie NAIROBI upende usipende.
Tetesi: ACACIA yaikana BARICK GOLD mchana kuepe kwa press release na kusema haitambui makubalino kati ya barick na TANZAGIZA....Yani bado mnaliwa na beberu?
Jibu kwa fact au lah km hauna cha kujengea hoja yenye mashiko sio ucomment upupu
 
Jamaa isije ukajumlisha na ndege za KLM maana hamchelewi kusema zenu.

God save us
Kama wanasema brt ya udart iko kwao,mlima kilimanjaro uko kwao,bakhresa,ali kiba,diamond wanatokea kwao watashindwa vipi kusema ndege za klm nazo ni za kwao!mkenya akisema maneno 100 neno lenye ukweli ni 1 tu kabila lake,kwenye kabila uwa awadanganyi
1528562253581d9e192aa1dd65f1dc36570daedba76707bdc2e9f457468e59e9fd70d4607a1e25d89c59f98581b28...jpeg
 
Kama wanasema brt ya udart iko kwao,mlima kilimanjaro uko kwao,bakhresa,ali kiba,diamond wanatokea kwao watashindwa vipi kusema ndege za klm nazo ni za kwao!mkenya akisema maneno 100 neno lenye ukweli ni 1 tu kabila lake,kwenye kabila uwa awadanganyiView attachment 1027982
Hawa wamevunja rekodi sasa

God save us
 
Kwahiyo tumekubaliana kuwa Serikali ya Kenya ina Ndege 3 tu.

God save us
The government of Kenya owns only one plane. The presidential plane. Kenya Airways is an independent parastatal that the government happens to have shares in.
 
Biashara ya ndege bila kua na kundi la watu wengi ambao ni 'middle class' ni bure kabisaa/hakuna biashara hapo.
 
We TAYO kwelii yaan una judge tu mtu simple simple kama vile unamfahamu.... Sasa Kenya wana Uchumi gani wakusema unatisha sanaaa.
Alafu unasema eti elimu imekusaidia nn ? Iv we una AKILI kweli ? Tazama LEMBA lako ilo utazani PAZIA la SINEMA
Wana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.
 
Nyie wa +254 njooni huku,maana mna kelele sana..
 
Wana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.
Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....
 
JKIA handles more passengers than the whole of Tanzania combined.

Iyo kweli kbs maana kenya wana jitangaza vizuri ktk sekta ya utalii so wageni wanao shuka hapo ni wengi pia lkn kimapato yatokanayo na utalii Tz ipo juuu ndugu
 
Hahaha
Kama wanasema brt ya udart iko kwao,mlima kilimanjaro uko kwao,bakhresa,ali kiba,diamond wanatokea kwao watashindwa vipi kusema ndege za klm nazo ni za kwao!mkenya akisema maneno 100 neno lenye ukweli ni 1 tu kabila lake,kwenye kabila uwa awadanganyiView attachment 1027982
..yani wanatia aibuu....
 
Back
Top Bottom