The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Wana uchumi karibia mara mbili wa Tanzania.
Uchumi wenyewe wa watu kukaa kwenye nyumba za mabati kwenye 21 century!duh
Screenshot_20190221-091744.jpeg
 
Hatucheki ila swali ni kwanini wajivunie vitu wasivyo navyo?

God save us
mashirika mengine hayamiliki kabisa ndege, lkn wana shirika na linajiendesha kwa faida!.......

KQ kutokua na ndege sio ajabu,,, ndio maana baadhi ya watz walishauri ili atcl isimame yenyewe bila gvt kuingia gharama ilitakiwa wakodishe ndege kwa biashara ya ndani, then wakifanikiwa hapo, wanakodisha zingine kwa ajili ya ukanda huu, then ndio watamalizia kimataifa.......

lengo ni kujenga uzoefu wa kujiendesha kwa shirika, kuijua biashara kwa undani, kuliko hv wanavipewa ndege za serikali hawatakua na pressure ya kudeliver!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....
nakubaliana na mengine unayosema ila taarifa za kiuchumi kutoka serikali ya awamu ya 5 sio za kuziamini kabisa..........

kama watalii walikuja wa kutosha, na bandari tunaambiwa inatema kwann kuna uhaba wa ajabu wa dola?.......

takwimu za serikali yetu awamu hii siziamini kabisa, wanazipandisha wkt ukweli ni tofauti.......

kuhusu maskini ni kweli, nimetembelea kenya kule hali sio kabisa,,, ukimwona maskini ni maskini kweli[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo kweli kbs maana kenya wana jitangaza vizuri ktk sekta ya utalii so wageni wanao shuka hapo ni wengi pia lkn kimapato yatokanayo na utalii Tz ipo juuu ndugu
mapato ya tz awamu hii tunapika mkuu........

wala sio jambo la kujifariji,,, awamu mapato wanayotangaza sio halisi........ nadhan umeona michezo waliyofanya kwenye korosho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapato ya tz awamu hii tunapika mkuu........

wala sio jambo la kujifariji,,, awamu mapato wanayotangaza sio halisi........ nadhan umeona michezo waliyofanya kwenye korosho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Izo data za mapato mzee hazijatolewa Na BOT wa GOT bali ni ripot ya WTC maamlaka ya utalii duniani
 
We TAYO kwelii yaan una judge tu mtu simple simple kama vile unamfahamu.... Sasa Kenya wana Uchumi gani wakusema unatisha sanaaa.
Alafu unasema eti elimu imekusaidia nn ? Iv we una AKILI kweli ? Tazama LEMBA lako ilo utazani PAZIA la SINEMA
Budget ya kenya ni U$ 30b yako 14b.

Bado unataka kusema nini kuhusu uchumi wako na Wakenya?
 
nakubaliana na mengine unayosema ila taarifa za kiuchumi kutoka serikali ya awamu ya 5 sio za kuziamini kabisa..........

kama watalii walikuja wa kutosha, na bandari tunaambiwa inatema kwann kuna uhaba wa ajabu wa dola?.......

takwimu za serikali yetu awamu hii siziamini kabisa, wanazipandisha wkt ukweli ni tofauti.......

kuhusu maskini ni kweli, nimetembelea kenya kule hali sio kabisa,,, ukimwona maskini ni maskini kweli
emoji134.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Budget ya kenya ni U$ 30b yako 14b.

Bado unataka kusema nini kuhusu uchumi wako na Wakenya?

hahahaha sijui una fuatilia mambo ya uchumi au unasoma tu na kupokea ? ukaisome iyo Budget ya B30 ukaione matumizi yake ndio uje tena hapa
 
hahahaha sijui una fuatilia mambo ya uchumi au unasoma tu na kupokea ? ukaisome iyo Budget ya B30 ukaione matumizi yake ndio uje tena hapa
Wewe wacha porojo budjet inasomwa matumizi siku inayotolewa. Halafu baadae hufanywa uhakika tu.

Halafu eti "msomi" wa chuo kikuu.

Haki ya Mungu, ikiwa wewe msomi wa chuo kikuu basi Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda..
 
Lakini Kwa Uchumi wa nchi KQ unachangia $3.2B (ksh 320 billion !!!!) .....
Tena isitoshe KQ INA operate ndege 40, huyo mbunge anaulizia umiliki wa ndege 28
Inachangia vipi wakati shirika halitengenezi faida ni hasara?, hivi wewe unajua uchumi na biashara au unaropoka?, KQ ni mzigo wa mavi kwa nchi na share holders. Huyo mbunge amesema KQ ina ndege tatu tu, hizi zingine nani wamiliki wake?, point is clear acha kukwepesha ukweli, KQ ina ndege tatu tu, zilizobaki ni ndege za kukodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mashirika mengine hayamiliki kabisa ndege, lkn wana shirika na linajiendesha kwa faida!.......

KQ kutokua na ndege sio ajabu,,, ndio maana baadhi ya watz walishauri ili atcl isimame yenyewe bila gvt kuingia gharama ilitakiwa wakodishe ndege kwa biashara ya ndani, then wakifanikiwa hapo, wanakodisha zingine kwa ajili ya ukanda huu, then ndio watamalizia kimataifa.......

lengo ni kujenga uzoefu wa kujiendesha kwa shirika, kuijua biashara kwa undani, kuliko hv wanavipewa ndege za serikali hawatakua na pressure ya kudeliver!

Sent using Jamii Forums mobile app

mi nina mtazamo tofauti na ww,.. lengo la izi ndege mi nafikiri ni kuboresha na kuvutia watalii zaidi kuliko kungojea mtalii azurure kwengine then ndio afikirie kuja kwetu ikumbukwe mtalii akija tz lazima apande midege ya hayo mashirika mengine kwanza na ukumbuke kuna faida ya kuwa na usafiri wa moja kwa moja toka huko watalii wanapo tokea ..mfano ATCL wakianza trip za ulaya assume wanatoka Berlin non stop to dsm .... ktk sekta ya utalii barani Africa inayo ongoza ni Moroco ikifuatiwa a South africa... sasa ipo hivi toka ulaya mpaka moroco ni short hole wakati SA ni long hole ... hivyo basi SA wana airline yao hivyo basi ni rahisi kwa mgeni kwenda SA sababu anajua atakama ni mbali lkn akipanda ndege let say London ni direct mpaka SA hivyo hivyo kwa Kenya (japo other factors pia zina boost tourism sector ) sasa kama TZ ikiwa serious ktk uwekezaji wa ATCL na promotion ya vivutio vya utalii hapa TZ hakika tuta inuka zaidi kimapato ... (kumbuka TZ ni ya pili kuwa na vivutio vingi duniani lkn pato litokanalo na utalii bado ni finyu )
 
hakuna ndege za KLM ndani ya KQ, ndege tuliokua tunaitumia pamoja na KLM ni ile boeing 747 ya cargo ambayo ilikua inapiga safari za China-Kenya, tuliwaregeshea wenyewe hio ndege..

16157965833_84d1c0bbf4_b.jpg
Sasa ndio mbunge wenu anataka kujua hizo ndege ni ndege za nani wakati KQ inamiliki ndege tatu pekee?, kuna uwezekano familia ya Kenyatta na wafanyabiashara wengine ndio wanamiliki hizo ndege, in Kenya anything can happen anyhow.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tatizo liko wapi?

Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?

Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?
Dada usijidhalilishe, Tafadhali tafajari kabla ya kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....
Mkuu nilikua nacheki report flani inasema 2018 Rwanda ilipata tourists 1.2mil,Tanzania ilipata 1,347,000.

Kitu ambacho naona si sawa hata kidogo,inawezekanaje tuwe na tourists kwa idadi hio wkt tuna kila aina ya kivutio hapa duniani wkt Rwanda zaidi ya wale Sokwe hawana vivutio vya maana.

Au labda kuna kitu sielewi mkuu?
 
Wewe wacha porojo budjet inasomwa matumizi siku inayotolewa. Halafu baadae hufanywa uhakika tu.

Halafu eti "msomi" wa chuo kikuu.

Haki ya Mungu, ikiwa wewe msomi wa chuo kikuu basi Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda..

nilisema mm ilo LEMBA lako TOA ndio lina kandamiza bongo yako kufikiri nje ya ilo LEMBA !!
mm nilikwambia ukasome matumizi ya iyo budget ... ? ila TOA LEMBA ilo kichwani mwenzako shamima begum kapokonywa uraia wake kabaki na LEMBA lake kama PoPo
 
Back
Top Bottom