The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Kisumu wana lake victoria na Mwanza wana lake victoria so tu assume fishing sekta as indicator of comparison then let go ....
Are you stupid? Did you leave your brain home? Have you stepped in an economics class?
 
Sio kujitangaza tuu, ukitangaza kibaya hakiwezi pata wateja juu umekitangaza. There is no proof that you make more from tourism than Kenya.

doh we mkenya gani mvivu hata ripoti zenye taarifa mbali mbali za uchumi usomi ? Kenya unaishi mji gani ww au malindi ?
 
Hivi wewe Kilaza unaona 21 ni 36% of 55? Na hivi unaona 26 ni 70% of 88? Rudi shule pumbavu wewe.
Mpumbavu mkubwa wewe, sisi tunazungumzia percentage not actual figure, acha ujinga wewe nyang'au wa Kibera, huna akili mpumbavu mkubwa wewe, jaribu kujifunza tofauti kati ya matumizi ya percentage na actual figures.

Sasa ngoja nikufunze, 70% ya GDP ya Kenya, ni pesa nyingi kuliko GDP ya Uganda, hii maana yake ni kwamba deni la Kenya ni kubwa kuliko uchumi wa Uganda, umeelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kujitangaza tuu, ukitangaza kibaya hakiwezi pata wateja juu umekitangaza. There is no proof that you make more from tourism than Kenya.
You might make more than us but jwa njia ya udanganyifu. Time will tell once tukiwa na anga yetu. Hili litakuwa pigo kwenu

God save us
 
Mpumbavu mkubwa wewe, sisi tunazungumzia percentage not actual figure, acha ujinga wewe nyang'au wa Kibera, huna akili mpumbavu mkubwa wewe, jaribu kujifunza tofauti kati ya matumizi ya percentage na actual figures.

Sasa ngoja nikufunze, 70% ya GDP ya Kenya, ni pesa nyingi kuliko GDP ya Uganda, hii maana yake ni kwamba deni la Kenya ni kubwa kuliko uchumi wa Uganda, umeelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe umeenda shule ama ulienda choo? Utapataje percentage bila kutumia the actual figure? Si nimekupa actual figures hapo nikakuuliza jinsi ulivyopata percentage maana percentage umepeana haziwiani na actual figures? Kubishana na mbongo ni kama kubishana na fisi.
 
Aisee kwa hio yale Mauaji ni sehemu pia ya utalii.

Wonders shall never end,thnxs mkuu nimeelewa.

So nasi tukikomaa na ATCL possibly uwezekano wa kufikisha labda 2mil tourists per annual pengine utakuwepo sio?
Ndio maana yake

God save us
 
Japan debt yao ni 100% of their GDP.
Chris Kirubi au Bakhresa hata akidaiwa 200% ya kipato chake, bado anakopesheka, kwasababu uchumi wake una strong base, wewe hata kama hudaiwi hata Shilingi moja, bado hukopesheki kwasababu huna strong base ya uchumi, wewe ni Kenya, na Japan ni Said Salim Bakhresa, umenipata?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe umeenda shule ama ulienda choo? Utapataje percentage bila kutumia the actual figure? Si nimekupa actual figures hapo nikakuuliza jinsi ulivyopata percentage maana percentage umepeana haziwiani na actual figures? Kubishana na mbongo ni kama kubishana na fisi.
Ndio sababu nimekuambia, Kenya japo ina uchumi mkubwa(Nominal), lakini pia ina madeni makubwa sana kuliko Tanzania, sasa ukitaka kupata actual working economy, utachukua GDP - Debts.
Kenya GDP -70%
TZ GDP -36%

Then utaangalia actual figures zilizobakia.
Kukurahisishia, 30%KE vs 64%TZ GDP.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha ujuha wewe. Unabishana nini hapa na Wakenya?

Una nini zaidi cha kuwashinda Wakenya? Shule imekusaidia nini?

Nakuona punguani tu.
Bibi huu mjadala hauhitaji hasira, jibu hoja kwa hoja.
Kumshambulia mleta hoja badala ya kujibu hoja ni kuishiwa hoja. Hapo utaonekana kituko.

BTW, Wakenya ni nani hata vijana wetu wasibishane nao kwa hoja!? Kama huu mjadala umekuzidi nguvu pita taratibu tu.
 
Tanzania external debt = $21 billion

Kenya external debt = $26 billion.

Hivi ni kusoma hamjui ama ni ujinga tu? 21 sasa imekua nusu ya 26? Alafu tia maanani Budget yetu ni zaidi ya mara mbili yenu na GDP yetu ni 160% yenu.
Acaha uongo mapaka mwaka jana mwezi wa 8 feni la Kenya lilikuwa $49b sawa na 56.4 of your GDP

If the IMF recommends that ratios of public debt to GDP should not be higher than 40% for developing countries.

Then to be fair, kenya with this level of debt is comparable to that of other developing economies.

Kwa kifupi ninyi ni developing country na sio developed kama mbavyojiita

God save us
 
Cha ajabu wanavyotuponda eti tuna ndege 7 wakati kumbe wao wana 3 tu

God save us
Mashindano ya kijinga kabisa. Yaani tunashindana nani anajibebesha gharama kubwa na hasara?

Hii biashara ya ndege Air India ilinyoosha mikono, na sina hakika kama walishapata mteja wa kumuuzia hiyo mikangafu
 
Sasa tatizo liko wapi?

Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?

Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?
Umeongea ukweli,lakini kumbuka mchawi alietufikisha hapa Watanzania ni CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom