Hivi unajidai kua mtaalam wa uchumi wakati hauelewi concept rahisi kama hio..... Hivi ukiambiwa utalii wa Tz unachangia $2B ka uchumi wa TZ hua unafikiria ni hoteli ndo zilitengeneza faida ya $2B
🙄🙄 ..... Hoteli ziko na wafanyikazi, wafnyikazi hulipwa mishahara, watalii hula chakula - wavuvi na wakulima huuzia mahoteli samaki na vyakula, gari za kwenda mbugani hutumia mafuta yanayouzwa na kampuni zengine, kuna kulipa kodi , hoteli na magari huhitaji kulipiwa insuarance... kuna wale wanaouza ushanga, kuna wanafanya biashara ya kukodisha maboti....... hao wote ukijumuisha ndo unapata hio $2B... Tena hapo hatujaongelea multiplier effect... Kwa mfano mtu anayechonga sanamu akiuzia watalii anapata hela ambayo anatumia kununua bidhaa ndani ya Tz na kufaidi kampuni zengine..
kwa mfano hii SGR yetu iliopata loss ya $100m mwaka jana, kwa uchumi wa kenya utakuta imechangia kama $400m kwa kurahisisha na kuboresha uchukuzi wa nchi ... mfano utakuta uchumi wa Mombasa umeongezeka kwasababu ya SGR...
Inasemekana traffic jam ndani ya Kenya inafanya uchumi wa nchi kupotea by $200Million kila mwaka, Nairobi pekee inapoteza $50,000 kila siku .... Hii inamaanisha Nairobi na Kenya nzima ikiwa na efficient transport system kama SGR na BRT, tayari uchumi una gain by $200m hata kama hizo kampuni zitakua zinapata loss!!!!
According to the government, the time wasted in traffic jams represents a cost of $578,000 (Sh58.4 million) a day in lost productivity. That’s more than $210 million (Sh2.1billion) a year. Which is the equivalent of an Anglo Leasing scandal every three years.
CHEESEMAN: Why traffic costs Kenya Sh2bn a year
Aviation industry Contributes $3.2Billion of 5% of Kenya's GDP, KQ controls like 70% of Kenyas aviation industry
The Kenyan aviation industry supports up to 620,000 direct and indirect jobs including employment in the tourism sector, a study by the International Air Transport Association (IATA) has concluded.
The aviation industry contributed nearly Sh330 billion ($3.2 billion) to Kenya’s economy, or 5.1 per cent of the country’s Gross Domestic Product (GDP), according to the IATA report.
IATA says Kenya’s aviation industry supports 620,000 jobs