The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

I asked the source that puts Kenya's debt at 70% idiot.
hawa jamaa ni malofa sana...kuna mmoja siku hyo alinimaliza...alidaisha internal debt ni sawa na madeni unayomdai jirani yako...nilicheka sana mkuu
 
Kama unataka total debt then why are you saying Tanzania's debt to GDP ratio is 36%? You're very stupid. Tanzania's total national debt is $28 billion. Is $28 billion 36% of 55 billion?

Please, bring us proof that Kenya's debt is 70% of GDP maanake naona ni kama una kichaa.
naona umekamata mtu makende...sasa hapo leo ataruka ruka hadi ushangae...si hawa ni wale wa 2%unemploymebt rate
 
hawa jamaa ni malofa sana...kuna mmoja siku hyo alinimaliza...alidaisha internal debt ni sawa na madeni unayomdai jirani yako...nilicheka sana mkuu
Hahaha............hawa achana nao. Sijui ni ujinga ama kusumbua tu.
 
Blaaah, blaah, blaah, hata hujulikani nini unachotaka kusema, points muhimu hapa ni mbili tu
1) KQ inamiliki ndege tatu tu, zilizobaki wamekodisha, hii si tatizo wala halina uhusiano wowote na kupata hasara wala faida kwa KQ, usijisikie vibaya kukubaliana.
2) Kwa miaka mitano mfululizo sasa, KQ inapata hasara, it makes losses, huu ni ukweli na haina uhusiano wowote na 70% share ya aviation industry wala kuchangia 5% ya GDP.

Haya maneno mengine yote ni kelele zisizo na maana, kanusha hizo point mbili hapo juu. Bunge lenu limekiri kwamba KQ ina ndege tatu pekee, wewe ni nani unapingana na bunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
blah blah blah...ATCL wanamiliki ndege sufuri...zilizobaki ni za CCM....
 
Sawa, nataka tu proof. Ukinipa nitakubali Tanzania ndio Babayao hili eneo.😅😅😅
huyu hana kitu bro...ujuwaji mwingi tu...alafu atuletee data ya kuwa ATCL inamiliki ndege ngapi na inne lease ngapi pia ..
 
Hivi wewe kichwa chako umekunywa chang'aa au ni mpumbavu wa wakikuyu?, National debts ni jumla ya internal debts na external debts, kwanini wewe inazungumzia external bebts peke yake?, acha ujinga na mpumbavu wako.

Nchi huwa inakopa katika mabenki yaluyopo ndani ya nchi, kwa mfano, hapo Kenya kuna Bank kama Standard charter ambayo sio Bank ya Kenya kakini imefungua tawi hapo Kenya, serikali ya Kenya ikikopa hapo, hilo ni internal debts, lazima serikali ilipe hilo deni.

Kwahiyo ukichukua hayo madeni ya Bank za hapo Kenya, ukijumlisga na deni la Mchina na nchi zingine,(internal + external), ndio tunapata deni la Taifa.

Sasa wewe kwa ujinga wako unachukua external debts pekee haya madeni ya ndani unayakataa, acha ujuha wako wewe, Kenya hali ni mbaya sana. Total National debts ya Kenya ni 70% ya GDP yenu, soon mtaomba bail from Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
wamezoea kuwafanya lenders kuwa part of their indebted company like KQ wakilemewa kulipa deni. wana restructure debt kuwa shares. but for the national debt sipati picha itakuwaje.
 
Ahaaa haaa haaa
wamezoea kuwafanya lenders kuwa part of their indebted company like KQ. wana restructure debt kuwa shares. but for the national debt sipati picha itakuwaje.
mkuu naskia hko bongo internal debt ni sawa na yale madeni unayomdai jirani yako
 
Back
Top Bottom