The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Mkuu nilikua nacheki report flani inasema 2018 Rwanda ilipata tourists 1.2mil,Tanzania ilipata 1,347,000.

Kitu ambacho naona si sawa hata kidogo,inawezekanaje tuwe na tourists kwa idadi hio wkt tuna kila aina ya kivutio hapa duniani wkt Rwanda zaidi ya wale Sokwe hawana vivutio vya maana.

Au labda kuna kitu sielewi mkuu?
sasa Rwanda wana shirika la ndege ni wazi ni chachu ya ukuwaji wa utalii wao .. na jinsi wanavyo ibrand sasa ivi lyale mauaji ya kimbaliii .. wanasema ndio mauaji yaliyo poteza watu wengi zaidi kuliko matukio yeyote ya mauji ya kimbali duniani ....
 
Budget ya kenya ni U$ 30b yako 14b.

Bado unataka kusema nini kuhusu uchumi wako na Wakenya?
Unajua maana ya bajeti?, maana yake ni pesa unayopanga kutumia, sio pesa uliyonayo, wewe unaweza kupanga bajeti kubwa ya matumizi yako kuliko Bakhressa, then ukaanza kukopa, sasa hiyo ni akili kweli?, Kenya ina bajeti kubwa sawa na Nigeria, tuelezi kuna logic yoyote hapo?, matokeo yake madeni yamewajaa hadi katika makwapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi wa makaratasi ww hamna chochote za kutisha kenya ... Labda useme Nairobi ni pazuri kuliko Bongo na sekta ya utaliii performance yake mwaka jana imetoka na taarifa zipo Tz imefanya vizuri kushinda Kenya kimapato .... Ila in real sense hamna cha kutisha Kenya ...maskini wa Kenya na waTanzania tena mbona wa Tanzania ana afazali mara dufuuuuu ....

Toka hapo Tandale utembee Kenya wewe kilaza.
 
Iyo kweli kbs maana kenya wana jitangaza vizuri ktk sekta ya utalii so wageni wanao shuka hapo ni wengi pia lkn kimapato yatokanayo na utalii Tz ipo juuu ndugu

Sio kujitangaza tuu, ukitangaza kibaya hakiwezi pata wateja juu umekitangaza. There is no proof that you make more from tourism than Kenya.
 
sasa Rwanda wana shirika la ndege ni wazi ni chachu ya ukuwaji wa utalii wao .. na jinsi wanavyo ibrand sasa ivi lyale mauaji ya kimbaliii .. wanasema ndio mauaji yaliyo poteza watu wengi zaidi kuliko matukio yeyote ya mauji ya kimbali duniani ....
Aisee kwa hio yale Mauaji ni sehemu pia ya utalii.

Wonders shall never end,thnxs mkuu nimeelewa.

So nasi tukikomaa na ATCL possibly uwezekano wa kufikisha labda 2mil tourists per annual pengine utakuwepo sio?
 
Mkuu nilikua nacheki report flani inasema 2018 Rwanda ilipata tourists 1.2mil,Tanzania ilipata 1,347,000.

Kitu ambacho naona si sawa hata kidogo,inawezekanaje tuwe na tourists kwa idadi hio wkt tuna kila aina ya kivutio hapa duniani wkt Rwanda zaidi ya wale Sokwe hawana vivutio vya maana.

Au labda kuna kitu sielewi mkuu?
Kaka, soma Sera ya utalii wa Tanzania, ni kuvutia watalii wenye pesa nyingi ambao sio wengi, angalia mapati ya utalii kati ya Rwanda na Tanzania, ni zaidi ya Mara tano kwa idadi sawa ya watalii, hii maana yake ni kwamba, kama tungelenga watalii wanaotembelea Rwanda na Kenya, tungepata Mara tano ya watalii wa Rwanda, lengo sio kuona sura za wazungu, lengo ni kupata pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upunguwani ww iv unaweza kulinga nisha uchumi wa jiji la Kisumu na JIji la Mwanza ? kenya ni Naairobi na Mombasa basiii the rest of the country ni desert tu
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa bongo, Kisumu ni jiji la tatu kwa ukubwa Kenya. Sasa inamaanishaje ukilinganisha Mwanza na Kisumu? Inamaanisha Kenya imeendelea zaidi ndio maana unaogopa kulinganisha lenu la pili na letu la pili.

Alafu lingine - Kisumu uchumi wake umeshinda wa mwanza
 
Kaka, soma Sera ya utalii wa Tanzania, ni kuvutia watalii wenye pesa nyingi ambao sio wengi, angalia mapati ya utalii kati ya Rwanda na Tanzania, ni zaidi ya Mara tano kwa idadi sawa ya watalii, hii maana yake ni kwamba, kama tungelenga watalii wanaotembelea Rwanda na Kenya, tungepata Mara tano ya watalii wa Rwanda, lengo sio kuona sura za wazungu, lengo ni kupata pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu hii point ni strong sana maana naona Rwanda waliingiza $720mil,Tz ilipata $2.1bil so uko sawa kabisaa,nimeelewa vzr hapo.
 
Tanzania external debt = $21 billion

Kenya external debt = $26 billion.

Hivi ni kusoma hamjui ama ni ujinga tu? 21 sasa imekua nusu ya 26? Alafu tia maanani Budget yetu ni zaidi ya mara mbili yenu na GDP yetu ni 160% yenu.
Kichaa wewe, Tanzania debts to GDP ratio 36%, Kenya ratio is 70%, na sasa hivi tayari mnauza Eurobond, by the end of this year ratio itafika 80%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana ya bajeti?, maana yake ni pesa unayopanga kutumia, sio pesa uliyonayo, wewe unaweza kupanga bajeti kubwa ya matumizi yako kuliko Bakhressa, then ukaanza kukopa, sasa hiyo ni akili kweli?, Kenya ina bajeti kubwa sawa na Nigeria, tuelezi kuna logic yoyote hapo?, matokeo yake madeni yamewajaa hadi katika makwapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
FaizaFoxy umefumbuliwa fumbo nililo kwambia ukasome.... sasa kaa ukijua ya kuwa nchi nyingi za afrika mashariki zina matatizo ya kuwa na bajeti hewa ad hoc (yakusadikika) FaizaFoxy uchumi wa Kenya mdogo wangu ni wa kawaida sanaaa usiogope labda useme uchumii wa Nairobi na wa Dsm ..then useme uchumi wa dsm ni mdogo kwa NAI hapo tutaenda sawaaa na hata ktk sekta ya mobile money miezi iliyopita alikuja yule shoga wa cnn akawa promote sanaa lkn in reality mobile money performance kwa TZ na KE, TZ ipo juu makusanyo ni makubwaaa japo sina actual figure
 
Si uziweke hapa kwa fact
Tanzania kuna nyumba mbovu kushinda hiyo nyingi tu.
tapatalk_1546203441727.jpeg
 
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa bongo, Kisumu ni jiji la tatu kwa ukubwa Kenya. Sasa inamaanishaje ukilinganisha Mwanza na Kisumu? Inamaanisha Kenya imeendelea zaidi ndio maana unaogopa kulinganisha lenu la pili na letu la pili.

Alafu lingine - Kisumu uchumi wake umeshinda wa mwanza

Kisumu wana lake victoria na Mwanza wana lake victoria so tu assume fishing sekta as indicator of comparison then let go ....
 
Back
Top Bottom