The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

Hatucheki ila swali ni kwanini wajivunie vitu wasivyo navyo?

God save us

Mbona ni kawaida sana mashirika ya ndege kukodisha ndege?

Ndege ukishaikodisha Ikiwa na nembo yako basi kibiashara ni yako na si ya mwenye ndege.
 
Wezi tu.

Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuliendesha shirika la ndege likaleta faida tunao? Maana tukumbuke Air Tanzania ilishakufa kabisa na jitihada za Magufuli tu ndiyo zinalifufua shirika hilo. Litadumu?
Zitadumu,ndege zipo abiria wapo ni wao waliopewa kazi kua wabunifu na kuboresha huduma kadri watakavyoweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa ni hatua nzuri na kubwa sana maana mashirika ya umma yalishindwa kujiendesha toka enzi za Nyerere.
Walitanguliza maslahi binafsi mbele,kama unafuatilia kwa sasa ukizingua unatoka,ukihujumu jela nidhamu imeongezeka,kwa sasa walau kuna hofu maana serikal iko macho muda wote ,utaratibu huu ukiendelea tunaweza sana Ila walilzegeza mijizi haiishi watafilisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀😀😀 unajua dunia ya sasa huwezi ficha kitu chako cha siri Kenya siriiiii imefichuuukaaaaa we jamaa umeibua jambo zuri sanaa sasa ndio wakineng'eng'eka tu tunanawatumia hii link
 
Wameshindwa hadi kujitetea wamebaki kujaribu kuhamisha uzi; mara korosho mara Barrick

God save us
hahahaha sasa sisi barrick si wamesema mwezi wa 3 wanaleta dividend yetu hapa dsm sas je wao kati izo ndege 24 na ngapi sijui 30 something wakitoa izo zao 3 tena usikute izo 3 ni zile emberor na ile Q 800 hahahaha the rest dreamliner ni mali ya KLM na hata Tvs zao wamefyata mkia hata hawazungumzii hii habari ...... ngoja niwafuate ktk forum yao
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Yes i wrote rubish instead of rubbish; we call that a miss out; hukujua hilo. An that proves that you are a coconut head.

God save us

Suit yourself. I thought you were only ignorant but I was apparently very wrong. I can't stoop that low to be at your level to take issues with you.
 
hahahaha sasa sisi barrick si wamesema mwezi wa 3 wanaleta dividend yetu hapa dsm sas je wao kati izo ndege 24 na ngapi sijui 30 something wakitoa izo zao 3 tena usikute izo 3 ni zile emberor na ile Q 800 hahahaha the rest dreamliner ni mali ya KLM na hata Tvs zao wamefyata mkia hata hawazungumzii hii habari ...... ngoja niwafuate ktk forum yao
Kawalete. Huko pia wamebanwa; Taveta barabara hakuna kwahiyo imebidi watumie zetu.

God save us
 
Wezi tu.

Tusichekelee sana, sisi tuna ndege jee uwezo wa kuliendesha shirika la ndege likaleta faida tunao? Maana tukumbuke Air Tanzania ilishakufa kabisa na jitihada za Magufuli tu ndiyo zinalifufua shirika hilo. Litadumu?

we sikia ni kwambie kumiliki ni one thing na kuendesha shirika ni another thing kumiliki tu inaweza kutufanya tuwakodishe hata hawa wenye ndege 3 tu ! hivyo basi tukikodisha bado faida ina flow na ikumbukwe ATCL sio wamiliki wa izo ndege bali wamekodishwa na Government of Tanzania Flight Agency
 
Jamaa isije ukajumlisha na ndege za KLM maana hamchelewi kusema zenu.

God save us
hakuna ndege za KLM ndani ya KQ, ndege tuliokua tunaitumia pamoja na KLM ni ile boeing 747 ya cargo ambayo ilikua inapiga safari za China-Kenya, tuliwaregeshea wenyewe hio ndege..

16157965833_84d1c0bbf4_b.jpg
 
we sikia ni kwambie kumiliki ni one thing na kuendesha shirika ni another thing kumiliki tu inaweza kutufanya tuwakodishe hata hawa wenye ndege 3 tu ! hivyo basi tukikodisha bado faida ina flow na ikumbukwe ATCL sio wamiliki wa izo ndege bali wamekodishwa na Government of Tanzania Flight Agency
Sasa tatizo liko wapi?

Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?

Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?
 
hakuna ndege za KLM ndani ya KQ, ndege tuliokua tunaitumia pamoja na KLM ni ile boeing 747 ya cargo ambayo ilikua inapiga safari za China-Kenya, tuliwaregeshea wenyewe hio ndege..

16157965833_84d1c0bbf4_b.jpg
Okay, sasa tueleze ikiwa mnamiliki ndege 3 tu. Hizo 25 mmekodi kwa nani?
Wabunge wenu pia wanataka kujua

God save us
 
Sasa tatizo liko wapi?

Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?

Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?
Sisi tumeleta ukweli hapa tinahitaji majibu.
Anaebisha kijinga ni wewe ambae umeshindwa kuweka facts hapa umebakitu kuuliza tatizo liko wapi?

God save us
 
Sasa tatizo liko wapi?

Unataka kujilinganisha kiuchumi na Wakenya ambao wamekuzidi maarifa kiuchumi licha ya wewe kuwa na mali asili nyingi sana kuliko wao?

Hivi Watanzania mnachokifahamu ni kubishana kijinga tu kila kukicha?

mi nimekujibu ile comment yako ya awali ila ajabu una diverge sijui unazungumzia ufahamu sijui mali asili sasa hayo mambo ya mali asili ukamuulize baba jesca na top leaders ila mm kama mwananchi I have done my part, I went to school, to university, I pay taxes and other tolls ..... uchumi wa kenya kuwa mkubwa ni swala la investment na investors wanao na policies which all of Tanzania cries to,...
 
Back
Top Bottom