The Tussle Between the President and the Professor: The Story of Prof. Malima

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Makala yangu kuhusu Prof. Malima niliyobandika juma lililopita iliondolewa
kwa haraka.

Sijui sababu.

Lakini makala ile ile katika website yangu Mohamed Said imejaa
wasomaji.

Ikiwa na hii haitaweza kustahamiliwa nawakaribisha kwangu In Sha Allah.

Tuko Part Five.
Karibu usome kuanzia Part One ufaidi ukweli kisha utaamua mwenyewe.

 

Attachments

Kwanza Malima mwenyewe uprofesa wake ulikuwa wa mashaka sana; alipatiwa cheo cha Uprofesa baada ya kuwa demoted kutoka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango, hivyo uprofrsa ukawa ndicho cheo cha karibu ambacho angeweza kubakishiwa heshima fulani kwenye jamii na mshahara wa Katibu mkuu wakati huo. Ile professorial inaugural lecture yake ya "The Political Economy of Devaluation" ilikuwa ni pumba tupu.
 

Kichuguu,
Jitahidi kidogo angalu tia minofu katika maelezo yako.

Huu ni ukumbi wa watu wenye akili pevu.

Msikilize mwandishi wa maisha ya Malima alivyoandika baada ya utafiti:

''Very early in life teachers who came into contact with Malima realised that he was a boy of exceptional intelligence...''
Hajagusa rekodi yake ya Princeton.

Ivy League...

Twende tartiiiibu In Sha Allah.
 
mkuu mohamed ungesummarize hiyo story na kuitupia humu au kule kwa kubenea
 
Mohamed Saidi nakusalimu!

Maisha ya Profesa Malima ni maarufu ila anaetaka kukanusha akanushe tu yuko huru achangie tu lakini akumbuke historia na kumbukumbu ya Marehemu Kighoma Malima ipo na imehifadhiwa na yeyote yule anaeingia hapa kukanusha kama anaubavu akanushe kwa kutoa source! mnakasha utanoga ikiwa anaekanusha atakuja na vielelezo kinyume chake atakuwa kichekesho ktk Great Thinkers wa Jamii Forum!!!

Kwa mara nyingine MS nakusalimu na nakupongeza kwa juhudi zako na umahiri wako wa Historia ya nchi hii!!!
 

Kichuguu.

Umeongea maneno matupu tuwekee elimu yake tupate kudadavua.
 
Last edited by a moderator:

Wewe kweli kichuguu,sijui faida ya kichuguu ni nini!!
 

Mzee Mhammed Said kwa mara nyingine tena napenda kukupongeza kwa kazi yako nzuri ya kuilimisha ummah wetu huu juu ya yale yaliokuwa yanafanywa na wale wapenda haki na maendeleo ya nchi yetu.

Na ni masikitiko kuona kuwa Mara nyingi ukijaribu kufanya kile chenye manufaa na kufungua nyuzi zenye elimu na faida kubwa. Basi zinafungwa haraka na sababu muhimu hatupewi!

Watanzania kama jamii ingine tunahitaji watu kama Mzee Mohamed Said ambae Haweki kitu chochote Jukwaani BILA USHAHIDI NA VYANZO.
Labda Kosa analofanya NI KUWA MKWELI KUPITA KIASI!

Na wachangiaji wanaokuja kushambulia habari zake. Takriban woote wanamshambuli YEYE BINAFSI na sio KILE ALICHO KIANDIKA!
Na hili pia linakatisha tamaa.

Ni matumaini yetu Uzi huu UTADUMU na tunawaomba @moderators kutupa nafasi na sisi tujifunze kidogo.

Mzee Mohamed Said shukrani kwako.
Na tunakuombea Afya na nguvu kwa Mungu muumba ili uendelee kutuelimisha yake ulojaaliwa.

Ahsanta.
 
Amin. Sheikh Muhammad Ayub akisema ilm ni amana akija mwenyewe kuitaka wawajibika kumpa.
 
Kichuguu.

Umeongea maneno matupu tuwekee elimu yake tupate kudadavua.

mkuu ritz, Simiyu Yetu Chabruma et al wanakuhitaji ukawape backup ktk kujibu hoja za kukinusuru chama juu ya mabandiko yanayohusu mtifuano ndani ccm na harakati za the 5th coming president of tanzania Edward Lowassa kuelekea 2015.wamenisisitizia sana nikufikishie ujumbe huu.
#Lowassa4Presidency2015 .
 
Last edited by a moderator:
Wewe kweli kichuguu,sijui faida ya kichuguu ni nini!!
Mkuu Ngongoseke

Watu wengine wametawaliwa na chuki pamoja na wivu.

Marehemu Prof. Kighoma Malima amesoma (MA) Yale University.

Amesoma (PhD) Princeton Universtiy.

Halafu anakuja mtu anasoma elimu yake ilikuwa ya mashaka, miafrika bana.
 
Last edited by a moderator:
Kadogoo In Sha Allah ntaweka usomi wa Prof Malima umma ushuhudie.
 
Righteye haya si ya ku abridge Malima na yalomfika lazima yafikishwe timam.
 
Last edited by a moderator:

mkuu acha kuharibu mada hayo haya husiani na mada iliyopo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi pamoja na matatizo yote yanayotukabili kama taifa Mohamed Said anataka tujadili habari za Kighoma Malima hapa kwenye Jukwaa la siasa; kwa nini hii isipelekwe jukwaa la historia? Sasa hivi tunahangaika na namna ya kukinusuru chama tawala, chama chetu pendwa ambacho hivi sasa kinapanga kusherehekea miaka 37 ya uhai huku kukiwa na hofu ya kulazwa ICU kikichungulia kaburi. Tafadhali Ritz mfikishie mwalimu wako, Mohamed Said, hili ombi kutoka kwangu...atuache tupumue!
 
Kichuguu,

Umetumia vigezo gani hiyo criticism yako dhidi ya Professor Malima.

Wewe unajuwa maana ya kuhitimu Yale na Princeton?

Usitujie na utashi wa hisia za kulindana na.hao waliompinga na kumkashifu Marehemu Malima.

Tafadhali pinga kwa hoja zenye marejeo.

Shukran
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…