The Tussle Between the President and the Professor: The Story of Prof. Malima

The Tussle Between the President and the Professor: The Story of Prof. Malima

Whom are quoting na ni rekodi gani hiyo Malima aliyoacha Princeton? Wewe Mzee tatizo lako una tabia ya ku-perpetuate myths, misrepresentations and straight out lies. Credibility yako katika uandishi is next to zero.

Kukaa mbele sio kuifahamu ivy league kilaza wewe,haraka kabebe box!
 
Sielewi kwa nini watu hawaweli jambo hili na mnanishupalia namna hii. Kuwa na Ph.D ni kitu kimoja, kuwa mtafiti bingwa hadi kuwa profesa wa kusimamia wataifiti wengine ni kitu tofauti kabisa. Iwapo Ph.D yoyote ingekuwa inaqualify kuwa mtafiti bingwa basi kila mwenye Ph.D angekuwa ni profesa; au kila aliyepata Ph.D yake MIT, Cranfield, Havard, Princeton, au Stanford basi angekuwa ni professor.

Malima alikuwa na elimu nzuri sana ya kiwango cha juu sana katika uchumi, na alipomaliza Ph.D alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mipango. Malima hakuunganisha elimu yake na mipango ya nchi wakati huo alipokuwa chini ya Professor Adulharmana Babu, ndipo akaondolewa. Kwa vile mshahara wake wa Katibu mkuu ulikuwa mkubwa kuliko hata wa Vice Chancellor wa UDSm ndiyo maana Nyerere alimfanya kuwa professor moja kwa moja, bila kuwa amesimamia utafiti wowote; hakuwahi kuwa senior lecturer ambao ndio utaratibu uliokuwapo wakati huo kuwa utapitia senior lecturer na associate professor kabla ya kuwa professor kamili.

Wakati elimu yake haina mashaka, uprofessor wake una mashaka kama nilivyoeleza hapo. Kwa mnaojua kudadavua mambo, tafuteni makala ya professorial inaugural lecture yake aliyotoa mwaka 1987 au 88 hivi ndipo mtagundua kuwa ilikuwa pumba tupu.
 
mimi ni msomaji mzuri sana wa mada zake japo sichangii mara kwa mara.trend ya mada zake hivi karibuni haipo kama zamani.i tell you this bila hao niliowataja kuchangia hapa,this topic wont even make to 20 pages.hao ndio wanaojua kum-challenge MS,nyie akina ritz huishia kumsifia tu.hamumuulizi hata maswali.kuna mada moja aliyoianzisha yeye mwenyewe, nilimchapa swali la kiuchokozi mpaka leo hajanijibu.mbaya zaidi baadhi yenu mkanikebehi kwa swali lile.

Sasa hebu jisome mwenyewe halafu ndio ufahamu kuwa watu kama wewe na hao uliowataja kuja kujadili na mtu kama Mzee Mohamed Said ni tatizo kubwa.

Hapa lengo sio kurasa ngapi zimejazwa!

As matter fact sidhani kama Msomi yyt lengo lake ni kujaza kurasa humu jf.
Bali hatta kama

Hayo ni mambo ya wale wenye kupenda maneno ya mipasho na longalonga zisizo na tija!

We mtu mzima unakuja jitangaza kwenye jukwaa la wenye kufikiri kuwa unauliza MASWALI YA KICHOKOZI?
Halafu unashangaa kwanini Mzee Mohamed Said Hajakujibu!? Na unasema bahati mbaya wengine walikukebehi!?

We ulikuwa unategemea nini!? Watu na hekima zao wakujibu hayo maswali ya UCHOKOZI sio??

Ni watu kama nyie ndio mnaofanya jukwaa kama hili kuonekana kama migahawa ya mitaani!

Mbona yapo majukwaa ya kuchokozana!? Na kuleta hayo maneno yenu ya mipasho??

Nenda chit chat uone kama kuna mtu atakufuata! Halafu KaChokozale utakavyo!

Hapa kama huna hoja za mishiko wala Usithubutu kuchangia!
Manake saana unajivunjia heshima na pili unataka wakuu kama kina Ritz wabara Ngongoseke na wengineo wakupige ile mikwaju ya kuchapia nguchiro!

Halafu we kwa namna unavyo jadili na mtu, akili zako baado za kitoto mno.

Ni bora kusoma na kujifunza mawili au matatu kuliko kuandika vitu vya ajabu humu!

Huo ni ushauri tu! Lkn ni juu yako nini utaamua.
 
Last edited by a moderator:
Mag3 huna haja ya kupitia kwa Sharif Ritz zungumza na mimi nami nitakujibu.

Aliyefungua uzi wa Prof. Malima si mimi. Mimi nimekuja kumtetea kwa kuwa mwenyewe yuko barkaz. Wakanye nduguzo kuhusu kumshambulia Malima. Ukifanya hivyo hutonisikia jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Just a note: Malima ni professa pekee wa Uchumi Tanzania aliyejipambambanua kitaaluma na kuweza kuturithisha na zaidi ya machapisho (vitabu na, journals) 200(mia mbili) kuhusu uchumi na jamii yanayotambulika na kupewa ithibati na taasisi mbalimbali za kitaaluma duniani.
Leo hii Maprofessa wote unaowajua including Muhongo na Mukandala hawana machapisho yanayotambulika kitaasisi za kitaalaluma zaidi ya 10.
 
Whom are quoting na ni rekodi gani hiyo Malima aliyoacha Princeton? Wewe Mzee tatizo lako una tabia ya ku-perpetuate myths, misrepresentations and straight out lies. Credibility yako katika uandishi is next to zero.

Ndajabu,
Jifunze adabu ya mijadala na hii ni kwa faida yako kwa kuwa Allah akipenda
na nakuombea Mungu una miaka mingi ya kuishi kwa ujana wako.

Sasa ukianza kwa lugha kama hii, ''wewe Mzee..'' nk. tayari ushanionesha kuwa
hukupata malezi mema.

Namna hii unawatukanisha wazazi wako.

Kwa ajili hii nakuogopa usinivunjie adabu.

Tayari wewe ushanipa nafasi yangu ya uzee lakini hujui kama mtu mzima sharti
aheshimiwe.

Chunga sana ulimi wako.

Njoo tena na kwa adabu kamili na In Sha Allah tutajadiliana kistaarabu.

Ningeweza nikaacha kukujibu lakini nimekujibu ili faida ipatikane kwa kukurejesha
katika mstari wa akhlak njema.​

Kama hii ni ilm, nawaonea huruma wanaoifyonza...ha ha haa! eti Mohamed Said anatoa ilm na wako wanaoifyonza, poleni na endeleeni kufyonza. Mimi nakitoa ila nikitaka porojo na umbea nitaingia humu mara moja moja, wikiendi njema.

Mag3,
Huenda kweli ukanisoma na ukaniona naandika umbea na porojo.

Nani atakulaumu na hapo ndipo akili zako zilipogota?
Hasad, wivu, kibri vinakutafuna na hayo ni maradhi mabaya sana.

Mimi hukusoma na nakuelewa lakini juu ya yote sijafika kukudharau...
Najua sie ni binadamu lazima tutatofautiana...

Ningekuwa fedhuli ningeweza kusema mengi kuhusu maandishi yako
ambayo hayatoki nje ya jamvi hili.

Na ningekuwa sawa nimesema kweli.
Hujashurutishwa kuja jamvini.

Unakuja kwa khiari yako mwenyewe.
Ukifika unamwaga vumbi.

Angalau kuwa mstaarabu.
Soma na baki kimya.

Ritz kakupa ushauri mzuri kabisa.
Msikize na ufuate ushauri wake.
 
Ama hakika prof.malima alikuwa ni mja mwenye dhamira na dira nzuri zenye lengo la kumtoa mdhulumiwa/muislamu katika makucha ya mdhulumu/nyerere ambaye kwa makusudi alijizatiti katika kufikia malengo yake ya dhuluma. Aliijenga Christian lobby aka mfumo kristo na kuimarisha kwa nguvu zake alizokuwa nazo za madaraka na kwa kweli alifanikiwa.Mfumo huu unatutesa sana sisi waislamu.Prof alijaribu kuondoa mfumo kristo lakini hakufikia lengo, sisi tuliobaki tumuenzi kwa kuendeleza juhud zake. Ahsanta.
 
he!naona thread imebuma.iam waiting to acquire for some "ilm".lol
 
he!naona thread imebuma.iam waiting to acquire for some "ilm".lol

Sababu hamna material ya ku challenge maandiko ya Maalim Muhammed Said. Nenda huko katafute kijiwe ukapige porojo kushabikia timu za ulaya na wasanii wenzao.
 
Kwanza Malima mwenyewe uprofesa wake ulikuwa wa mashaka sana; alipatiwa cheo cha Uprofesa baada ya kuwa demoted kutoka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango, hivyo uprofrsa ukawa ndicho cheo cha karibu ambacho angeweza kubakishiwa heshima fulani kwenye jamii na mshahara wa Katibu mkuu wakati huo. Ile professorial inaugural lecture yake ya "The Political Economy of Devaluation" ilikuwa ni pumba tupu.
Sasa wewe hapa ndio umeandika nini??!! Hata kama kuna ukweli katika haya unayosema lakini kwa watu makini sana sana watakudharau tu maana hujaweka maelezo yeyote ya kueleweka zaidi ya tuhuma zisizo na uthibitisho wowote. Hivi unadhani ni kazi sana kudai kitu fulani ni pumba bila kuonesha ni pumba kivipi? Unapoweka posti tumia akili.
 
Tarehe kwenye ile habari ya Prof. Malima naona zinajichanganya. Mwanzo inaonesha mambo yalianza March 1995 lakini katikati inaongelea matukio yaliyofuatia yaionesha yametokea June 1994. Angalia tena na pia jitahidi uwe unahariri kabla ya kuposti maana kwa mtindo huu, baadhi ya watu wanaweza kuona unajitungia tu hizi habari.
 
Sielewi kwa nini watu hawaweli jambo hili na mnanishupalia namna hii. Kuwa na Ph.D ni kitu kimoja, kuwa mtafiti bingwa hadi kuwa profesa wa kusimamia wataifiti wengine ni kitu tofauti kabisa. Iwapo Ph.D yoyote ingekuwa inaqualify kuwa mtafiti bingwa basi kila mwenye Ph.D angekuwa ni profesa; au kila aliyepata Ph.D yake MIT, Cranfield, Havard, Princeton, au Stanford basi angekuwa ni professor.

Malima alikuwa na elimu nzuri sana ya kiwango cha juu sana katika uchumi, na alipomaliza Ph.D alikuwa katibu mkuu wa wizara ya mipango. Malima hakuunganisha elimu yake na mipango ya nchi wakati huo alipokuwa chini ya Professor Adulharmana Babu, ndipo akaondolewa. Kwa vile mshahara wake wa Katibu mkuu ulikuwa mkubwa kuliko hata wa Vice Chancellor wa UDSm ndiyo maana Nyerere alimfanya kuwa professor moja kwa moja, bila kuwa amesimamia utafiti wowote; hakuwahi kuwa senior lecturer ambao ndio utaratibu uliokuwapo wakati huo kuwa utapitia senior lecturer na associate professor kabla ya kuwa professor kamili.

Wakati elimu yake haina mashaka, uprofessor wake una mashaka kama nilivyoeleza hapo. Kwa mnaojua kudadavua mambo, tafuteni makala ya professorial inaugural lecture yake aliyotoa mwaka 1987 au 88 hivi ndipo mtagundua kuwa ilikuwa pumba tupu.

Siku nyingine ukiandika jitahidi utoe maelezo kama hivi. Lakini ukisema tu alichofanya fulani ni pumba au sio sahihi bila kuonesha upumba wake, wewe ndiye utaonekana unaandika pumba.
 
Kwanza Malima mwenyewe uprofesa wake ulikuwa wa mashaka sana; alipatiwa cheo cha Uprofesa baada ya kuwa demoted kutoka Katibu Mkuu wa Wizara ya Mipango, hivyo uprofrsa ukawa ndicho cheo cha karibu ambacho angeweza kubakishiwa heshima fulani kwenye jamii na mshahara wa Katibu mkuu wakati huo. Ile professorial inaugural lecture yake ya "The Political Economy of Devaluation" ilikuwa ni pumba tupu.

Kichuguu,

Hivi kweli una uhakika na maneno yako. Hakika fanya reseach kidogo kuhusu ilmu ya Al marhum Kighoma Malima uone kama itakuwa na utata kama ile ya Dr yule katibu wa chama cha siasa.

Pole sana
 
hii thread akiisusa na mkuu Kichuguu tu ndio itakuwa imekufa rasmi.uwepo wake hapa unasaidia kuipa kauhai kidogo.naona wanafunzi na mashabiki wa MS wote mnakimbilia kum-qoute yeye.hakuna hata mmoja wenu anayekuja na kitu kipya ili tupate "ilm".NKT.
 
Last edited by a moderator:
Assalamu alaykum sheikh Mohamed Said,

Hakika hapa umenigusa saaaana kwani pamoja na kuwa alikuwa maalim wangu lakin pia alifunza mengi sana sana katika kazi nikiwa wizara ya fedhwa na mipango ya JMTz.

Vile vile kwa kumtaja huyu umenikumbusha na al marhum Said Mdidi ambaye alikuwa msaidizi wake katika kazi na nilikuwa msimamizi wa harusi yake kwa Mwl wa Jangwani ukht fatma.

Hakika kuna mengi sana kwa jabali hili katika fani ya uchumi kwani ana machapisho zaidi ya 100 ambayo yanatumika mpaka leo katika fani yetu ya uchumi.

Ahsantum kwa kutukumbusha na tumuenzi.

maa salaam

Last edited by a moderator:
Barubaru Waleikum. Tumepoteana. Ni Mussa Mdidi.
 
Back
Top Bottom