Zungu Pule
JF-Expert Member
- Mar 7, 2008
- 2,218
- 1,218
Mkuu hii kwa wewe unaweza kuiita HISTORIA lkn kwa vijana kama sisi wapenda haki NI FIKRA ZILIZO HAI MPAKA KESHO!
Na kama tutapata changa moto za namna hii basi yale Aliokuwa akiyapanga na kuyatamani yafanyike mzee wetu Kighoma Malima basi Kwa uwezo wake Mola SISI VIJANA TUTAYATEKELEZA!
Na kama sisi hatutofika huko kwa asili 100% basi watoto wetu watakamilisha!
Sasa kama wewe unaona Umebanwa na pumzi kwa haya maneno ya haki basi unaruhusiwa kutokuchangia chochote humu.
Na rather nenda ka support hizo kampeni zenu za mifumo ya kumaliza wengi kwa kuneemesha wachache.
Nikiri tu kwamba sijaweza kupata muda wa kusoma mada ya Mohamed Said. Kama hutajali, tafadhali tukumbushe japo kwa kifupi "yale aliyokuwa akiyapanga na kutamani yafanyike Mzee wetu Kighoma Malima". Natanguliza shukrani zangu za dhati.