The Tussle Between the President and the Professor: The Story of Prof. Malima

Mkuu hii kwa wewe unaweza kuiita HISTORIA lkn kwa vijana kama sisi wapenda haki NI FIKRA ZILIZO HAI MPAKA KESHO!

Na kama tutapata changa moto za namna hii basi yale Aliokuwa akiyapanga na kuyatamani yafanyike mzee wetu Kighoma Malima basi Kwa uwezo wake Mola SISI VIJANA TUTAYATEKELEZA!
Na kama sisi hatutofika huko kwa asili 100% basi watoto wetu watakamilisha!

Sasa kama wewe unaona Umebanwa na pumzi kwa haya maneno ya haki basi unaruhusiwa kutokuchangia chochote humu.

Na rather nenda ka support hizo kampeni zenu za mifumo ya kumaliza wengi kwa kuneemesha wachache.

Nikiri tu kwamba sijaweza kupata muda wa kusoma mada ya Mohamed Said. Kama hutajali, tafadhali tukumbushe japo kwa kifupi "yale aliyokuwa akiyapanga na kutamani yafanyike Mzee wetu Kighoma Malima". Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Ahsanta kwa kuonyesha uchu wa kufahamu fikra za mzee Malima mungu amrehemu.
Kwa kuanzia tu hebu pitia hapa kwenye hii blog
Utapata faida kubwa sana.

www.uislam-na-siasa-tanzania.blogspot.com

http://www.mohammedsaid.com/?m=1

Hivi ndivyo vyanzo vya khabari za kweli amambavyo watanzania wengi wanatakiwa kuzifahamu.

Nakutakia kila la kheri ktk utafutaji wako wa habari za heri na mafanikio.
 
Just a note: Malima ni professa pekee wa Uchumi Tanzania aliyejipambambanua kitaaluma na kuweza kuturithisha na zaidi ya machapisho (vitabu na, journals) 200(mia mbili) kuhusu uchumi na jamii yanayotambulika na kupewa ithibati na taasisi mbalimbali za kitaaluma duniani.
Leo hii Maprofessa wote unaowajua including Muhongo na Mukandala hawana machapisho yanayotambulika kitaasisi za kitaalaluma zaidi ya 10.

Well, nimejaribu kutafuta machapisho yake Google Scholar na Web of Science/Knowledge sijaweza kupata chapisho hata moja. Tafadhali naomba orodha ya machapisho yake muhimu ili niweze kujisomea. Aside: nimeweza kupata kazi za msomi mwingine maarufu aliyepata kutokea nchi hii akiitwa Justinian Rweyemamu.
 
Asalam Aleykum Sheikh Muhamed Said, Nimesoma stori yako karibia yote lakini sijafanikiwa kupata part 1 na 2 kwenye website yako. Lakini pia nimegundua kuwa pamoja na Christian Lobby kuturudisha nyuma sana kwa fitna zao wapo baadhi ya waislamu wanachangia au wamechangia katika matatizo haya.sijui labda hatujaelimishwa vizuri kuhusu mfumo kristo ama ni kwa kutotaka tu kushughulika na Uislamu na Waislamu?.Mwisho nimesikitishwa sana na viongozi wa kiislamu walioshiriki katika harakati za kummaliza Kighoma Malima kisiasa.Nimepoteza Imani nao sana,Japo ni ndugu zetu katika Imani.
 
Sasa wewe hapa ndio umeandika nini??!! Hata kama kuna ukweli katika haya unayosema lakini kwa watu makini sana sana watakudharau tu maana hujaweka maelezo yeyote ya kueleweka zaidi ya tuhuma zisizo na uthibitisho wowote. Hivi unadhani ni kazi sana kudai kitu fulani ni pumba bila kuonesha ni pumba kivipi? Unapoweka posti tumia akili.

Inawezekana hukuelewa nililoongea au imekuuma. Mimi nilihudhuruia professorial inaugural lecture yake tena wakati huo akiwa waziri wa fedha. Na kama hukubaliani nami basi waulize wengine waliokuwapo kama watakubali kusema ukweli ingawa wengine wanaweza kuwa neutral kumtunzia heshima ndugu aliyenagulia mbele ya haki. Baadhi ya waiokuwapo ni pamoja na Profesa Wangwe na Profesa Baregu; marehemu Profesa Haroub Othman alionyesha wazi kutoridhika na lecture ile moja kwa moja, ambapo Profesa Shivji, ambaye hakuwapo kwani wakati huo alikuwa Sabbatical leave, lakini alisoma makala yake lecture yenyewe naye aliipinga. Nimekuambia kuwa lecture ilikuwa ni pumba tupu, na kama huridhiki na maneno yangu, basi tafuta makala ya lecture ile utuletee uchambuzi wako.
 
Kichuguu,

Hivi kweli una uhakika na maneno yako. Hakika fanya reseach kidogo kuhusu ilmu ya Al marhum Kighoma Malima uone kama itakuwa na utata kama ile ya Dr yule katibu wa chama cha siasa.

Pole sana

Huelewi ninachozungumza!
 
Inawezekana hukuelewa nililoongea au imekuuma. Mimi nilihudhuruia professorial inaugural lecture yake tena wakati huo akiwa waziri wa fedha. Na kama hukubaliani nami basi waulize wengine waliokuwapo kama watakubali kusema ukweli ingawa wengine wanaweza kuwa neutral kumtunzia heshima ndugu aliyenagulia mbele ya haki. Baadhi ya waiokuwapo ni pamoja na Profesa Wangwe na Profesa Baregu; marehemu Profesa Haroub Othman alionyesha wazi kutoridhika na lecture ile moja kwa moja, ambapo Profesa Shivji, ambaye hakuwapo kwani wakati huo alikuwa Sabbatical leave, lakini alisoma makala yake lecture yenyewe naye aliipinga. Nimekuambia kuwa lecture ilikuwa ni pumba tupu, na kama huridhiki na maneno yangu, basi tafuta makala ya lecture ile utuletee uchambuzi wako.
Mkuu mimi sina tatizo na wewe kutoa maoni yako. Kama umenisoma vizuri nilikushauri uweke vielelezo na utoe hoja ni kwa nini unafikiri alichosema profesa ni pumba. Sidhani kama ni busara kudai tu kitu fulani ni pumba bila kuonesha ni kwa vipi ni pumba.
 
Naina Sidney Poitier unawabana kichizi hawa watoto. Hawana pakutokea
 
Kihega
Kwa nukuu hiyo ya Nyerere mimi nakuchukulia kuwa huijui historia ya Nyerere
na Waislam.

Wala hujui katika Tanzania nani anabagua na nani anabaguliwa.

Lakini naamini ushasikia Waislam wakilalamika kuwa kuna Mfumokristo unaoendesha
serikali ya Tanzania.

Mimi In Sha Allah niko tayari kukuwekea hapa mambo mengi katika historia ya Nyerere
toka siku alipofika Dar es Salaam, akapokelewa nyumbani kwa Abdu Sykes, akatiwa
katika duara la wanasiasa wa TAA pale Makao Makuu New Street 1952, uhusiano
wake na wazee wa Kiislam waliompokea na kumjenga mmoja wapo akiwa Sheikh
Suleiman Takadir aliyekuwa akimtambulisha katika mikutano ya mwanzo ya TANU
Mnazi Mmoja, uhusiano wake na Sheikh Hassan bin Amir nk. nk.

Mwisho nitakueleza nini Nyerere aliwalipa Waislam tena kwa ushahidi.

Baada ya hapo mie na wewe tutarejea katika nukuu ya ''watu muflisi kisiasa
watatafuta uhalali,Kwa dini yao,ukabila,ama sehemu anakotoka.''

Tutaichambua kwa pamoja kisha tutawaachia watazamaji waamue.
Unasemaje.

Uko tayari?

TITI+MOHAMED%252C+NYERERE++NA+BARAZA+LA+WAZEE+WA+TANU.jpg

Ushapata kuona popote picha za namna hii zikionyeshwa?
Bado hujaona.

Hujajiuliza kwa nini na hawa ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika?
Hapo Wakristo ni watatu tu.

Nyerere, Bhoke Munanka na John Rupia.
Hii ndiyo historia ya Nyerere.
 
Last edited by a moderator:

Oldisgold,
Muhimu tusomeshe hii historia ili ukweli ujulikane na haki itendeke.

Ingia katika website yangu mohammedsaidsalum.

Anza na zile w tatu kisha fatisha na hilo jina langu ni ''double m.''
unamalizia na dotcom.
 
Nimependa kuwa sasa unayo platform yako wakibana huku tunaenda kule.

Hiyo ya kuweka ushaisi wa picha muhim pia vile vike kufanya digital archiving. Im so keen kuona vitabu ya primary na sekondari vina historia gani maaana usikute watu wa mitaala washaweka wa Gala wao wanapindisha historia
 
Kihega
Kwa nukuu hiyo ya Nyerere mimi nakuchukulia kuwa huijui historia ya Nyerere
na Waislam.

Wala hujui katika Tanzania nani anabagua na nani anabaguliwa.

Lakini naamini ushasikia Waislam wakilalamika kuwa kuna Mfumokristo unaoendesha
serikali ya Tanzania.

Mimi In Sha Allah niko tayari kukuwekea hapa mambo mengi katika historia ya Nyerere
toka siku alipofika Dar es Salaam, akapokelewa nyumbani kwa Abdu Sykes, akatiwa
katika duara la wanasiasa wa TAA pale Makao Makuu New Street 1952, uhusiano
wake na wazee wa Kiislam waliompokea na kumjenga mmoja wapo akiwa Sheikh
Suleiman Takadir aliyekuwa akimtambulisha katika mikutano ya mwanzo ya TANU
Mnazi Mmoja, uhusiano wake na Sheikh Hassan bin Amir nk. nk.

Mwisho nitakueleza nini Nyerere aliwalipa Waislam tena kwa ushahidi.

Baada ya hapo mie na wewe tutarejea katika nukuu ya ''watu muflisi kisiasa
watatafuta uhalali,Kwa dini yao,ukabila,ama sehemu anakotoka.''

Tutaichambua kwa pamoja kisha tutawaachia watazamaji waamue.
Unasemaje.

Uko tayari?

TITI+MOHAMED%252C+NYERERE++NA+BARAZA+LA+WAZEE+WA+TANU.jpg

Ushapata kuona popote picha za namna hii zikionyeshwa?
Bado hujaona.

Hujajiuliza kwa nini na hawa ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika?
Hapo Wakristo ni watatu tu.

Nyerere, Bhoke Munanka na John Rupia.
Hii ndiyo historia ya Nyerere.

Mohamed Said tatizo lako ni kwamba hisia zako na matamanio yako ingefaa hawa wazee wa kiislam ndio waliostahili kuwa rais,makamu ama mawaziri wakuu.hakuna ubishi kwamba hawa wazee walikuwa na mwamko wa kupambana na wakoloni,lakini kwa njia ipi?Hawakuwa na elimu na uelewa wa kutosha.
Hiyo ni moja ya sababu ya kumhitaji na kumkaribisha Mwl.Nyerere miongoni mwao.Baada ya hapo wazee wetu hawakuweza kwenda na kasi ya Mwalimu.Lakini la msingi kabisa mwalimu hakumbagua yeyete kwa sababu ya dini yake.
 
Hivi we jamaa bado unaendelea na ngonjela zako za kuungaunga zinazohusu udini? Kama wewe mfia dini kwa nini basi usijiunge alshababu au uende kuwaunga mkono Mombasa republican au km vipi basi nenda hata Syria basi. Unajua uamsho wako wapi saaizi? Pia ni vizuri ukajifunza kutoka kwa wafia dini wenzio km Osama gadaffi Saddam Hussein waliojiona miungu watu zaidi ya Mungu wa kweli? Story zako ni za kufikirika na mbaya zaidi wewe ni km walewale unachochea wenzio mambo yakiiva unajificha na familia yako.
Mambo mengi waislamu wamekuwa wakidanganywa bila kuchuja. Mfano ni kila siku unasikia waislamu wanalalamika eti waislamu ndio walileta uhuru wa Tanganyika. Hiki ni kichekesho. Umewahi kusikia popote Afrika nchi gani muislamu alikuwa mstari wa mbele kupigania Uhuru pamoja na kupewa elimu ya kijasili ya kufia dini? Anzia kusini mwa Africa mpaka kaskazini mpaka mashariki mpaka magharibi hakuna. Hata Zanzibar ambako waislamu ni zaidi ya 99.9% bado mapinduzi yao yaliongozwa kwa msaada wa mkristo kitu ambacho waislamu hawataki kusikia. Maneno meeengi lkn muislamu hajajaliwa kutenda yaliyoko ya maendeleo au ya manufaa zaidi ya kuleta ugaidi na mauaji na kwa kuwa mnajitakia laana ndo maana anywhere and anyhow you are backward. Angalau mtu km wewe saidi na huyo Malima unayemsimulia kuwemo rais wako na waislamu zaidi ya 90% wamesomeshwa na kufunzwa kwenye shule za hao hao mnaowapinga ambao wamefunzwa kutokana na falsafa ya kiMungu ya upendo kwanza kwa watu wote yaani mpende adui yako km unavypjipenda mwenyewe. Kwa waislamu na ubinafsi wao isingewezekana kuwa hivyo coz allah wenu kawaamuru kuwauwa wasioendana nanyi ambao sio wa dini yenu. Waisrael wanamsemo mmoja kwamba " if you israel puts down their weapons there will be no israel but if palestine puts down their weapons there will be peace". Waislamu wanafunzwa mambo mazuri kwenye shule na vyuo vya wakristo duniani kote lkn wanakuja kuharibiwa na Quran mwisho wanamkufuru Mungu wa kweli wanajipatia laana.
Ndugu saidi tazama vizuri historia. History and experience are sometimes best teachers in the world so make use of them may be you will broaden and a bit brighten your mind.
 
Kihega
Kwa nukuu hiyo ya Nyerere mimi nakuchukulia kuwa huijui historia ya Nyerere
na Waislam.

Wala hujui katika Tanzania nani anabagua na nani anabaguliwa.

Lakini naamini ushasikia Waislam wakilalamika kuwa kuna Mfumokristo unaoendesha
serikali ya Tanzania.

Mimi In Sha Allah niko tayari kukuwekea hapa mambo mengi katika historia ya Nyerere
toka siku alipofika Dar es Salaam, akapokelewa nyumbani kwa Abdu Sykes, akatiwa
katika duara la wanasiasa wa TAA pale Makao Makuu New Street 1952, uhusiano
wake na wazee wa Kiislam waliompokea na kumjenga mmoja wapo akiwa Sheikh
Suleiman Takadir aliyekuwa akimtambulisha katika mikutano ya mwanzo ya TANU
Mnazi Mmoja, uhusiano wake na Sheikh Hassan bin Amir nk. nk.

Mwisho nitakueleza nini Nyerere aliwalipa Waislam tena kwa ushahidi.

Baada ya hapo mie na wewe tutarejea katika nukuu ya ''watu muflisi kisiasa
watatafuta uhalali,Kwa dini yao,ukabila,ama sehemu anakotoka.''

Tutaichambua kwa pamoja kisha tutawaachia watazamaji waamue.
Unasemaje.

Uko tayari?

TITI+MOHAMED%252C+NYERERE++NA+BARAZA+LA+WAZEE+WA+TANU.jpg

Ushapata kuona popote picha za namna hii zikionyeshwa?
Bado hujaona.

Hujajiuliza kwa nini na hawa ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika?
Hapo Wakristo ni watatu tu.

Nyerere, Bhoke Munanka na John Rupia.
Hii ndiyo historia ya Nyerere.

Yaani wewe ni sawa na wale wenye akili ndogo waliolishwa sumu na msemo kwamba "wengi wape" yaani hata km hao wengi ni vichaa? Yaani kuwapo wakristo watatu wenye akili ya kufanya kila kitu bado unahesabu na hao makapi?. Acheni dharau jamani mambo sio rahisi hivo hata misemo ya wahenga ina exceptions km unafikiria kisawasawa.
 
Nketi,
Umekasirika.

Hebu kwa jitulize na ujitahidi kujibu maswali yangu.
Bado sijakukatia tamaa.

Unajua safari ya Nyerere kwenda UNO ukusannyaji wa fedha ulikuwa chini ya
Idd Faiz Mafongo?

Je unamfahamu?

Au umepata popote kusikia anatajwa?

Lugha za ''makapi'' si za kiungwana.

Ungelijua Jumbe Tambaza au Dossa Aziz walifanya nini katika ukombozi
usingetumia lugha hiyo.

Na hawa wamo katika picha hiyo.

Naishia hapa na nakusibiri urudi kwa upole na kwa ustaarabu.
 
Mohamed Said tatizo lako ni kwamba hisia zako na matamanio yako ingefaa hawa wazee wa kiislam ndio waliostahili kuwa rais,makamu ama mawaziri wakuu.hakuna ubishi kwamba hawa wazee walikuwa na mwamko wa kupambana na wakoloni,lakini kwa njia ipi?Hawakuwa na elimu na uelewa wa kutosha.
Hiyo ni moja ya sababu ya kumhitaji na kumkaribisha Mwl.Nyerere miongoni mwao.Baada ya hapo wazee wetu hawakuweza kwenda na kasi ya Mwalimu.Lakini la msingi kabisa mwalimu hakumbagua yeyete kwa sababu ya dini yake.

Kihega,
Umerahisisha sana hoja yako.

Labda nikuulize ni ilm gani anahitaji binadamu ili adai uhuru wake?
Au unataka kunambia ukiwa na ilm ndiyo sababu ya kupenda kutawaliwa?

Hivi ushamsikia Hamza Kibwana Mwapachu?
Unaijua historia ya kudai uhuru?
 
Kihega,Umerahisisha sana hoja yako.Labda nikuulize ni ilm gani anahitaji binadamu ili adai uhuru wake?Au unataka kunambia ukiwa na ilm ndiyo sababu ya kupenda kutawaliwa?Hivi ushamsikia Hamza Kibwana Mwapachu?Unaijua historia ya kudai uhuru?
MS,Hamza Mwapachu si jina geni kwa baadhi ya wa tz unaweza kutujuza ni nani hamza Mwapachu?
 
Inawezekana hukuelewa nililoongea au imekuuma. Mimi nilihudhuruia professorial inaugural lecture yake tena wakati huo akiwa waziri wa fedha. Na kama hukubaliani nami basi waulize wengine waliokuwapo kama watakubali kusema ukweli ingawa wengine wanaweza kuwa neutral kumtunzia heshima ndugu aliyenagulia mbele ya haki. Baadhi ya waiokuwapo ni pamoja na Profesa Wangwe na Profesa Baregu; marehemu Profesa Haroub Othman alionyesha wazi kutoridhika na lecture ile moja kwa moja, ambapo Profesa Shivji, ambaye hakuwapo kwani wakati huo alikuwa Sabbatical leave, lakini alisoma makala yake lecture yenyewe naye aliipinga. Nimekuambia kuwa lecture ilikuwa ni pumba tupu, na kama huridhiki na maneno yangu, basi tafuta makala ya lecture ile utuletee uchambuzi wako.
Kichuguu,

Ama wewe kichuguu kweli, yaanu hao uliowataja wote walompinga Prof Malima ni watu walio pro-nyerere policies. Ni watu waliouza profession zao kwa thamani ndogo nayo ni blind allegiance to the Supreme Leader (pure communism)
Na hadi hii leo nduo hao waliomo katika hicho kiitwacho «Kigoda cha Mwalimu»

Hizi zako ndio pumba tena zile pumba kumvi hazifai hata kuliwa na mnyama!
Ritz kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom