kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Inawezekana hukuelewa nililoongea au imekuuma. Mimi nilihudhuruia professorial inaugural lecture yake tena wakati huo akiwa waziri wa fedha. Na kama hukubaliani nami basi waulize wengine waliokuwapo kama watakubali kusema ukweli ingawa wengine wanaweza kuwa neutral kumtunzia heshima ndugu aliyenagulia mbele ya haki. Baadhi ya waiokuwapo ni pamoja na Profesa Wangwe na Profesa Baregu; marehemu Profesa Haroub Othman alionyesha wazi kutoridhika na lecture ile moja kwa moja, ambapo Profesa Shivji, ambaye hakuwapo kwani wakati huo alikuwa Sabbatical leave, lakini alisoma makala yake lecture yenyewe naye aliipinga. Nimekuambia kuwa lecture ilikuwa ni pumba tupu, na kama huridhiki na maneno yangu, basi tafuta makala ya lecture ile utuletee uchambuzi wako.
We kijana mara nyingi umekuwa ukimkashifu Marehemu mzee Malima kwa kusema. Mara hakuwa na uongozi bora! Mara maongezi yake na lectures zake hazikuwa na maana!
Kumbuka yule muheshimiwa Alikabidhiwa WIZARA NYETI SAANA na NCHI!
Tena awamu zote mbili!
Sasa wewe na hao wenzako watoa kashfa! Kama nyie mna elimu saana na ni mahodari wa kuongoza
Chadema inasambaratika kwa kukosa watu wa kusimamia chama chao!
Hebu jisogeze huko ukasaidie.
Huwezi kujua. Muheshiwa Dr Slaa amesha halalisha GONGO!
Labda we ukikazana kidogo unaweza kuwa waziri wa hio wizara ya wasema ovyo!