The Tussle Between the President and the Professor: The Story of Prof. Malima

Tatizo unarukaruka sana na idd faiz wako kwa sababu ya udini. Nijibu basi na hili swali " UMEWAHI KUSIKIA KATIKA BARA LA AFRIKA MUISLAMU AKAONGOZA HARAKATI ZA UKOMBOZI KATIKA NCHI"?.........Au wewe kazi yako kuhesabu mikia na sio vichwa?Usipoweza kujibu hili rahisi basi acha na mengine
 
Kichuguu you are Genious! wewe ni hazina ya historia.Kweli utu uzima dawa maana pamoja na uzee wako unawapa elimu bure na kwa upole hawa vijana wasio na adabu hata katikati ya maandishi yao kisa kumtetea Mzee Mohamed Said.
Wapige sindano za kutosha!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…