The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Wasaalam!

Ni ukweli pasi na shaka, hakuna kitu kizuri duniani kama mapenzi, kupendwa, iwe na ndugu (familia), rafiki ama mpenzi.

Love is most beautiful feeling in the world, yet people are afraid to be in it. 😤

Whether we know it or not most of us are afraid of really being in love.

Kupitia nyuzi mbalimbali ndani ya majukwaa ya JF ama nje ya majukwaa hayo watu wengi wanaonekana kuhalalisha swala la kuingia kwenye mahusiano nusu nusu "mguu nje, mguu ndani" kwa kigezo cha kuepuka kuumia itapotokea uhusiano kuvunjika or whatever.

People afraid of investing their emotions kwa wapenzi wao au mahusiano yao kwa kigezo tu cha kuogopa kuumizwa.

Our fears may manifest themselves in different ways or show themselves at different stages of relationship, we all harbor defenses that we believe on some level will protect us from getting hurt.

These defenses may offer us a false illusion of safety or security, but they keep us from attaining the closeness we most desire.

I wonder how can someone be in relationship na aka control kiwango cha kumpenda mtu huku akijiangalia nafsi yake kujilinda na kuumia na maumivu ya mapenzi hapo baadae, for me that is "Selfishness" tunatengeneza mazingira ya kuua mahusiano yetu mwanzoni kabisa, kwa hisia zetu za ubinafsi.

Love must be unconditionally as affection without any limitations/conditions.

Jamii, vijana tumejawa na ubinafsi wa kihisia huku kila mtu akiingia kwenye mahusiano kwa kujihami, tunawezaje kutegemea mahusiano kufika mbali kwa minajiri hiyo?

What drives our fears of intimacy? What keeps us from finding and keeping the love we say we want?

We have to stop being so emotionally selfish.

Selfishness destroys relationship, let's be real and honestly to our feelings.

No matter umekutana na changamoto gani kwenye mahusiano yako yaliyopita, tambua dunia bado ina watu wazuri sana wanaoishi. Set yourself free from the heavy burden of your past and let love leads.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Nikimpenda mtu haki siwezagi kujizuia lazima ajue tu, nafikiri ndivyo nilivyozaliwa.

Na pia akinitoka moyoni lazima ajue maana kila kitu kitakata chenyewe, nafikiri ndivyo nilivyoumbwa pia.

Upendo na chuki huwa haviachani saaaaanaaaa... inategemea na kitu gani kitaanza kati ya kupenda na kutokupenda
 
Ni kweli kabisa...kwangu mimi huwa naona bora mtu usiwe na mahusiano kuliko huko kunakoitwa kuingia nusu-nusu. Hivi hata inawezekana vipi? Mtu unawezaje kucontrol suala la kupenda hata uwe na uwezo wa kuzigawanya hisia zako?
Haha ni kweli kabisa, I second you...bora ujue kabisa upo single, kuliko mambo ya speed gavoner ya mapenzi 😂 i wonder watu wanawezaje .

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Nikimpenda mtu haki siwezagi kujizuia lazima ajue tu.nafikiri ndivyo nilivyozaliwa.

Na pia akinitoka moyoni lazima ajue maana kila kitu kitakata chenyewe.nafikiri ndivyo nilivyoumbwa pia

Upendo na chuki huwa haviachani saaaaanaaaa...inategemea na kitu gani kitaanza kati ya kupenda na kutokupenda
Umesema kweli mkuu, there is a thin line btn love and hate.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Umeandika notes tupu kaka.... fear inafanya tunapotezea kufall in love which is not a good thing. This can be trick sometimes unapoteza hadi confidence.
 
Niacheni nilivyo inatosha. Madhara ya kuingia kwenye mapenzi kichwa na miguu ni makubwa kuliko upendo wa kubeep. Akionesha upendo atapendwa akizingua let him/her go. Ya nini kujipa msongo wa mawazo na mwisho kisukari kikubebe? Kuna jinsia siku hizi imetrngeneza maigizo ya mapenzi kwa hiyo ili uende nayo sambamba ni vema ukacheza na script tu.
 
Umeandika notes tupu kaka.... fear inafanya tunapotezea kufall in love which is not a good thing. This can be trick sometimes unapoteza hadi confidence.
😂😂True comrade , nilikutana na kibonzo kimoja huko twitter , kuna bwana mmoja ali tweet hivi

"ukiona umeanza kumpenda sana mwanamke ujue umekaribia kufa"

Nikawaza ni aina gani ya mahusiano tunayajenga these days 😤

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Niacheni nilivyo inatosha. Madhara ya kuingia kwenye mapenzi kichwa na miguu ni makubwa kuliko upendo wa kubeep. Akionesha upendo atapendwa akizingua let him/her go. Ya nini kujipa msongo wa mawazo na mwisho kisukari kikubebe? Kuna jinsia siku hizi imetrngeneza maigizo ya mapenzi kwa hiyo ili uende nayo sambamba ni vema ukacheza na script tu.

Sasa chief kila mmoja akisema asubiri mwenzie aanze kuonyesha upendo tutafika kweli?? I guess ukiamua kumpenda mtu mpende tu. 😂

Let's meet at the top , cheers 🍻
 
Yaani hakuna raha kama pale feelibgs zinakuwa mutua, hii raha acha kabisa.

Exactly mkuu, thought it is very rarely now days.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Sasa chief kila mmoja akisema asubiri mwenzie aanze kuonyesha upendo tutafika kweli?? I guess ukiamua kumpenda mtu mpende tu. [emoji23]

Let's meet at the top , cheers [emoji482]
Tumeyafanya mapenzi yamekuwa kitu cha ajabu ajabu tu eti mara tunapimiana, mara tunategeana sijui hata raha yake nini. Mpende mtu kama hakupendi basi ni his/her loss wala hutakiwi kujilaumu kwa kumpenda mtu.
 
Watu wapo selfish kwasababu ya mambo kadha wa kadha.

1. Mahusiano ya nyuma na mambo waliyokutana nayo.

2. Makuzi aliyopitia kutokea utotoni, kuna watu hawajui nini maana ya neno affection in reality. Hawajawahi kupata upando kwenye familia zao na wamekuwa hivyo, ukimuonyesha upendo anaona kama unamuigizia au haupo real kwake.

3. Kukosa umakini, kuwa serious. Kuna watu sababu ya kutokuwa na malengo ya kimaisha huingia katika mahusiano kama sehemu ya kula bata tu, ila sio kuwa serious na mtu na kuweka malengo. Hii ni aina ya uchoyo kwa kutokuwa considerate na hisia za mwingine pamoja na muda wake anaopoteza kwake.

4. Kutokuelewa nature ya binadamu na tabia zake. Kuna watu huwa wanataka mtu a behave na kuwa namna vile wao wanataka akiona tofauti anaanza kujenga hisia kuwa huyu mtu si sahihi kwangu. Yet haujiulizi ni kwann yeye kila anaekutana nae basi anashida kwake. Haujiulizi kwann analist kubwa ya MaX. Kuwa na vigezo vya kujilazimishia huwa zinawapa watu kichaa cha kutaka kuamua ni mtu gani aje katika maisha yao jambo ambalo ni upuuzi. Unaweza dhani mwanaume mrefu mwenye sauti nzito ndie unahitaji ili kuwa na furaha ila ukashangaa picha ni tofuti kumbe mfupi ndie anakupa amani ya moyo.
 
Now you talk ✊🏽, nimekuelewa chief.

Salute ! You said it all chief.

Kwa maelezo yako ni vyema Kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya kumjua vema muhusika, ni bora kuendelea kuwa washikaji kuliko kuingia kwenye uhusiano msioweza Ku sacrifice na kuwa na mutual feelings.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
It hurts to love someone
and not be loved in return
But what is more painful is to love someone
and never find the courage to let that person know how you feel,

May be God wants us to meet a few wrong people before meeting the right ones
So, that when we finally meet the right person we will know how to be grateful for that gift,

Love is when you take away the feeling, the passion, and the romance in a relationship and find out you still care for that person.

A sad thing in life is when you meet someone who means a lot to you, only to find out in the end that it was never meant to be
and you just have to let go,

When the door of happiness closes, another opens but oftentimes we look so long at the closed door that we don't see the one which has been opened for us.

The best kind of friend is the kind you can just be with, never say a word, and then walk away feeling like it was the best conversation you have ever had.

It is true that we don't know what we've got until we lose it, but it's also true that we don't know what we've been missing until it arrives.

Giving someone all your love is never an assurance that they'll love you back!
Don't expect love in return,
just wait for it to grow in their heart,
but if it doesn't, be content it grew in yours.

There are things you'd love to hear that you would never hear from the person whom you would like to hear them from
but don't be so deaf as not to hear it from the one who says it from their hearts.

Never say goodbye if you still want to try
never give up if you still feel you can go on
never say you don't love a person anymore if you can't let go.

Love comes to those who still hope although they've been disappointed, to those who still believe although they've been betrayed, to those who still need to love although they've been hurt before,
and to those who have courage
and faith to build trust again.

It takes only a minute to get a crush on someone, an hour to like someone and a day to love someone
but it takes a lifetime to forget someone.

Don't go for looks, they can deceive, Don't go for wealth even that fades away,
Go for someone who makes you smile because it takes only a smile to make a dark day seem bright.
Hope you find someone that makes you smile.
 
Back
Top Bottom