Director Kenny
JF-Expert Member
- Jan 11, 2020
- 347
- 845
Umarekani mwingi[emoji23][emoji23]Nazani huu uzi umedhaminiwa na watu wa marekani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umarekani mwingi[emoji23][emoji23]Nazani huu uzi umedhaminiwa na watu wa marekani..
Sindio hapo bana yani mambo mengine yanashangaza sana.Ni kweli kabisa...kwangu mimi huwa naona bora mtu usiwe na mahusiano kuliko huko kunakoitwa kuingia nusu-nusu. Hivi hata inawezekana vipi? Mtu unawezaje kucontrol suala la kupenda hata uwe na uwezo wa kuzigawanya hisia zako?
Sina shaka na hiloMimi hupenda robo robo,naupenda moyo wangu na furaha yangu, na mapenzi kwangu sio kiupaumbele. Na nikiona nakolea upendo naachana
Wazi kabisa.True ..unachopaswa wewe kufanya nikuwa positive tu .ukiwa positive then ikatokea mtu akakusaliti mwenye tatizo anakuwa ni yeye nasio wewe .. Wewe unapaswa kujivunia ktk upande sahihi
Indeed but mmh maumivu yake nayo ni balaa
Mmmmmhhh hamna kitu kama hicho,hasa kwa nyinyi wanawake,tena nyinyi mkizama hamsikii wala hamshauriki mnakauli yenu moja ,utasikia ".....sasa sijui nifanyeje......".Mimi hupenda robo robo,naupenda moyo wangu na furaha yangu, na mapenzi kwangu sio kiupaumbele. Na nikiona nakolea upendo naachana
Si kweli wanawake tunaweza ishi na mtu tusiyempenda na tukazaa naye kwa sababu tu ya kitu flaniMmmmmhhh hamna kitu kama hicho,hasa kwa nyinyi wanawake,tena nyinyi mkizama hamsikii wala hamshauriki mnakauli yenu moja ,utasikia ".....sasa sijui nifanyeje......".
Mkuu kuwajua wanawake wawili watatu usihitimishe unawajua wanawake wa dunia nzimaMmmmmhhh hamna kitu kama hicho,hasa kwa nyinyi wanawake,tena nyinyi mkizama hamsikii wala hamshauriki mnakauli yenu moja ,utasikia ".....sasa sijui nifanyeje......".
"Na nikiona nakolea upendo naachana.."Si kweli wanawake tunaweza ishi na mtu tusiyempenda na tukazaa naye kwa sababu tu ya kitu flani
Ni hatari kuwekeza hisia zako za mapenzi huku Africa maana watu wengi ni waongo Sana, ukicheza kidogo unaumizwa tu heri kuishi kimachale na kupeana space kabisa, na before commitments ni Bora kuambiana lengo lenu la mahusiano in case of anything mtu ha fall mazima na I don't allow mtu kuingia ndani sanaNimeishi hayo maisha unayoishi wewe muda mrefu yanafaida zake tena kubwa
1 wapo nikuepuka kuwa katika maumivu mara kwa mara na Mlima wa stress .pia inasaidia kukupa time ya kuweza kufanya mambo yako yanayo husu malengo makubwa uliyojiwekea ktk maisha
But changamoto iliyopo ni kwamba Kama hautotaka kubadilika waweza jikuta unaumiza hisia za watu wengi katika maisha yako cuz inaweza kutokea ukapata mpenzi akawa anakupenda kweli kwa dhati ya moyo wake wote tena akawa anajitoa kwako kisawa sawa " but kwakuwa wewe umeshapoteza hisia za upendo utashindwa kuuthamini upendo anaokupatia na mwisho wa siku utamuumiza. .. hii ni mbaya waweza kumsababishia mtu mauti " Binafsi naogopa sana kumsababishia binaadamu mwenzangu maumivu
Though jambo lingine ni kwamba waweza jikuta unampoteza mtu muhimu sana katika maisha yako bila ya wewe kutambua
Ninao wajua wengi sana tena sana ninacho kiongea nina uhakika nacho nyie sometimes mnatufanya mpaka ndugu zenu wa kiume tuonekane mafala mkishapenda.Mkuu kuwajua wanawake wawili watatu usihitimishe unawajua wanawake wa dunia nzima
Hao ni wanawake wasioambilika ni wale wanategemea mtu asilimia zote, wanawake huwa kwanza hatupendi mwanaume tunaongozwa na mood swings"Na nikiona nakolea upendo naachana.."
Hii kauli yako naipinga wanawake mkizama mmezama kweli,hamshauriki hamuambiliki.
Si kweli twaweza kutoa Hadi machozi kumbe tuna pretend usituchukulie wanawake mafalaNinao wajua wengi sana tena sana ninacho kiongea nina uhakika nacho nyie sometimes mnatufanya mpaka ndugu zenu wa kiume tuonekane mafala mkishapenda.
Lakini kumbuka pia kuwa to every general rule there are exceptions. Sijui kama nimeandika sawa ila inaeleweka. Binadamu sisi tumeumbwa tofauti sana ndio maana wakati wewe unainjoi kula papuchi kuna mwenzio mwenye dushe kama wewe anainjoi kula Tigo za wanaume wenzieNinao wajua wengi sana tena sana ninacho kiongea nina uhakika nacho nyie sometimes mnatufanya mpaka ndugu zenu wa kiume tuonekane mafala.
Nyie wanawake kupenda nusu hamuwezi najua mtabisha ,nyie mkizama mshazama sometimes mnawachukia mpaka ndugu zenu hasa sisi makaka,wajomba mnatuonaga mafala ninacho kiongea nina uhakika nacho.Si kweli twaweza kutoa Hadi machozi kumbe tuna pretend usituchukulie wanawake mafala
Sijui lkn majority ya nyinyi wanawake mkishazama mmezama mazima,mpaka sometimes unajiuliza hivi dada yangu pale kapenda nini unakosa majibu na ukimwambia ukweli anakuona adui.Lakini kumbuka pia kuwa to every general rule there are exceptions. Sijui kama nimeandika sawa ila inaeleweka. Binadamu sisi tumeumbwa tofauti sana ndio maana wakati wewe unainjoi kula papuchi kuna mwenzio mwenye dushe kama wewe anainjoi kula Tigo za wanaume wenzie
Sina shaka juu ya hiloSi kweli wanawake tunaweza ishi na mtu tusiyempenda na tukazaa naye kwa sababu tu ya kitu flani