The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

Mimi hupenda robo robo,naupenda moyo wangu na furaha yangu, na mapenzi kwangu sio kiupaumbele. Na nikiona nakolea upendo naachana
Matatizo ndio yanaanziaga hapa 😅


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mapenzi ni kama ujasiriamali wa hisia tu. Usiogope kuwekeza hisia kwa mtu umpendae. Ni jambo zuri na very soothing.Endapo ataleta ngendembwe basi chukulia easy songa mbele. Mapenzi yananoga ukipenda fully bila limits.
You said it all bro ✊🏽💪🏾



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Upo sahihi kwa asilimia zaidi ya 75.

Il wakati nasoma uzi nikakumbuka nyimbo ya Kimombo Kiswahili.
 
Tunapenda
Tunaumizwa
Tunasonga mbele.

Tunaingia wazima.maumivu huwa makali tunapoumizwa lakini hii si sababu ya kutoingia wazima wazima.
That's love, and that's LIFE, acha yatuendeshe tu 😂😂


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mke unalala naye uchi, anakunyonyesha utu uzimani, anakuzalia watoto wako kitu ambacho mamako hawezi kukupa na hyo ndio power shift
Mpaka anakuoa kishaona uchi wa wanawake wangapi,wewe unazani mwanaume anakuoa anataka uchi?

Kuhusu watoto mwanaume anaweza akakuoa ww still bado ana watoto na mwanamke mwengine na vilevile anaweza akazaa na nyumba ndogo kama ukimzingua.

Mwanaume anaoa sio sababu ya uchi au watoto kwani,hivyo vyote anaweza kupata bila hata kuoa.
 
At first, nilijuaga wote tunafanana.
Niliamini wote tuna hofu ya Mungu.
Sisemi kwamba kuna aliye perfect hapana. Ila jamani nilichokuja kujifunza na kuexperience is quiet different. Kuna watu wakatili sana. Sana sana sana. Sijui hata niielezeeje hiyo hali. Mpaka naogopa. Unajiuliza huyu anawezaje kunifqnyia hiivi na bado akaendeleq kuishi na amani ya moyo akawa nayo tele. Wanawezaje jamani? Mbona mm siewezi?

Anyways... mwisho wa siku tunasonga mbele. Lakini ubinafsi umekithiri sana juu ya hisia za watu. Bora mnapoingia mahusiano muulizane mwanzoni kabisa mwa mahusiano nini malengo ya mahusiano yenu. One man said to me that he was "just having fun" that thing tortured me for five good years acha maukatili mengine. Since then, i love yes, ila utakaponiambia lets breakup basi nitashukuru na kuendelea na maisha ijapokua inaumiza sana. Sijui watu wanawezaje jamani. Tuhurumieni wengine. Sisi si malaika lakini kuna mengine na kifanyiana ukatili tu kufurahisha nafsi zenu.

Ninaomba angalau hofu ya Mungu iwe imetawala. Ambao hawanaga hofu ya Mungu ndo huwa rahisi sana kufanya matukii kama haya.

Good thing is, huwa tunasamehe. Ijapokua hatisahau kwani ni makovu tayari. Wengine tumelelewa katika familia na upendo kianzia mababu na mabibi tukiamini kila mtu yuko hivyo. Dunia iko tofauti sana. Tuhurumiane jaman. Inaumizaa sana.

Hatuwezi sema tutakua wakatili ama kuingia nusu nusu kwani malezi yetu tooa mimba tumelelewa ktk misingi ya upendo hivyo haiwezi tubadili tuwe tofauti. Tyats faking perfection. Tutabaki kiwa na upendo. Hakuna mkamilifu. Tusaidiane ktj kukua.
Umaeongea kwa uchungu Sana mkuu, it seems kuna mengi na makubwa umepitia kwenye uhusiano/mahusiano yako........naomba Mungu akuponye na akupe nguvu ya kuanza upya.

Dunia bado Ina watu wengi wazuri wanaishi, usikate tamaa.



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Nikimpenda mtu haki siwezagi kujizuia lazima ajue tu.nafikiri ndivyo nilivyozaliwa.

Na pia akinitoka moyoni lazima ajue maana kila kitu kitakata chenyewe.nafikiri ndivyo nilivyoumbwa pia

Upendo na chuki huwa haviachani saaaaanaaaa...inategemea na kitu gani kitaanza kati ya kupenda na kutokupenda
Tunafanana kabisa
 
Hakuna kitu kibaya kama kuingia mzima mzima maana hakuna binadamu asiyebadilika.
Wote tuna tabia ya kubadilika kutokana na experiences mpya au kukutana na watu wapya.

Anaekupenda leo yawezekana asikupende kwa kiwango kile kile kesho au la asikupende kabisa kwa kukutana na mtu ambaye anablend nae vizuri kuliko wewe.

Binadamu sio mbwa kusema u_mtrain akuone vile vile kila siku ila ataamua yeye kukaa ama kuondoka pale atakapokutana na mabadiliko.
Bado huko kuingia nusu nusu sio solution, lakini pia you can still share with us, how can you able to do that, kupenda nusu nusu. 😤




Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Do not commit to anyone I use this point and it works kuliko wanaodaganya wenzao na kuishia kuwaumiza
So what if umekutana na the guy, akaonesha kukupenda na kukubali Ku sacrifice kila kitu, bado utaendelea na msimamo huo?


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mpaka anakuoa kishaona uchi wa wanawake wangapi,wewe unazani mwanaume anakuoa anataka uchi?

Kuhusu watoto mwanaume anaweza akakuoa ww still bado ana watoto na mwanamke mwengine na vilevile anaweza akazaa na nyumba ndogo kama ukimzingua.

Mwanaume anaoa sio sababu ya uchi au watoto kwani,hivyo vyote anaweza kupata bila hata kuoa.

True 💯, its not all about sex muda wote, unapoamua kuoa kuna kitu extra unahitaji, that's LOVE!



let's meet at the top, cheers 🍻
 
Mpaka anakuoa kishaona uchi wa wanawake wangapi,wewe unazani mwanaume anakuoa anataka uchi?

Kuhusu watoto mwanaume anaweza akakuoa ww still bado ana watoto na mwanamke mwengine na vilevile anaweza akazaa na nyumba ndogo kama ukimzingua.

Mwanaume anaoa sio sababu ya uchi au watoto kwani,hivyo vyote anaweza kupata bila hata kuoa.
Kwani na huyo mwanamke si anakuwa ameona nyuchi za kila aina na size, kuzaa hata ukizaa na wanawake kumi haimaanishi mamako anaweza ku replace hyo nafasi.
Hata wanawake pia wanazaa tofauti, so you have to accept mzazi alikuwa chombo Cha kukuleta dunia tu Kama na wewe utakavozaa watoto basi.
 
So what if umekutana na the guy, akaonesha kukupenda na kukubali Ku sacrifice kila kitu, bado utaendelea na msimamo huo?


Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Staki tu kupendwa mkuu, najipenda mwenyewe inatosha kabisa, napenda kuishi life langu mwenyewe bila kufatiliwa.
 
True [emoji817], its not all about sex muda wote, unapoamua kuoa kuna kitu extra unahitaji, that's LOVE!



let's meet at the top, cheers [emoji482]
Kwani unafikiria na wanawake huwa tunafikiria hilo tendo
 
Staki tu kupendwa mkuu, najipenda mwenyewe inatosha kabisa, napenda kuishi life langu mwenyewe bila kufatiliwa.
Bora ujipende mwenyewe tu mwaego 😅, mapenzi matamu sema yana ugumu wake, you have to sacrifice a lot, sasa si kila mtu anaweza hivyo, Understood.



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Ninaweza pendwa Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaweza penda tena

😂 I love that song, hasa ile remix yake , huwa unanifanya nijifeel alive all the time....


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Back
Top Bottom