The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia


Very strong and emotional words, let me copy and keep it for me .



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
True love na thamani ya upendo wa penzi haiexist kabisa..especialy in africa..najua mtanishambulia lakini wachache wenye akili wataelewa ninachoongea...sababu wanaume wa kiafrica kwa asilimia kubwa wamehalalisha michepuko kiasi kwamba mwanaume asiecheat anaitwa mgonjwa au hana hela...seriously? Dunia imefika pabaya na upendo wa wengi umepoa hadi kwenye ndoa ni vilio tu
 

You're right though sidhani kama tatizo lipo kwa wanaume pekee.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Siamini kama leo na ww unamini ktk feelings,kwa hiyo pochi na feelings bora feelings au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona hivyo ujue pochi imekuwa ngumu hivyo namna pekee ilobakia ni feelings tu. Ila na pochi isiwe mbali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiona hivyo ujue pochi imekuwa ngumu hivyo namna pekee ilobakia ni feelings tu. Ila na pochi isiwe mbali.
😀😀😀
 
Umeandika notes tupu kaka.... fear inafanya tunapotezea kufall in love which is not a good thing. This can be trick sometimes unapoteza hadi confidence.
100% correct
 
Namba3 umenibariki sana
 
Tumeyafanya mapenzi yamekuwa kitu cha ajabu ajabu tu eti mara tunapimiana, mara tunategeana sijui hata raha yake nini. Mpende mtu kama hakupendi basi ni his/her loss wala hutakiwi kujilaumu kwa kumpenda mtu.
True ..unachopaswa wewe kufanya nikuwa positive tu .ukiwa positive then ikatokea mtu akakusaliti mwenye tatizo anakuwa ni yeye nasio wewe .. Wewe unapaswa kujivunia ktk upande sahihi
 
Mapenzi yamekuwa kama fumbo la imani
 
Mimi hupenda robo robo,naupenda moyo wangu na furaha yangu, na mapenzi kwangu sio kiupaumbele. Na nikiona nakolea upendo naachana
Nimeishi hayo maisha unayoishi wewe muda mrefu yanafaida zake tena kubwa
1 wapo nikuepuka kuwa katika maumivu mara kwa mara na Mlima wa stress .pia inasaidia kukupa time ya kuweza kufanya mambo yako yanayo husu malengo makubwa uliyojiwekea ktk maisha

But changamoto iliyopo ni kwamba Kama hautotaka kubadilika waweza jikuta unaumiza hisia za watu wengi katika maisha yako cuz inaweza kutokea ukapata mpenzi akawa anakupenda kweli kwa dhati ya moyo wake wote tena akawa anajitoa kwako kisawa sawa " but kwakuwa wewe umeshapoteza hisia za upendo utashindwa kuuthamini upendo anaokupatia na mwisho wa siku utamuumiza. .. hii ni mbaya waweza kumsababishia mtu mauti " Binafsi naogopa sana kumsababishia binaadamu mwenzangu maumivu

Though jambo lingine ni kwamba waweza jikuta unampoteza mtu muhimu sana katika maisha yako bila ya wewe kutambua
 
Daah ,,mkuu naona kiingereza chakuzidii,,. Kuna vipengele hatujaenda sawa. Ila nimeng'amua tu kuwa mada inahusu mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…