The Ugly truth: Tunaishi kwenye dunia iliyojaa watu wenye ubinafsi wa kihisia

Mimi siongei kukufurahisha naongea ninacho kiamini na kukiona nimeshashuhudia kwa wengi na kusikia kwa wengi na mwisho wa siku wote wanaongea kilekile cha kulalamika wake zao wamewatengeneza.

Mimi ni baba yangu mdogo na Mjomba wangu wote wanahela na wote watoto zao wamesoma USA na CANADA nje,lkn wengi hawa kuwasidia mama zao mpaka wakikaa chini wakijiuliza kwanini walifanya hivyo hawana majibu na wote sasa hivi wote wametafuta nyumba ndogo.

Huwezi amini yaani hawa siku kukifanyika kumbukumbu ktk makaburi ya bibi na babu,yaani wao msiba unaanza upya wanalia kama watoto wadogo,sababu wanajiuliza majibu hawana.

Nina mwanangu yaani kama kaka yangu,mpaka sasa hajui kwa nini hajamsaidia mdogo wake wakati uwezo anao (ana nyumba,gari kali hizi million milioni hazimpigi chenga) matokeo yake,dogo alikuwa anazagaa zagaa wakati yy ndio kamtoa kijiji KONDOA ili amsomeshe VETA umeme ,lkn dogo kakaa ww wee kwa kaka yake sasa hivi anakula bange na gongo kama hana akili nzuri.

Hawa wote watatu wana wachukia wake zao wa ndoa,mimi sasa jiulize kwa nini wana wachukia wake zao.

NARUDIA TENA NGUMU SANA KUVUNJA BOND YA MAMA NA MWANAMME,kwa kisingizio cha UCHI na WATOTO kwani hivi vinapatikana kwa wanawake wengine.Kama huamini ktk tunguli basi sawa ila libwata lipo,baadhi ya wengi wenu ndio wateja wakubwa wa waganga.

Ndio maana ktk maisha yangu sitokuja kuoa mwanamke MSHIRIKINA au SLAY QUEEN au wale wa 50/50.

Mshirikina najua atanitenganisha na ndugu zangu pamoja na wazazi wangu,Slay Queen huyu kupiga hatu kimaendeleo kazi sababu kila siku siku yy anataka kwenda na wakati (simu ,magari,nguo anataka kubadilishiwa kila mara),50/50 nyumba inakuwa kama kijiji cha kambale baba ndevu,mke ndevu.

Ila ktk hao wote MSHIRIKINA ndiye mbaya sana na kwa bahati mbaya wanawake wengi wenu mnaangukia ktk kundi hili.
 
Naunga mkono hoja

True love isn't hard to find
Is just very hard for us to show
 
Nafuatilia mjadala kwa umakini
 
Asante saba Mkuu. May we heal. Lakini muhimu kuliko yote tuasiache kuwa positive. Inasaidia sana. All will be well
 
Nakubali kwamba binadamu hubadilika. Lakini mashaka yanapokua makubwa basi mbeleni si mazuri yajayo. Kuishi kwa machale si kuzuri.
 
Some people are not really selfish....they are afraid!

hatuogopi kupenda tunaogopa kuumia....na maumivu tunayajua mana tushayapitia...so we build walls around our hearts.,
 
Asante saba Mkuu. May we heal. Lakini muhimu kuliko yote tuasiache kuwa positive. Inasaidia sana. All will be well
Hakika , ✊🏽



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Some people are not really selfish....they are afraid!

hatuogopi kupenda tunaogopa kuumia....na maumivu tunayajua mana tushayapitia...so we build walls around our hearts.,

Its another kind of selfishness though πŸ˜…



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Bado huko kuingia nusu nusu sio solution, lakini pia you can still share with us, how can you able to do that, kupenda nusu nusu. [emoji36]




Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Ni battle lakini mara nyingi inatokea pale unapokosa kuamini tena au ile excitment ama thrill ya love itself. Hii inapelekea kuwa na expectations ndogo kiasi cha hisia kutokukutawala tena yaani hutozidharau redflags zikitokea au kuona life is impossible without that person.
 
Aisee, so simply ni kuwa mapenzi yanakuwa si kitu kikubwa , chenye maana ama kipaumbele kwenye maisha yako, right?



Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Yeah true, na kuna point inafikia unaona kabisa kwa akili hizi za kibinadamu huwezi tena kufanya jambo au maamuzi kwa utashi wako pekee, that's the time you need GOD. 😊


Let's meet at the top, cheers 🍻
haswaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…