The undisputed and magnificent artists: Wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi Bongo

Diamond ni avarage kwenye sanaa ya muziki/kuimba ila wasanii wote kawapiga bao kwenye Mind ya ku mantain brand n business. Si unaona sasa ivi anaimba upuuzi tu..
Diamond sio average artist ni msanii mwenye uwezo mkubwa tu sema tu mziki wake wa sasa anaufanya in strategic way kwa lengo lakuteka soko la kimataifa ndo maana anatumia maneno rahisi na yanayoshikika ili kumwezesha mtu ambaye hajui kiswahili kuimba vizuri na amefanikiwa kwa hilo.
 
Hayo yote uliyozungumza hayakufanyi ufike mbali kisanaa.
Yeye mwenyewe huwa anakiri ukija kwenye kuimba kuna wasanii wengi tu wakali.

Ni kweli...
Hiyo ipo dunia nzima, inachukua zaidi ya talent kufanikiwa

Kwangu mimi hata Barnaba ana BIO nzito ila itakuja kujulikana siku akifariki
 
Diamond ni avarage kwenye sanaa ya muziki/kuimba ila wasanii wote kawapiga bao kwenye Mind ya ku mantain brand n business. Si unaona sasa ivi anaimba upuuzi tu..

Diamond amezungukwa na watu wanaoijua biashara na figisu za muziki wa bongo flava.... hii imemsaidia sana ingawa hata yeye ni hardworking

Power aliyonayo diamond au WCB ni ile ambayo clouds iliishikiria muda mrefu..

"Kucontrol trend ya muziki na kuiteka showbiz.. "
 
Diamond sio average artist ni msanii mwenye uwezo mkubwa tu sema tu mziki wake wa sasa anaufanya in strategic way kwa lengo lakuteka soko la kimataifa ndo maana anatumia maneno rahisi na yanayoshikika ili kumwezesha mtu ambaye hajui kiswahili kuimba vizuri na amefanikiwa kwa hilo.

Diamond can sing beautifully ila vocally yupo plain sana.. Angalia show za coke studioz au hata live peformances zake ingawa kwenye utunzi yupo njema
 
Yah kwenye coke studio vocally ilikuwa plain na si tu coke studio kuanzia 2016 kushuka chini ila baada ya kuanza kuimba live band vocally imekuwa bomba angalia alivyofanya live band kwenye uzinduzi wa album yake ya " a boy from tandale" inchini kenya pia angalia show yake aliyoifanya shinyanga ya one mic one show vocally yake was lit pia angalia alivyofanya live band ya wimbo wake "baila" kwenye show ya wasafi festival ya dar mwezi wa 11 mwaka Huu vocally ilikuwa hatari.
 
mi nafikir lengo lako hasa la makala yako lipo kwenye mapnz dhid ya msanii diamond,umejitahid kuzunguka sana ila ukweli ndio huo..mwanzon umetuambia wasanii wenye vipaji ukaanza vizur kwa kumtaja masanja ambapo umegusa karibia nyanja nyingi za sanaa alizofanya ikiwamo kuimba na maigizo..

ila diamond umeishia kumsifia tu sababu vipawa sijui ulivotaja vyote vinabase kwenye sanaa ya muziki tu,haigizi,hachezi mpira,sio mchekeshaji wala mchoraji..

ushaur,ni heri ungefungua thread ya kwake peke ake ukamsifia unavotaka kwa eneo alilopo la muziki,ungemaanisha unachokilenga na kwa eneo hlo hakuna anamfikia ni kweli kabisa
 
Hivi mbona mnamuabudu sana huyo da'vinci ilhali mnasikia tu stori zake....si engineer na mchoraji tu huyo...
 
Acha zako ww labda hufatilii ulimwengu wa sayansi
Nimeona projects na picha zake nyingi kama ile design ya helicopter ya kwanza...... Kiukweli jamaa alikuwa very smart and genius..... But baadhi ya watu wanaposema alikuwa ni mtu mwenye kipaji kuliko wote naona kama anakuwa overrated.... Tungesema hivyo kama tungeconsider upande wa fani yake tu....
 
mi nafikir lengo lako hasa la makala yako lipo kwenye mapnz dhid ya msanii diamond,umejitahid kuzunguka sana ila ukweli ndio huo..mwanzon umetuambia wasanii wenye vipaji ukaanza vizur kwa kumtaja masanja ambapo umegusa karibia nyanja nyingi za sanaa alizofanya ikiwamo kuimba na maigizo..

ila diamond umeishia kumsifia tu sababu vipawa sijui ulivotaja vyote vinabase kwenye sanaa ya muziki tu,haigizi,hachezi mpira,sio mchekeshaji wala mchoraji..

ushaur,ni heri ungefungua thread ya kwake peke ake ukamsifia unavotaka kwa eneo alilopo la muziki,ungemaanisha unachokilenga na kwa eneo hlo hakuna anamfikia ni kweli kabisa
Nimewaonyesha jinsi mondii anavyo outgrow mawazo wenzake
 
Back
Top Bottom