mi nafikir lengo lako hasa la makala yako lipo kwenye mapnz dhid ya msanii diamond,umejitahid kuzunguka sana ila ukweli ndio huo..mwanzon umetuambia wasanii wenye vipaji ukaanza vizur kwa kumtaja masanja ambapo umegusa karibia nyanja nyingi za sanaa alizofanya ikiwamo kuimba na maigizo..
ila diamond umeishia kumsifia tu sababu vipawa sijui ulivotaja vyote vinabase kwenye sanaa ya muziki tu,haigizi,hachezi mpira,sio mchekeshaji wala mchoraji..
ushaur,ni heri ungefungua thread ya kwake peke ake ukamsifia unavotaka kwa eneo alilopo la muziki,ungemaanisha unachokilenga na kwa eneo hlo hakuna anamfikia ni kweli kabisa