The Undisputed Messi

Hapo mkuu tupo pamoja
 
Mafanikio na makombe timu ya taifa angalia komment ya juu kutoka hii


Asante
 
Mafanikio na makombe timu ya taifa angalia komment ya juu kutoka hii


Asante
mkuu Messi ndio kabeba kombe lake la kwanza la timu ya Taifa, hayo mengine hayatambuliki kama Major Tournament. na nimeona hio picha ya juu hizo ni stats ambazo ni cherry picked. Ronaldo angekuwepo copa America angeyabeba ya kutosha tu, No way Ronaldo acheze fainali 5 dakika 540 akukose.

kombe walilocheza Pamoja champions league kwa muda mrefu Ronaldo amemkimbiza Messi kwa Assist na Magoli.
 
Ameshindwa kuwapeleka final iweje sasa aweze kumpiga mtu final!!!
Usisahau kuwa mchango wa ile Europe aliyochukua mchango wakr ulikua wa kawaida sana
Ata final match alitoka mapema sana,

Final zote walizoingia Argentina, messi alivuja jasho na damu

By the way tukutane mwakani FIFA world cup
 
Mkuu R7 ana goli 5 za Euro tatu ni penalt πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ Ronaldo MAPENALT
 
Vitu pekee Ronaldo anamzidi Messi Ni penalty,magoli ya vichwa Na magoli kwasababu ya mechi nyingi.
Na Katika hizo anayoweza kutamba nayo Ni magoli ya vichwa Tu basi zingine hazina maana.

Kwengine kote kaburuzwa.
 
Lakini hapo Ronaldo Ni attacking forward while Messi Ni attacking midfielder
Wote wameanza career zao kama mawinga, mpaka Spain Ronaldo winga striker wake ni higuain na Benzema, uzeeni kwenye 30s ndio kaanza kucheza kama striker.

Messi nae kipindi cha pep Alikuwa ni false 9.
 
Vitu pekee Ronaldo anamzidi Messi Ni penalty,magoli ya vichwa Na magoli kwasababu ya mechi nyingi.
Na Katika hizo anayoweza kutamba nayo Ni magoli ya vichwa Tu basi zingine hazina maana.

Kwengine kote kaburuzwa.
Ukichukua michuano waliocheza pamoja Ronaldo amemzidi messi magoli, ila Messi Kacheza sana la Liga ligi yenye magoli mengi ndio maana unaona Kam karibia Ronaldo, fanya hivi.

1. Hesabu magoli ya LA liga toka Ronaldo afike la liga mpaka aondoke, at same time hesabu ya messi muda huo huo
2.angalia Champions league.

Then utaelewa point yangu
 
Leta ushahidi
Ushahidi ni website ya Uefa.

Assist
Ronaldo 42
Messi 36


Magoli
Ronaldo 134
Messi 120


Na ukiangalia magoli yao sasa ndio unaona utofauti mkubwa.

Magoli mengi ya Messi ni makundi na 16 bora ila ikifika Robo, nusu na Fainali si sana.

Ronaldo yeye ni tofauti kuanzia Robo, Nusu na Fainali yeye ndo anazipenda.

Mfano nusu Ronaldo Ana Goli 13 na messi ana 6 tu, Even Lewandowski amempita Messi kwenye Nusu

 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…