EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #301
mi nimeweka takwimu kama unabisha si ulete wewe tume nani anamechi nyingi?Taja na mechi alizocheza zaidi ya messi😜😜😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nimeweka takwimu kama unabisha si ulete wewe tume nani anamechi nyingi?Taja na mechi alizocheza zaidi ya messi😜😜😜
Sijaona takwimu nimeona manenomi nimeweka takwimu kama unabisha si ulete wewe tume nani anamechi nyingi?
Unajipofusha sio angalia piza kwaza kabisa ndio utaelewaSijaona takwimu nimeona maneno
Tena hizi takwimu hazikuhusisha takwimu za msimu ambao messi amechukuaa ballon D'or ya 6
Me nilichoona hapo nimeona messi ana wastani mkubwa wa kufunga kuliko ronaldo sbb cr7 ana tofauti kubwa ya mechi alizocheza dhidi ya messi pia ana utofauti mdogo wa mabao dhidi ya hasimu wake ukilinganisha mechi alizocheza
Hapo mkuu tupo pamojaMe nilichoona hapo nimeona messi ana wastani mkubwa wa kufunga kuliko ronaldo sbb cr7 ana tofauti kubwa ya mechi alizocheza dhidi ya messi pia ana utofauti mdogo wa mabao dhidi ya hasimu wake ukilinganisha mechi alizocheza
Kwa maana nyingine messi ni GOAL MACHINE
Mafanikio na makombe timu ya taifa angalia komment ya juu kutoka hiiKama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.
Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup
Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.
mkuu Messi ndio kabeba kombe lake la kwanza la timu ya Taifa, hayo mengine hayatambuliki kama Major Tournament. na nimeona hio picha ya juu hizo ni stats ambazo ni cherry picked. Ronaldo angekuwepo copa America angeyabeba ya kutosha tu, No way Ronaldo acheze fainali 5 dakika 540 akukose.Mafanikio na makombe timu ya taifa angalia komment ya juu kutoka hii
Asante
Ameshindwa kuwapeleka final iweje sasa aweze kumpiga mtu final!!!mkuu Messi ndio kabeba kombe lake la kwanza la timu ya Taifa, hayo mengine hayatambuliki kama Major Tournament. na nimeona hio picha ya juu hizo ni stats ambazo ni cherry picked. Ronaldo angekuwepo copa America angeyabeba ya kutosha tu, No way Ronaldo acheze fainali 5 dakika 540 akukose.
kombe walilocheza Pamoja champions league kwa muda mrefu Ronaldo amemkimbiza Messi kwa Assist na Magoli.
Mkuu R7 ana goli 5 za Euro tatu ni penalt 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 Ronaldo MAPENALTmkuu Messi ndio kabeba kombe lake la kwanza la timu ya Taifa, hayo mengine hayatambuliki kama Major Tournament. na nimeona hio picha ya juu hizo ni stats ambazo ni cherry picked. Ronaldo angekuwepo copa America angeyabeba ya kutosha tu, No way Ronaldo acheze fainali 5 dakika 540 akukose.
kombe walilocheza Pamoja champions league kwa muda mrefu Ronaldo amemkimbiza Messi kwa Assist na Magoli.
Leta ushahidikombe walilocheza Pamoja champions league kwa muda mrefu Ronaldo amemkimbiza Messi kwa Assist na Magoli.
Vitu pekee Ronaldo anamzidi Messi Ni penalty,magoli ya vichwa Na magoli kwasababu ya mechi nyingi.Kama unatumia free kicks kama kigezo sio mbaya uka include his statics
-penalty
-magoli ya vichwa
-magoli nje ya 18.
Kama una include magoli ya fainali pia sio mbaya uka include hizi stats
-fainali ngumu kama uefa na world cup
-knockout stage kama za uefa, Michuano ya mabara na world cup
Pia usisahau kuweka na makombe na mafanikio ya timu ya taifa.
Lakini hapo Ronaldo Ni attacking forward while Messi Ni attacking midfielderKwa maana nyingine messi ni GOAL MACHINE
Wote wameanza career zao kama mawinga, mpaka Spain Ronaldo winga striker wake ni higuain na Benzema, uzeeni kwenye 30s ndio kaanza kucheza kama striker.Lakini hapo Ronaldo Ni attacking forward while Messi Ni attacking midfielder
Ukichukua michuano waliocheza pamoja Ronaldo amemzidi messi magoli, ila Messi Kacheza sana la Liga ligi yenye magoli mengi ndio maana unaona Kam karibia Ronaldo, fanya hivi.Vitu pekee Ronaldo anamzidi Messi Ni penalty,magoli ya vichwa Na magoli kwasababu ya mechi nyingi.
Na Katika hizo anayoweza kutamba nayo Ni magoli ya vichwa Tu basi zingine hazina maana.
Kwengine kote kaburuzwa.
Ushahidi ni website ya Uefa.Leta ushahidi
Ushahidi ni website ya Uefa.
Assist
Ronaldo 42
Messi 36
![]()
All-time Player | Most assists Stats | UEFA Champions League
Visit UEFA.com for comprehensive player Most assists all-time stats for UEFA Champions League, including goals, matches played, and many more.www.uefa.com
Magoli
Ronaldo 134
Messi 120
![]()
Champions League all-time top scorers: Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Robert Lewandowski, Karim Benzema | UEFA Champions League
Cristiano Ronaldo and Lionel Messi lead the way for Champions League goals, with Robert Lewandowski now clear in third and a goal from his own century. Ronaldo has netted for Manchester United, Real Madrid and Juventus, with Messi on target for Barcelona and Paris Saint-Germain.www.uefa.com
Na ukiangalia magoli yao sasa ndio unaona utofauti mkubwa.
Magoli mengi ya Messi ni makundi na 16 bora ila ikifika Robo, nusu na Fainali si sana.
Ronaldo yeye ni tofauti kuanzia Robo, Nusu na Fainali yeye ndo anazipenda.
Mfano nusu Ronaldo Ana Goli 13 na messi ana 6 tu, Even Lewandowski amempita Messi kwenye Nusu
![]()
Champions League semi-final records and statistics | UEFA Champions League 2023/24
Cristiano Ronaldo, Robert Lewandowski, Kylian Mbappé and more – from goals and appearances to most wins and youngest scorers, we get the lowdown on the greatest last-four feats in the UEFA Champions League and European Cup.www.uefa.com