The Undisputed Messi

Ndo maana nakuelewesha sasa mkuu..hawa wakina wambura kwnz sio football analysts ilo la kwanza hlf la pili wewe navoona unajua tu kura zinaoigwa na izo pande 2 mzee izo kura kila kundi lina percentage zake na mwsh wa sik wataalam wa football ambao ni ma analysts wao pia wananafas yao kuchavua nan bora..kwhy usitake kufanya kwamba izo kura zinapigwa na nchi au waandishi wa hbr ndo zina impact kwnye matokeo 100%.

Kwanza me nakushangaa sana eti kbs na wewe umekaza mishipa unaona Messi mwaka huu hastaili...au unaleta masihara tu na unazi ndo maana unaongea umefumba macho kua stats huzioni au vipi au umeamua kubishana kurizisha nafs yako ipoze machungu kwa kua hauko tyr kuona Messi anakua na tuzo 7, cr7 anzo 5..polee mkuu najua inauma sana lkn ndo hakuna namna m1 hapo ni bora kuliko mwngne na iyo inajionesha dhairi..wewe jifariji tu hapa kwa mimi kukupa airtime kukusikilza pointless facts zako lkn come december your player atakua anawakirisha idadi ya tuzo zake mgongon.
 
Ebu acha kuja na vitu virahis basi mkuu..mbn unanipa wkt mgumu sana kukuona wewe hata kama una idea ya mpr..Unafikir wao tu uwa ndo wanapanga mixture ya 1st choice X1 na 2nd one hata spain au ligi zngne kubwa katk early stages za mashindano wanafny ivo kwa sbb ya demands za ligi zao na kwa vile wanacheza thursday lkn angalia wakienda hatuza za robo au nusu au final kama utakuta iyo 2nd X1 hata mtu m1 kwa tochi kwa sbb wanataka ubingwa..usilete hoja nyepes kutetea mawazo yako wewe binafs.
 
mkuu tuishie hapa comment yangu ya mwisho

fifa ndio wamemchagua Wambura apige kura, kama unahisi hafai malalamiko peleka fifa.

na kura hazina percentage bali points kila unayemchagua kwanza anapewa points tano, mwenye points nyingi ndio mshindi, suala la percentage ni la kimahesabu tu kupresent namba kwa uachache.

na kura zina impacts 100% do your homework.
 
except hio ni mtoano na sio hatua ya mwanzo,
 
Hadi hivi sasa goal machine ni cr7 tu

Ukiachana na goals za penalty pengine cr7 tusingemuita goals machine
Ronaldo hamfikii Messi uwezo wa kufunga magoli.
Statistics zinaonesha
Ronaldo ana Mechi nyingi kuliko Messi lakini kamzidi magoli machache, anatumia Muda mwingi kufunga goli Na inabidi awe karibu Na goli...

Messi ana Mechi chache magoli mengi,anatumia mda mchache kufunga goli Na ana magoli mengi ya nje ya box kuliko Ronaldo.

Actually u'goal machine wa Ronaldo Ni kwenye penalty
 
Kama mimi umesikia nimesema hafai..malalamiko gani nipeleke wap na kwa nn wkt ni anafaa kwa sbb ya category yake..usijifiche kwny hoja nyepes njoo na concrete numbers acha kuleta maneno ya vijiweni kwenye kahawa kutetea mambo ambayo huna nayo exposure...siwez kufanya homework yng kwa ki2 ambacho nakielewa vzr...wewe ndo fanya tafiti zako ujue kura zinapigwa na watu wengi wakiwemo wenye uelewa mkubwa na football kuliko wewe uliyekaa huku mwsh wa dunian ukileta mambo ya unazi wako na cr7..narudia tena heshima professional za watu usilete ujuaji kama kwenye mpr wenu huu wa kibongo wa simba na yanga kila mtu anakua kocha.

Messi anakua na ya 7..na There is nothing cr7 fans mnatafnya zaid ya kuumia roho tu hakuna namna..mnajua kbs mchezaj wenu maji ya jioni hawez kurud tena kua mchezaj bora zaid lbd Messi anaweza shinda tena ya 8....endeleen kujifariji ja hoja uchwara.

I REST MY CASE LADIES AND GENTLEMEN.
 
Wanajifanya numbers hawazioni we waache tu wabishane wanavoweza uzur mwenye akil timamu ya mpr anaona hawa wengne wanaleta hoja za vijiweni kwenye kahawa tu.
 
Soma vizuri comment yangu ikiwezekana irudie mara 3 utaelewa nilimaanisha nini
 
Mabingwa wanapimwa UCL na sio kwenye ligi zao
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatakaa akuelewe mkuu ila namba hazidanganyi na anajua ila UNAZI ndio unamsumbua
 
Mbona unakazania "hatua muhimu" badala ya end results??? Hapa inaonekana una shida sehemu
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756] pamoja sana mkuu
 
Mkuu nani anashabikia ligi ya US labda kikapu tu na American football na sio SOCCER
 
Mkuu kuna fununu mwaka huu zikatoka mbili ya Lewa na [emoji238][emoji238] Leo
 
Yani mimi nilieleta data kabisa Kura nzima zilivyopigwa sijaleta namba? Ila wewe unaeandika comment karibia ya 20 bila ya proof wala source yoyote Bali maneno tu ya mdomoni na tweet zilizobase kwenye emoticon ndio una concrete number?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…