The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

Mimi nimezungumzia magoal kua m1 hapo anamagoal yote ayo na hajacheza England point ni iyo tu rahis mbn

Nyie washabik wa Cr7 najua mtabishana mnavoweza lkn kuna baadhi yenu ambao wanaujua mpr na wanaweka unazi pemben wanajua deep down nan anajua mpr kuliko mwenzake na Ni #Messi angalia tu discussions zote kubwa na watu wanaojua mpr dunian wakiulizwa nan bora kat ya hao wanamtaja nan..na by the way achana na hao watu angalia numbers tu kati yao wawili.

Basi achana na namba angalia tuzo binafs kati yao wawili utapata majibu...yoyote dunian mwenye idea ya mpr anajua kbs Messi ni bora kuliko cr7 pa1 wote ni wachezaj wazr lkn haiondoi kua m1 ni bora kuliko mwngne...huyo mnaemuita goal machine ratio zinamkataa against Messi ndo mnatafuta kichaka ooh ligi nyepes mara team 1 mara nn.wewe ulitaka acheze team ngp sasa..wengne ni loyal kwnye team iliyomkuza na anafanya kila ki2 kufany team imekua kubwa kuliko..mwngne anahama kwenda ligi tofaut anaenda kwa mtu ambae amekua akishinda ubingwa wa ligi miaka yote hlf anasema anafata challenge mpy tena anafika anawapa na mkosi ndo wanakosa ligi yeye akiwepo.

Na ndo maana nasema tena sbrn December mchezaj wenu yab cr7 ndo atakua anabeba idadi ya tuzo za #Messi mgongon kwake.
comment yako wewe haijajaa unazi? tatizo lenu nyie mnatumia emotion kujadili badala ya facts, ningekuwa mimi ni fan wa Messi yapo mambo mengi ambayo mengi anafanya vizuri, mfano anajua kudrible kuliko ronaldo, ila ukitumia data za Magoli haswa muhimu kuna Gape kubwa sana baina ya Ronaldo na messi mkuu.

muda si mrefu nilikuwa reddit watu wanadiscuss hichi hichi tunachodiscuss humu, uzi ulikuwa na timeframe ya peak ronaldo toka 2011 mpaka 2018, wakatoa na mfano huo wa magoli ya Robo hadi fainali baina ya huo muda
-Cristiano Ronaldo - 30
-Robert Lewandowski - 10
-Karim Benzema - 8
-Thomas Muller - 8
-Neymar - 7
-Sergio Ramos - 5
-Lionel Messi - 5
-Luis Suarez - 5

Messi ana goli 100 mkuu Hatua za mwanzo makundi na 16 ila miaka 7 hio inapita ana goli 5 tu kwenye Hatua muhimu amefungana na Ramos, at same time Ronaldo ana goli 30.
unaweza soma zaidi hapa
 
Hoja zako izo zote za anajua kudribble zimo ndan ya anajua mpr sihitaj kuongea vi2 ambavyo m2 anajulikana kbs anavijua.ndo maana anaenda beba tuzo ya 7 mchezaj bora mwenzake akiwa na tano..ndo maana anaviatu vya ufangaji bora mara 6 mwenzake ana vi4 ndo maana anamchezaj bora wa mshindano ya kimataifa mara 4 mwenzake hana hata 1..kwhy kama ww huoni ilo unahitaj mm nikwambie lbd usbr december tuzo ya 7 itakwambia vzr sina haja ya kubishana kwa hoja nyng wkt m2 anaejua mpr anajua nan bora kuliko mwenzake..unaweza kubisha unavotak ww lkn..nimekupa summary ya ballom d'or amabyo ndo criteria ya mchezaj bora wa dunia #Messi anaenda kua nazo 7 mwenzake 5..nimekupa summary ya Golden Boot ambayo ndo mfungaji bora nyie mnasema cr7 ndo goal machine lkn#Messi ndo anaongoza viatu anavo 6 mwenzke 5..nimeenda katk international stage wote wanafanikio ya kombe wamebeba lkn kuna mwngne kacheza final 5(Copa america 4 na world cup 1) kawa mchezaj bora wa michuano mara 3 out of izo mara 5 ya michuano iyo huku mwenzake hajawah hata mara 1 kua mchezaj bora katk international stage...unaweza sema nimesahau Golden boot katk international stage Cr7 ndo anayo 1 kabeba juzi juzi hapa wkt Messi kabeba mara 3..kwhy nimekupa summary fup sana kwa kua vingi hata ww unaweza nenda tafuta google uone mwngne kacheza mechi zaid ya 150 lkn kazidiwa ratio ya ufungaj kwa idadi ya Mechi na huyo ndo goal machine wenu.

Picha izo hapo chini unaweza pitia kwa uelewa zaidi mkuu. View attachment 1861621View attachment 1861623View attachment 1861622
20210711_113204.jpg
 
Hii ni kwa wale wanaosema kwnn apewe tuzo ya 7 mwaka huu..ushahid huo hapo m2 alete na za mchezaj wake anaeona yy anafaa kupewa pia.
20210721_022419.jpg
 
Wewe utakua lbd ni mwanga kama utabishana hata na numbers ambazo uwa hazidanganyi..hii ni kwa wale waliokua wanajificha kwenye international stage hajafny kitu..sasa kwa individual izi ndo numbers za haww wawili nani alikua bora kuliko mwenzake pale ambapo taifa lake lilikua linamuitaji.

Sasa kama unabisha bishana kwa kujifuraisha sio kuleta porojo za kwenye kahawa.
20210721_023216.jpg
 
point ipo pale pale mfano UEFA ni madrid na Barcelona tu ndio wana dominate sio? ligi haiundwi na timu mbili nimekuonesha timu kibao za uingereza zote zimefanya vizuri, Equivalent ya Totenham la liga labda ni kama real sociedad, muangalie anaweza compete Uefa? hivyo kwenye Epl una timu nyingi zenye Ubora, there is a reason mkuu Dunia nzima Epl inaangaliwa sana kuliko la liga. ukianza kuangalia Barca vs Eibar kama umetoka kazini umechoka kuna possibility kubwa ukalala hapo hapo, Ila unaangalia Arsenal vs Aston villa hata kama Arsenal anaongoza Mechi unajua muda wowote inaweza badilika.
Unajua kitu kinaitwa Marketing?..umesoma hata online tu google ukaelewa why England ni ligi inaangaliwa sana..kasome mambo ya branding na marketing nahis utanielewa nachosema..kama ingekua bora kwann hata team zake zisidominate UCL na UEL kwa miaka mingi iyo ya nyuma..aya Barcelona na madrid tuseme kama unavodai ww walikua ndo bora sana ndo maana wakadominate UCL tufanye sawa..je unazungumzia Domination ya team za spain hata kwenye Europa league au izo.pia hazina ubora..ebu acha kuleta porojo mkuu wewe najua una idea ya mpr angalia Stats za head 2 head team za spain zikikutana na Za England mambo uwa yanakuaje..usijifiche kwenye kichaka eti la liga ilikua na team bora 2 tu kwhy ligi ni dhaifu England ni bora..kwnz usiRank ubora wa ligi kwa maneno yako kwa kuangalia kwa macho yako ya unazi na mapenz yako na ligi ya England..nakupa assignment nenda google kaangalia ranking ya ligi bora duniani hlf uje ubishane sasa hapa..hlf usisahu kuangalia na miaka ya nyuma pia izo ranking nan alikua anaongoza maana naona unatk kubishana kwa utashi wako wa macho yako binafs bila kuja na takwimu .
 
Hoja zako izo zote za anajua kudribble zimo ndan ya anajua mpr sihitaj kuongea vi2 ambavyo m2 anajulikana kbs anavijua.ndo maana anaenda beba tuzo ya 7 mchezaj bora mwenzake akiwa na tano..ndo maana anaviatu vya ufangaji bora mara 6 mwenzake ana vi4 ndo maana anamchezaj bora wa mshindano ya kimataifa mara 4 mwenzake hana hata 1..kwhy kama ww huoni ilo unahitaj mm nikwambie lbd usbr december tuzo ya 7 itakwambia vzr sina haja ya kubishana kwa hoja nyng wkt m2 anaejua mpr anajua nan bora kuliko mwenzake..unaweza kubisha unavotak ww lkn..nimekupa summary ya ballom d'or amabyo ndo criteria ya mchezaj bora wa dunia #Messi anaenda kua nazo 7 mwenzake 5..nimekupa summary ya Golden Boot ambayo ndo mfungaji bora nyie mnasema cr7 ndo goal machine lkn#Messi ndo anaongoza viatu anavo 6 mwenzke 5..nimeenda katk international stage wote wanafanikio ya kombe wamebeba lkn kuna mwngne kacheza final 5(Copa america 4 na world cup 1) kawa mchezaj bora wa michuano mara 3 out of izo mara 5 ya michuano iyo huku mwenzake hajawah hata mara 1 kua mchezaj bora katk international stage...unaweza sema nimesahau Golden boot katk international stage Cr7 ndo anayo 1 kabeba juzi juzi hapa wkt Messi kabeba mara 3..kwhy nimekupa summary fup sana kwa kua vingi hata ww unaweza nenda tafuta google uone mwngne kacheza mechi zaid ya 150 lkn kazidiwa ratio ya ufungaj kwa idadi ya Mechi na huyo ndo goal machine wenu.

Picha izo hapo chini unaweza pitia kwa uelewa zaidi mkuu. View attachment 1861621View attachment 1861623View attachment 1861622View attachment 1861624
mkuu sipo interested kubishana na emotions ama kubishana for the sake ya kubishana, nimekupa hoja yangu, kama una hoja mpya ni quote ama nitag,

na Baloon D or ni popularity contest, mwaka jana wamemnyima Lewandoski na mwaka huu pia wanaweza kumnyima ila tunajua sisi mashabiki wa soka nani anastahili, wote Ronaldo na Messi wana Baloon d or kibao wamechukua sababu tu ni maarufu, hili tushaliongelea sana humu jinsi kura zinavyopigwa, siku zote vinchi vidogo vidogo vinapiga tu kura kwa Messi na Ronaldo.

ronaldo anampita Messi kwenye Jambo kubwa zaidi ambalo ni makombe ya Champions League, Ronaldo yupo Nafasi ya Pili kwenye wachezaji waliobeba sana Champions league wakati Messi hata top 10 hayupo na hapo kombe moja alishiriki tu (2006)
 
Wewe unachekesha kweli..kwhy wewe maono yako ya Ballon d'or ndo unaona ni muhm kuliko Football analysts dunian kote kuliko jornalists kuliko ma captain wa team za taifa kuliko waandishi wa habari..yan wewe.mtu huko tanzania hapa unaweza wapinga watu wanaochambua mpr kwa numbers wote hao wewe ndo uwe na opinion bora kuliko wao kisa wewe unaleta unazi wako na mapenz binafs juu ya cr7..ebu mkuu acha kua kama umeanza angalia mpr juzi kwhy tuzo 7 za mchezaj bora unaringanisha kabs na UCL ndo kitu cha muhm wkt izo UCL cr7 ana 5 Messi ana 4..hlf unaleta hoja nyepes hapa kujificha uhalisia mtu awe na Ballon d'or 7 iwe ni fluke yan ww m2 uliye huku mwsh wa dunia ndo una mawazo bora kuliko watu waliokaa na kufny analysis ebu kua serious na heshimu kbs professional za watu acha masihara kuleta emetions zako na mapenz yako binafs na mchezaj wako kwny uhalisia sema sio unapindisha kufny hoja iwe kwako
 
Unajua kitu kinaitwa Marketing?..umesoma hata online tu google ukaelewa why England ni ligi inaangaliwa sana..kasome mambo ya branding na marketing nahis utanielewa nachosema..kama ingekua bora kwann hata team zake zisidominate UCL na UEL kwa miaka mingi iyo ya nyuma..aya Barcelona na madrid tuseme kama unavodai ww walikua ndo bora sana ndo maana wakadominate UCL tufanye sawa..je unazungumzia Domination ya team za spain hata kwenye Europa league au izo.pia hazina ubora..ebu acha kuleta porojo mkuu wewe najua una idea ya mpr angalia Stats za head 2 head team za spain zikikutana na Za England mambo uwa yanakuaje..usijifiche kwenye kichaka eti la liga ilikua na team bora 2 tu kwhy ligi ni dhaifu England ni bora..kwnz usiRank ubora wa ligi kwa maneno yako kwa kuangalia kwa macho yako ya unazi na mapenz yako na ligi ya England..nakupa assignment nenda google kaangalia ranking ya ligi bora duniani hlf uje ubishane sasa hapa..hlf usisahu kuangalia na miaka ya nyuma pia izo ranking nan alikua anaongoza maana naona unatk kubishana kwa utashi wako wa macho yako binafs bila kuja na takwimu .
kuna Ligi yenye Marketing kushinda ya Marekani? vilabu vya MLS sasa hivi average thamani yake ni dola milioni 550, for comparison timu ndogo ndogo za Epl kama crystal palace wana thamani pound milioni 225 tu, kama ingekua mpira ni marketing sasa hivi wote tungekuwa tunaangalia ligi ya marekani.

again comment sijui ya ngapi narudia kuandika tofautisha ubora wa ligi na timu. hebu twende taratibu tuchukue mfano wa darasa una madarasa mawili
-Darasa A wanafunzi 20 kuna wanafunzi wawili vichwa wanapata division 1 wawili division 2 wawili div 3 na waliobakia 14 wana div 4 na zero
-Darasa B wanafunzi 20 pia ila wote wana div 2 na 3 tu hakuna div 4 ama zero
unahisi lipi ni darasa bora?

na Europa miaka na miaka timu za ligi ya uingereza hazina time nayo, timu za spain zinakomaa sababu Madrid na Barca wanachukua hela zote za tv inabidi watafute source nyengine. ila toka waanze kusema mshindi wa Europa anaingia champions league Timu ya Epl ambayo ipo top 4 na inahitaji nafasi basi inabeba (ukimtoa Arsenal) mfano Man u kabeba 2017 wakati mou alipomaliza nafasi ya 6 na chelsea kabeba pia nafkiri 2018.
 
Hlf unajua nilikua najua naongea na m2 hata kdg ana idea anachoongea lkn naanza kupata mashak khs knowledge yako na football..yan unasema kbs bila hata mshipa wa aibu kua wakimnyima Lewandowski mwaka huu utashangaa..utashangaa kwa kipi alichofanya lewa ushangae akikosa tuzo.

Naungana na wewe kwnye hoja yako kua mwaka hana Lewa alistaili 100% kbs apewe tuzo na nilishangaa sana kuona French football wanacancel izo events lkn wao walidai Corona..lkn mwaka jana nfo Lewa alikua anadeserve kbs asimilia zote na haikua haki kutopewa na sikupenda hata kdg.

Lkn kuja na hoja yako mfu ambayo haina hata stats kuback up unachoongea ni swa na kujidharirisha mwnyw kwa sbb unaongea ki2 anastaili..unafikir wanagawa tuzo tu kua anastaili kwa maneno..wanaangalia numbers zinakubeba vipi sio wanakupa tu kwa huruma kua kwa vile huyu akupewa mwaka jana basi tufanye replacement apewe mwaka huu wkt numbers haziko upande wake..narudia tena jaribu kuheshim professional za watu..wewe huko huku mwsh wa dunia unasema eti tuzo wanagawa kwa popularity tu hawaangalii ubora utakya uko serious kweli wkt watu wanapiga kura wanaona fulan according to numbers zake individually anastaili sio maneno tu kua apewe kwa huruma.

Nyie ndo wale mnadhan kua kwa vile Jorginho kabeba makombe tu wawili ya uefa bas na yy apewe tuzo kwa kua mbeba makombe bora..hawatoi tuzo kama karanga wanaangalia na indivudual ulikua na impact gn sio wewe ulikua unapitia tu kwenye upepo wa team bas wakupe tuzo.
 
Ivi unaongea haya uko serious kbs unasema team za england hazina time na europa yan unaongea kbs serious ?..ivi wangekua hawana time man u angeweka kikosi cha kwnz kwnye Europa wabebe kombe wakafungwa..yan unaongea kbs bila hata kujishtukia unasema hawana time nao..lbd wewe ambae haujui thaman ya kombe ndo hauna time nayo sio wenzako ambao wanajua thaman yake wewe unaongea ukiwa huku unashabikia tu unasema hawana time nayo wkt ni moja ya kombe kubwa kbs ulaya.
 
Kuna kipind wkt mchezaj wenu alikua anaongoza kwa kuchukua golden boot wkt huo alichuku golden boot ya 4 huku #Messi alikua na 1..akakaririwa akisema kua..kushinda golden boot ndo ki2 cha maana zaid kuliko ballon d'or kwa sbb ndo inaonesha ubora..lkn saiv Messi anazo 6 yy kabaki na izo 4 na wala hasemi tena khs Golden boot napo huko kapigwa bao..ballon d'or napo kapigwa bao..international stage napo kapigwa bao..sasa washabik wake mnatapa tapa tu kama wafia maji hamjui hata mnaongea nini mnakuja na hoja zenu za kuunga unga tu.
 
Wewe unachekesha kweli..kwhy wewe maono yako ya Ballon d'or ndo unaona ni muhm kuliko Football analysts dunian kote kuliko jornalists kuliko ma captain wa team za taifa kuliko waandishi wa habari..yan wewe.mtu huko tanzania hapa unaweza wapinga watu wanaochambua mpr kwa numbers wote hao wewe ndo uwe na opinion bora kuliko wao kisa wewe unaleta unazi wako na mapenz binafs juu ya cr7..ebu mkuu acha kua kama umeanza angalia mpr juzi kwhy tuzo 7 za mchezaj bora unaringanisha kabs na UCL ndo kitu cha muhm wkt izo UCL cr7 ana 5 Messi ana 4..hlf unaleta hoja nyepes hapa kujificha uhalisia mtu awe na Ballon d'or 7 iwe ni fluke yan ww m2 uliye huku mwsh wa dunia ndo una mawazo bora kuliko watu waliokaa na kufny analysis ebu kua serious na heshimu kbs professional za watu acha masihara kuleta emetions zako na mapenz yako binafs na mchezaj wako kwny uhalisia sema sio unapindisha kufny hoja iwe kwako
pengine maisha yako yote hujawahi hata siku moja kudownload hizo kura na kuzisoma ila unabisha usichokijua
kwa kukusaidia hizi hapa, hizo ni za 2010 mwaka ambao sneidjer alibeba champions league na Xavi na Iniesta wakabeba world cup, watu wakajua hao mmoja wapo anabeba akapewa messi.

download hili file kisha angalia nani kampigia kura Messi na nani Kampigia Sneidjer na Xavi na Iniesta.

visiwa vya comoro, sijui cook island, cuba, cyprus, djibout, cape verde etc wote messi

angalia nchi kubwa kubwa hata za ki Africa tu kama Algeria, Nigeria, cameroon etc ambazo watu wake ni wanasoka wamemchagua Xavi ama Sneidjer.
 
Attachments

Ivi unaongea haya uko serious kbs unasema team za england hazina time na europa yan unaongea kbs serious ?..ivi wangekua hawana time man u angeweka kikosi cha kwnz kwnye Europa wabebe kombe wakafungwa..yan unaongea kbs bila hata kujishtukia unasema hawana time nao..lbd wewe ambae haujui thaman ya kombe ndo hauna time nayo sio wenzako ambao wanajua thaman yake wewe unaongea ukiwa huku unashabikia tu unasema hawana time nayo wkt ni moja ya kombe kubwa kbs ulaya.
hebu soma vizuri nilichoandika, nimesema kabla ya Europa mshindi ku qualify Uefa timu za England zilikuwa hazina time nayo. sijazungumzia lolote kuhusu fainali hii ya juzi.
 
pengine maisha yako yote hujawahi hata siku moja kudownload hizo kura na kuzisoma ila unabisha usichokijua
kwa kukusaidia hizi hapa, hizo ni za 2010 mwaka ambao sneidjer alibeba champions league na Xavi na Iniesta wakabeba world cup, watu wakajua hao mmoja wapo anabeba akapewa messi.

download hili file kisha angalia nani kampigia kura Messi na nani Kampigia Sneidjer na Xavi na Iniesta.

visiwa vya comoro, sijui cook island, cuba, cyprus, djibout, cape verde etc wote messi

angalia nchi kubwa kubwa hata za ki Africa tu kama Algeria, Nigeria, cameroon etc ambazo watu wake ni wanasoka wamemchagua Xavi ama Sneidjer.
Hahaha ebu acha kunieleza vitu ambavyo mimi navijua..wewe umekazania mataifa tu kua ndo wapiga kura ..hawapigi izo kura peke yao lbd nikwambie kwa kua haujui..kura zinapigwa na watu tifauti wakiwemo waandishi wa habr wakiwemo ma football analysts..sasa wewe naona umekariri kua kura zinapigwa na mataifa ayo tu...na siwezi hata poteza mbs zangu kudownload kitu ambacho nakifahamu hata kuliko wewe unavokijua..hao wote wakipiga kura wana percentage yao fulan ndo inahesabika...kwhy usikomae kua sijui mataifa kama comoro sijui nini ni hoja dhaifu ya kujitetea na kama mtu unayejua mpr iyo hoja yako haina mashiko.

Na labd nikwambie tu usijifanye umesahau unaleta mahaba yako hapa na cr7 kwn wkt wanamnyima tuzo Frenk Ribery ilikuaje mbn iyo hausemi umekimbilia ya Messi..kwnz numbers zao bado.tunaweza argue walistaili individually asa huo mwaka wa Messi tafuta numbers zake..tuzo nishakwambia sio y mbeba makombe bora ni ya mchezaj bora..ukielewa ilo.utajua nasema nn
 
Hlf unajua nilikua najua naongea na m2 hata kdg ana idea anachoongea lkn naanza kupata mashak khs knowledge yako na football..yan unasema kbs bila hata mshipa wa aibu kua wakimnyima Lewandowski mwaka huu utashangaa..utashangaa kwa kipi alichofanya lewa ushangae akikosa tuzo.

Naungana na wewe kwnye hoja yako kua mwaka hana Lewa alistaili 100% kbs apewe tuzo na nilishangaa sana kuona French football wanacancel izo events lkn wao walidai Corona..lkn mwaka jana nfo Lewa alikua anadeserve kbs asimilia zote na haikua haki kutopewa na sikupenda hata kdg.

Lkn kuja na hoja yako mfu ambayo haina hata stats kuback up unachoongea ni swa na kujidharirisha mwnyw kwa sbb unaongea ki2 anastaili..unafikir wanagawa tuzo tu kua anastaili kwa maneno..wanaangalia numbers zinakubeba vipi sio wanakupa tu kwa huruma kua kwa vile huyu akupewa mwaka jana basi tufanye replacement apewe mwaka huu wkt numbers haziko upande wake..narudia tena jaribu kuheshim professional za watu..wewe huko huku mwsh wa dunia unasema eti tuzo wanagawa kwa popularity tu hawaangalii ubora utakya uko serious kweli wkt watu wanapiga kura wanaona fulan according to numbers zake individually anastaili sio maneno tu kua apewe kwa huruma.

Nyie ndo wale mnadhan kua kwa vile Jorginho kabeba makombe tu wawili ya uefa bas na yy apewe tuzo kwa kua mbeba makombe bora..hawatoi tuzo kama karanga wanaangalia na indivudual ulikua na impact gn sio wewe ulikua unapitia tu kwenye upepo wa team bas wakupe tuzo.
hakuna cha kuangalia tuzo ni kura end of story, last time kwa mchezaji bora kuchaguliwa na jopo la wataalamu ni 2008, ndio maana zamani watu kama Canavaro waliweza kubeba, ila watu kama Dias ama Van Djik kwa mfumo huu wasahau.
 
hebu soma vizuri nilichoandika, nimesema kabla ya Europa mshindi ku qualify Uefa timu za England zilikuwa hazina time nayo. sijazungumzia lolote kuhusu fainali hii ya juzi.
Hazina time nayo kivipi bana wkt watu walikua wanapanga 1st 11 yao wabebe ndoo..lbd useme wewe ndo ulikua hauna time nayo usiongelee team ambazo zinamipango ya kuchukua vikombe usiseme kbs zilikua hazina sema wewe ndo ulikua huna time nayo wenzako walikua wanachukulia serious had wanapanga 1st 11 hlf unaleta mambo ya walikua hawana time nayo.
 
Hahaha ebu acha kunieleza vitu ambavyo mimi navijua..wewe umekazania mataifa tu kua ndo wapiga kura ..hawapigi izo kura peke yao lbd nikwambie kwa kua haujui..kura zinapigwa na watu tifauti wakiwemo waandishi wa habr wakiwemo ma football analysts..sasa wewe naona umekariri kua kura zinapigwa na mataifa ayo tu...na siwezi hata poteza mbs zangu kudownload kitu ambacho nakifahamu hata kuliko wewe unavokijua..hao wote wakipiga kura wana percentage yao fulan ndo inahesabika...kwhy usikomae kua sijui mataifa kama comoro sijui nini ni hoja dhaifu ya kujitetea na kama mtu unayejua mpr iyo hoja yako haina mashiko.

Na labd nikwambie tu usijifanye umesahau unaleta mahaba yako hapa na cr7 kwn wkt wanamnyima tuzo Frenk Ribery ilikuaje mbn iyo hausemi umekimbilia ya Messi..kwnz numbers zao bado.tunaweza argue walistaili individually asa huo mwaka wa Messi tafuta numbers zake..tuzo nishakwambia sio y mbeba makombe bora ni ya mchezaj bora..ukielewa ilo.utajua nasema nn
again hujafungua hilo file wote waandishi wa habari na analyst wamekuwa included na kura zao zipo, Tanzania alivote wambura na kama sijakosea Nsajigwa aliharibu kura
kura.PNG

hichi kipande nimekieka angalia hapo sisi Tanzania watu wa mpira, south Africa, Spain etc vote zinaeleweka, ndugu zetu kwa mswati, tahiti, tajikistani wao wanajua tu Messi. hao ni waandishi btw.

na sio kwamba nasema hivi kama fan wa Ronaldo tu hata Ronaldo anazo tuzo ambazo hajastahili hasa ule msimu bayern wanabeba treble, Neur alistahili.
 
hakuna cha kuangalia tuzo ni kura end of story, last time kwa mchezaji bora kuchaguliwa na jopo la wataalamu ni 2008, ndio maana zamani watu kama Canavaro waliweza kubeba, ila watu kama Dias ama Van Djik kwa mfumo huu wasahau.
Kwani nan amesema tuzo sio kura..ni kura ndio wewe ulitaka wapewe tu bila kupigiwa kura.

Tuzo ni kura zinazopigwa na watu wengi na wengne wenye akili ya mpr na wanajua mpr kuliko wewe unayebishana kwa mahaba ya mchezaj wako..ndo maana football analysts wanachagua according to stats fulan mwkaa huu alikua bora.

Sasa ntakushangaa wewe ambae upo huku mwsh wa dunia unaongea bila hata aibu kua eti fulan anastaili..yan unaongea anastaili ivo wewe kama nani kuzid waliompigia kura na kuona fulan ndo anastaili..punguza mahaba binafs hlf acha chuki pia na mafanikio ya mtu acknowledge kua #Messi atakua na tuzo 7 cr7 anazo 5 ..ayo mengne unaongeza wewe usiyekua na awareness ya mpr ambayo ni unnecessary.

NA YOUR OPINION OR MINE MEANS NOTHING TO FOOTBALL EXPERTS AMBAO NDO PROFESSIONAL YAO NDO MAANA HADI SASA MESSI ANAONGOZA KWA TUZO IZO .
 
Hazina time nayo kivipi bana wkt watu walikua wanapanga 1st 11 yao wabebe ndoo..lbd useme wewe ndo ulikua hauna time nayo usiongelee team ambazo zinamipango ya kuchukua vikombe usiseme kbs zilikua hazina sema wewe ndo ulikua huna time nayo wenzako walikua wanachukulia serious had wanapanga 1st 11 hlf unaleta mambo ya walikua hawana time nayo.
timu gani? timu zote ndogo epl zinapanga kikosi cha pili Europa.
https%3A%2F%2Ffoxesofleicester.com%2Fwp-content%2Fuploads%2Fgetty-images%2F2017%2F07%2F1229927320-850x560.jpeg

hao ni leicester vs slavia prague juzi hapa, kikosi cha kwanza unawatafuta na tochi

bingwa wa Europa anapata 16m euros wakati timu inayoshuka daraja Epl inapata zaidi ya 80M euro, ndio maana huwezi kuta timu ndogo inakazania huko.
 
Back
Top Bottom