President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
- Thread starter
- #21
🇮🇷Iranian Revolutionary Guard: We targeted various American bases in the region, resulting in the death and injury of 560 American military personnel.
Vipi kwa Ayatollah Khamenei Mnasafirisha au mnazika hapahapa?wayahudi weusi wanasoma habari kimya kimya na kukimbia uzi, msikimbie njoeni mchangie.
Kwani bado kuna Vita yule Babu si wameshamkata kichwa na vita ili iishe si unaua kubwa lao na mchezo umeisha hapo au mimi sijaelewa au ndio mambo ya Hamas ukiua huyu anachipuka huyu yaan wanakabidhiana mikoba?Iran ni kiboko, shida kubwa tu ni wasaliti wa ndani, lakini iran sio lelemama..
Israel na marekani wanaweza kushinda vita ila nao lazima waugulie maumivu.
Mimi nikajua Iran yote mpaka muda huu imeshakua magofu km Gaza kumbe wanachekewa🇮🇷 The Iranian temporary leadership council has convened for the first time and is directing war affairs.
It consists of President Masoud Pezeshkian, Chief Justice Eje'i, and the specially appointed Jurist, Ayatollah Alireza Arafi.
View attachment 3550948
Siku 40 za maombolezo...wayahudi weusi wanasoma habari kimya kimya na kukimbia uzi, msikimbie njoeni mchangie.
Kiongozi wa kiroho kufyatuliwa mapema lazima watapetapeSasa hivi masjid ubwabwa nyingi zinatumika zaidi kama chanzo cha kutoa habari feki na swala swalaa hazizingatiwi tena.