President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
- Thread starter
- #81
🔥An American official says that 18 American soldiers are in critical condition🔥
iran is good in drones, umeona stock yake ya drones?Mpaka saivi anatumia stock ya Russia na China, sijui akianza kuchukua vifaa vyake kwenye maghala
Sio bure mmarekani anataka mazungumzo kaona ishakua msala
Dili kwa UrusiHormuz wenyewe haupitiki, asilimia 20-30 ya gas na mafuta yatumikayo duniani hupita kwenye huo mfereji ambao upo kwenye maji ya Iran. Kupeana tabu, wakati US anamafuta yake ya wizi Venezuela, US mpuuzi sana baada ya kuona ana uhakika wa kupata mafuta kaamua kuwapa tabu wenzake.
Ndio hii 👇Second THAAD base near Abu Dabi was hit