Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Iran angepata washirika hata wawili hapo middle east hii vita ingekuwa tamu sana
Sema ana stock nyingi kutoka North Korea, China na Urusi. Huyo Russia katumia sana mabomu kutoka North Korea, Iran na China na mengine alikuwa anayafanyia test uwanja wa kivita. So hapo unaweza ukakuta Stock anayo itengeneza yeye bado hajaigusa.Iran angepata washirika hata wawili hapo middle east hii vita ingekuwa tamu sana
Balaa tutaliona huku ulimwengu wa 3Tunavyoongea hivi iko 120
Chai,The US aircraft carrier USS Abraham Lincoln has been hit by four ballistic missiles.
View attachment 3550989
Mshirika wake ni Pakistan ila hua anaingia hali ikiwa mbaya, however IRAN sio mtu poa, wana vifaa balaaIran angepata washirika hata wawili hapo middle east hii vita ingekuwa tamu sana
Hiyo meli imekombiziwa kusini mashariki mwa bahari ya Hindi, makombora manne tu mbioStory zile zile za Kuangusha F-35 baadae wakaumbuka
Tushafika eleven🇮🇷Revolutionary Guard:
The eleventh wave of Operation "Sincere Promise 4" is underway with the launch of missiles and drones🇮🇷
Mpaka saivi anatumia stock ya Russia na China, sijui akianza kuchukua vifaa vyake kwenye maghalawana vifaa balaa