The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

Hatuna haja na lugha za kikabila,hapa hatujuani kwa ukabila,peleka KENYA hayo mambo na kwingineko.
 
Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
Ninazungumza Kiswahili. Vilken typ av person är du jävla?
 
Kwanza namsifu Nyerere kwa kufanya leo waTanzania wote tumeunganishwa na lugha moja.

WaTanzania karibia wote wanaongea Kiswahili safi kabisa na pia wanaongea lugha zao za asili, ila kikubwa ni kuwa waTanzania hatupendi kuongea lugha za kikabila kwa kuwa tumechanganyika, ni upumbavu kuongea lugha ambayo wengine hawaielewi, waTanzania tumefundishwa hivyo tumekua hivyo.

Sio kweli kuwa waTanzania hawaongei lugha za makabila yao, wanaziongea huko vijijini ambapo mchanganyiko wa makabila ni mdogo. Hili suala mujarabu kabisa kuwa waTanzania ni watu pekee Afrika Mashariki ambao wanaweka ukabila na ubinafsi pembeni na kuwa wamoja, na wanaunganishwa na lugha moja.

Mtoa mada sijui unatoka nchi gani ila ufahamu kuwa kwa nchi za Afrika Mashariki zilizobakia (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi n.k) ni ngumu sana kuwa na lugha moja kwa kuwa wamekumbatia ukabila. Kila mtu kakumbatia kabila lake ndio maana ili waweze kuungana wanaishia kuazima lugha za watu (Kiingereza au Kifaransa).

Hata Kiswahili kwa nchi kama Kenya ingawa kinaongewa na wengi ila kinaonekana kama ni lugha ya watu fulani, hivyo lugha za makabila zinakuwa na nguvu zaidi halafu kinafuata kiingereza.

Majirani zetu kujisifia kwao kuongea lugha za kuazima sio kwamba wamesoma sana au wana exposure, ila ni kwa sababu hamna umoja, ukabila wameuweka mbele na mpaka leo tumeona hakuna walichokipata. Watafute lugha itakayowaunganisha, watakuwa na umoja.

Tanzania ni moja kwa sababu Kiswahili kimeondoa upofu wa ubinafsi wa ukabila.
 
Taifa kwanza, kabila baadae..

Trust me, if you a guest you will never differentiate Tanzanians on basis your foolish argument, what a success of Ujamaa..
And in future there will be one Society speaking ONE Language, (with strong UNITY)

Kiswahili ni Cha kwetu, tumekibuni na Kukiendeleza.
Tazama ilivyo vema watu wa makabila tofauti 120+ kuunganishwa kwa Lugha moja, Upendo na Mshikamano miongoni Mwetu Watanzania, mambo haya ndiyo Humfurahisha Mwenyezi Mungu.
 
Ni nchi gani duniani imeedele kwa kuwa multilingual, China, Japan, France, German, UK, Brazil etc.. How do you unify your people kila mmoja anajifungia kwenye ukabila kwanza halafu nchi baade.
Hizo nchi hazitumii lugha moja kaka
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hiyo transformation kwa nini wazungu na waarabu hawatumii majina ya Kiafrika? Waafrika akili mbovu tu hamna kujitetea katika hili.
Kwani nani aliyemtawala mwenzie?... Mbona hujasema kwanini wabrazil wana majina ya kireno?.... Au wamarekani wana majina ya kiingereza?...
 
What is mother tongue?
 
Bado ni wazimu huo, mbona wazungu hawatumii majina ya Kiafrika? Watu mmepumbazwa mnaona ni kawaida kutumia majina ya kigeni wakati ni uzwazwa wa hali ya juu.
Wazungu walipokuja afrika...Walileta dini... Ambayo walilazimisha watt wabatizwe na kupewa jina la kwanza la kizungu na huo mfumo upo hadi leo na utazidi kuendelea...
 
unauliza lugha zetu za asili unataka kutambika
 
"Tanzanians have two English names...."i don't know why but I had asked myself this question a couple of times after watching a Tz movie and reading on the Casts names. Very awkward.
thats not official
examples of official names are;

John Pombe Joseph Magufuli
Edward Ngoyai Lowassa
Emmanuel Gabriel Mwakyusa
Reginald Donald Mosha
Samuel John Sitta
Jacklin Wolper Massawe
Wema Issac Sepetu
Honest Prosper Ngowi
Edibily Jonas Lunyamila
January Yusuf Makamba
Melkiory Mlambiti

Haiwezekani mwafrika asiwe na Jina la asili yake,never.Nenda angaria kwenye birth certificates wamesajilije.
 


Brother did you do any research before posting? or you just relied on your friends idea!?


To answer your argument, it's not as you say! Most Tanzania speak their vernaculars especially in rural areas!

And for your information, in rural Tanzania, which occupies large proportion of the country, Vernacular is their first language followed by swahili, no English there except at schools!

Forged about the urban where people tend to be westernized!

Nikukumbushe kuwa Tanzania tuna 126+ tribes so mjini ambako watu hukutana wa makabila tofauti lazima waongee kiswahili cha kuwaunganisha!
 
Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
He heeeee, mbona hujui hata kikuyu, kamba, luo, masai!

You have few tribes in Kenya so you should increase your parameter!
 
Hizo nchi hazitumii lugha moja kaka
Na ndio ilikuwa maana yangu kuwa nchi zote hizo zina lugha zao ambazo ni tofauti kutoka nchi moja hadi nyingine. Lakini ndaya hizo nchi wamechaguwa lugha moja ambayo wote wanaiongea na utaratibu lugha zao ndogo ndogo za asili zimepotea. Bila kuwa na lugha moja ya taifa utawaunganishaje wananchi wako??
 
Same applies here brother! Sasa imagine baba ana baptisal name, af akampa mtoto wake naye jina la kikristo, huyo mtoto atakuwa na majina gani kama sio kuonekana kama mzungu flani hivi
 
He heeeee, mbona hujui hata kikuyu, kamba, luo, masai!

You have few tribes in Kenya so you should increase your parameter!
huyo jamaa tupo nae hapa jf kwa siku nyingi.anapenda kujipambanua kuwa ni mkenya kwenye mijadala inayohusu kenya vs tanzania.

jambo la ajabu ni kwamba hawezi kuandika hata paragraph moja kwa kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…