The vast majority of Tanzanians cannot speak their mother tongues

Hili lipo kwa Watanzania wengi, wametelekeza lugha zao za asili kiasi cha kutia huruma. Unakuta hata vijijini wanasalimiana kwa kilugha halafu inaishia hapo, mengine yote wanakimbilia Kiswahili, hawana uwezo wa kuendeleza mazungumzo kwa lugha yao ya asili zaidi ya salamu.
Ni hatari sana maana hata ukiangalia uandish wao kwenye hicho Kiswahili ni tabu tupu, sasa mtu anaishia kuwa kama mtumwa, Kiswahili hakijui kwa ufasaha, lugha yake ya asili pia haijui zaidi ya salamu, Kingereza ndio kiliwakataa kata kata.

Japo kuna wale hujaribu, hususan wale ambao wamepata fursa ya kutengamana na watu wa kutokea kwenye nchi majirani, waliopo maeneo ya mipakani, hao bado hawajatelekeza lugha zao. Haswa Wahaya, Wasukuma, Wachagga, Wamaasai, Wameru, Wakurya n.k. Hawa hawajamezwa kabisa.

Uwezo wa kuongea lugha kadhaa ni jambo huniletea fahari sana, nikiwa kijijini huwa naongea lugha yangu ya asili bila kuchakachua hata neno moja, nikiingia mjini kwenye maofisini naachia Kingereza na Kiswahili hadi raha, na pia nimejifunza lugha kadhaa za Kiafrika. Huwa nahakikisha wanangu wanaongea lugha zetu za asili, sio kuishi mjini kama watumwa huku wakiachia milegezo.
 
Wakikuyu huwa mnajitahidi kuwafunza watoto wenu Gikuyu, ila Wajaluo wakiingia mjini basi hata Kijaluo hakipo tena. Ni upunguani wa hali ya juu kuipuuza lugha yako ya asili kisa Kiswahili.

Leo hii mababu wangu wakifufuka hamna hata mmoja anayejua Kiswahili halafu mimi niwe mnafiki nidai eti ni lugha yangu.
 
Naona na wewe ndiyo mmoja wao! Huwezi kuandika kiswahili, unatuletea uzushi na kimombo chako kibovu! Jifunze kuswahili mjomba!
 
Wakikuyu huwa mnajitahidi kuwafunza watoto wenu Gikuyu, ila Wajaluo wakiingia mjini basi hata Kijaluo hakipo tena. Ni upunguani wa hali ya juu kuipuuza lugha yako ya asili kisa Kiswahili.

Leo hii mababu wangu wakifufuka hamna hata mmoja anayejua Kiswahili halafu mimi niwe mnafiki nidai eti ni lugha yangu.
Erm, hiyo si kweli. Wajaluo huzungumza lugha yao hata wakiwa mjini Nairobi au Mombasa. Tena hulizungumza kwa sauti kubwa kabisa; kwenye matatu, mkahawa, kwenye cyber......
hadi kero!

Na ndilo lugha inayotumiwa hata manyumbani mwao, kwa hivyo hata watoto hujifunza hiyo ligha.
 
huyo jamaa tupo nae hapa jf kwa siku nyingi.anapenda kujipambanua kuwa ni mkenya kwenye mijadala inayohusu kenya vs tanzania.

jambo la ajabu ni kwamba hawezi kuandika hata paragraph moja kwa kiswahili.
Halimanishi ya kwamba mtoa mada ametelekeza lugha yake ya kiasili. Suala hapa ni wabongo kuachana na lugha zao kupendelea Kiswahili; msilipindue mada, ikuwe ni kumhusu op na kutojua kwake Kiswahili.

Kuna wakenya wengi hawajui kiswahili; nafkiri hilo si ajabu, mnalitbua. Walimu wetu wengi high school na college hawakuwa na uwezo wa kuzungumza Kiswahili kwa ufasa.
My high school principal alikuwa very poor in Kiswahili.....tukambandika jina "Mr. Amka Juu!". Hivyo ndivyo alikuwa akipeana agizo ya kwamba mtu asimame (direct English/ Luo translation).

Lakini walikuwa wakizungumza lugha zao za asili kwa ufasaha kabisa.
 
Erm, hiyo si kweli. Wajaluo huzungumza lugha yao hata wakiwa mjini Nairobi au Mombasa. Tena hulizungumza kwa sauti kubwa kabisa; kwenye matatu, mkahawa, kwenye cyber......
hadi kero!

Na ndilo lugha inayotumiwa hata manyumbani mwao, kwa hivyo hata watoto hujifunza hiyo ligha.

Wajaluo wengi ninaowajua waliozaliwa Nairobi hawajui Kijaluo, labda sampuli yangu sio kubwa.
 
Wewe mchanganyiko wa Mjaluo na Mkikuyu unaongea lugha gani hapo? Hii michanganyiko ni mzizi mkuu wa tatizo la watu kutokuongea lugha zao za asili.
 
I have no kikuyu blood flowing in my veins. I speak kijaluo....fluently. Even though a huge portion of my life has been spent outside of the luoland.

I however learnt a few words of compliment in kikikuyu I often used to complement my ex- kikuyu gal.
 
Wajaluo wengi ninaowajua waliozaliwa Nairobi hawajui Kijaluo, labda sampuli yangu sio kubwa.
Sampuli ni kifaa mhimu kwenye utafiti. Kuhusu matokeo ya utafiti wako kwamba Watanzania wengi hawaongei lugha zao za asili pia bado inaacha maswali mengi juu ya ubora wa sampuli na dodoso lako.
Kama ungesema hawaongei lugha zao za asili kwa ufasaha mkubwa ungeleweka. Kuhusu Majina hilo linajulikana kwa vile watu hutumia jina la kwanza la dini, la pili la baba yake ambalo ni kwanza kwa baba yake ambalo nalo ni dini na jina la tatu ndilo la ukoo. Kwa hiyo mara nyingi kuna first name, middle name na surname. Kipi ambacho ni cha kipekee kwa Watanzania juu ya majina yao?
 
Tz bosi tuna lugha mbili rasmi kiswahili and English. Kwangu naona kusisistizwa kwa kiswahili kuna faida mingi kuliko madhara.

Tz iko na makabila zaidi ya 125. Fikiria labda kila lugha ingesisitizwa? Si nchi ingekuwa ya wapiga kelele tu!
La, hasha. Sijasema hizo lugha zote kupewa hadhi sawa na Kiswahili au Kiingereza, lkn hapa tunasema hii tabia ya watz kutelekeza lugha zao za kiasili na kusisitiza kuzungumza tu Kiswahili, si hapo hizi lugha zinakuda tu polepole? Vizazi viwili, vitatu vijavyo huenda baadhi ya hizi lugha, hizi makabila zikapotea kabisa.
 
Sio kweli, tatizo hili ni kwa majiji makubwa tu kama ilivyo Kenya. Mchanganyiko wa watu ndio unatishia lugha za asili (ambazo ni muhimu kuliko Kiswahili).

Kuhusu majina, hata kuwa na jina moja la kigeni kwa Mwafrika ni wazimu mkubwa. Saratani hii ipo Afrika yote (ikiwamo na Kenya) ya kutumia jina la kwanza la Kizungu/Kiarabu halafu la pili la kabila husika. Kwenye hili Wayoruba wa Nigeria na Waafrika Kusini wanajitahidi kutumia majina yao.
Umesema vizuri mkuu,Nigeria na SA ndo nchi katika bara la Afrika ambazo raia wenyeji wanatumia sana majina ya asili,wengine majanga tu!
 
La, hasha. Sijasema hizo lugha zote kupewa hadhi sawa na Kiswahili au Kiingereza, lkn hapa tunasema hii tabia ya watz kutelekeza lugha zao za kiasili na kusisitiza kuzungumza tu Kiswahili, si hapo hizi lugha zinakuda tu polepole? Vizazi viwili, vitatu vijavyo huenda baadhi ya hizi lugha, hizi makabila zikapotea kabisa.
Sio kweli, nahisi huna ihalisia sana na hili, vijijini ambako ndo sehemu kubwa watu na ambapo mara nyingi watu wa kabila moja huishi pamoja, huko ni kilugha tu! kiswahili unakutana nacho shule na kiingereza!

Nadhani nyie mnaangalia sana mijini! sasa mjini lazima tuongee kiswahili maana kila kabila lipo, na hamna anayejua lugha ya mwenzake, mtafanyaje hapo kama sio kuongea kiswahili?

Chukulia tu dar kwa mfano, kuna watu wa makabila zaidi ya 125, we unakutana na mtu humfaham utaongeaje kilugha hapo kwa mfano, lazima uongee kiswahili!

Halafu tofauti nyingine ya tz na Kenya ni hii! Wakenya wengi ukiwaona kwa sura tu au hata kuskia tu rafudhi yake kupitia salam unajua huyu kabila flan, hivyo nawe kama ni wa hilo kabila mko likely kubonga kikwenu! Ni kwa sababu mna makabila machache mno!

Hapa tz makabila yooye hayo, huwezi jua kabila la mtu, isipokuwa makabila machache ambao rafudhi yao ni ngumu kupotea! Na ukijiroga na ninakushauri hiki kitu hata usifanye ukiwa tz usimwulize mtu kabila lake! Moto wa hapo hutaweza kuuzima wa kumwuliza mtu kabila lake!

Ni hayo na tunatofautiana hivyo
 
Pengine haya nimewahi kusikia hapa Kenya kuhusu Tanzania; na pia ni dhana yangu kuhusu wananchi wa Tanzanis pengine ni uzushi tu? Ya kwamba lugha ya Kiswahili huongelewa kiiiila mahali nchini, iwe vijijini au mijini.

Na hebu ningependa kulipinga hiyo dhana ya kwamba Kenya ni sawa na kawaida kabisa kumwuuliza mtu kabila lake. Hiyo pia haikubaliki hapa, wala haifanyiki isipokuwa inategemea na circumstances. Kwa mfano, jina langu inasound unique sana, watu hawawezi kunitambua nitokapo au kabila langu. Kwa hivyo watu wamewahi kuniuliza, "Lo! Hilo jina ni la wapi?"

Lakini kumwuuliza tu mtu ati " wewe ni mkabila gani", ni tabia mbaya na....it is very akward.
 
Upo vizuri Mkuu na ndiyo maana Tanzania hakuna shida ukabila kama Kenya.
Kuna faida na hasara. Sasa ni juu ya mleta uzi kupima kipi kitiliwe mkazo. Tanzania watu wake wengi wapo vijiini ambapo hadi leo kuna watu wapo ambao hawezi kuongea Kiswahili. Makabila makubwa kama Wasukuma asilimia 90% hawaongei Kiswahili, Wmaasai, Wahaya, Wanyakyusa, Wachagga nk wakikutana wenyewe kwa wenyewe huzungumza lugha zao za asili. Kwa hiyo mleta uzi arudie sampuli na dodoso zake.
Kama alifanyia utafiti Dar hiyo itakua biased sample
 
Sampuli ni kifaa mhimu kwenye utafiti. Kuhusu matokeo ya utafiti wako kwamba Watanzania wengi hawaongei lugha zao za asili pia bado inaacha maswali mengi juu ya ubora wa sampuli na dodoso lako.
Kama ungesema hawaongei lugha zao za asili kwa ufasaha mkubwa ungeleweka. Kuhusu Majina hilo linajulikana kwa vile watu hutumia jina la kwanza la dini, la pili la baba yake ambalo ni kwanza kwa baba yake ambalo nalo ni dini na jina la tatu ndilo la ukoo. Kwa hiyo mara nyingi kuna first name, middle name na surname. Kipi ambacho ni cha kipekee kwa Watanzania juu ya majina yao?

Tofauti na Watanzania..Wakenya huwa na Jina la Kwanza la kiingereza, la pili lake la ukoo, na la tatu La babake la ukoo. Kwa Mfano Uhuru Muigai Kenyatta. Jina lake la ukoo ni Muigai. Babake akimwita, au watu wa nyumbani wakiwemo ndugu zake, ni Muigai. Wengine watmwita jina la kwanza, Uhuru.

Mimi nilikataa hilo na mtoto wangu ana majina matatu za Ukoo. La kwanza nilimbandika, la pili aliloriithi kutoka kwa mama, na la tatu langu la ukoo.
 
Upo vizuri Mkuu na ndiyo maana Tanzania hakuna shida ukabila kama Kenya.
Kuna faida na hasara. Sasa ni juu ya mleta uzi kupima kipi kitiliwe mkazo. Tanzania watu wake wengi wapo vijiini ambapo hadi leo kuna watu wapo ambao hawezi kuongea Kiswahili. Makabila makubwa kama Wasukuma asilimia 90% hawaongei Kiswahili, Wmaasai, Wahaya, Wanyakyusa, Wachagga nk wakikutana wenyewe kwa wenyewe huzungumza lugha zao za asili. Kwa hiyo mleta uzi arudie sampuli na dodoso zake.
Kama alifanyia utafiti Dar hiyo itakua biased sample

UKabila hauletwi na Kuongea Lugha tofauti. Uniformity is not unity. Wasomali wao huongea lugha moja, dini ni moja. Mbona wana ukabila hivyo? Ukabila unaletwa na siasa duni inayowafaidi viongozi walio madarakani
 
Pengine haya nimewahi kusikia hapa Kenya kuhusu Tanzania; na pia ni dhana yangu kuhusu wananchi wa Tanzanis pengine ni uzushi tu? Ya kwamba lugha ya Kiswahili huongelewa kiiiila mahali nchini, iwe vijijini au mijini.

Na hebu ningependa kulipinga hiyo dhana ya kwamba Kenya ni sawa na kawaida kabisa kumwuuliza mtu kabila lake. Hiyo pia haikubaliki hapa, wala haifanyiki isipokuwa inategemea na circumstances. Kwa mfano, jina langu inasound unique sana, watu hawawezi kunitambua nitokapo au kabila langu. Kwa hivyo watu wamewahi kuniuliza, "Lo! Hilo jina ni la wapi?"

Lakini kumwuuliza tu mtu ati " wewe ni mkabila gani", ni tabia mbaya na....it is very akward.

Kauli kuwa lugha ya kiswahili huongelewa kila sehemu Tanzania ni kweli wala sio ubishi!

Iwe mjinj au kijijini! Ndo nikasema kuwa vijijini unaanza na kilugha kama lugha ya kwanza halafu kiswahili!

Kwa ngazi ya familia kwa familia nyingi kijijini wanaongea kilugha, wakikutana vijiweni au kwenye mikusanyiko hapo ni kiswahili tu kinatumika!

Sasa kwa mfumo huo unakuta kilugha na kiswahili vyote tayari vimehusika!
 
aisee tuzidi kujivunia majina yetu ya asili, yaani ya kiingereza maana ss wakenya ndo asili yetu. Yaani sijui tulijapataje huku africa na waswahili jamani, ningekuwa na uwezo kenya tungekuwa eu maze[emoji3][emoji3][emoji106]
Soma tena ulichokiandika halafu ujione ulivyo Mbumbumbu!
 
Does anybody in England speak either of their mother tongues Saxon or Norman?
What about Gothic languages of German and France?
Tsk...ask a stupid question!
 
Back
Top Bottom