NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
Ovendi mnyaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
Hatuna haja na lugha za kikabila,hapa hatujuani kwa ukabila,peleka KENYA hayo mambo na kwingineko.
Ninazungumza Kiswahili. Vilken typ av person är du jävla?Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
Taifa kwanza, kabila baadae..I find this perturbing; the vast majority of Tanzanians can only speak one language, Kiswahili. A Tanzanian friend called John David (yes, many Tanzanians have two English names) explained this situation as a repercussion of the country's socialist past. Nyerere discouraged the learning of local languages and imposed the coastal language, Kiswahili, on the nation.
The vast majority of Kenyans and Ugandans are multilingual yet Tanzania holds a perculiar distinction; East Africa's largest majority unilingual country.
Are there any steps being taken to protect your heritage?
Hizo nchi hazitumii lugha moja kakaNi nchi gani duniani imeedele kwa kuwa multilingual, China, Japan, France, German, UK, Brazil etc.. How do you unify your people kila mmoja anajifungia kwenye ukabila kwanza halafu nchi baade.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwanza namsifu Nyerere kwa kufanya leo waTanzania wote tumeunganishwa na lugha moja.
WaTanzania karibia wote wanaongea Kiswahili safi kabisa na pia wanaongea lugha zao za asili, ila kikubwa ni kuwa waTanzania hatupendi kuongea lugha za kikabila kwa kuwa tumechanganyika, ni upumbavu kuongea lugha ambayo wengine hawaielewi, waTanzania tumefundishwa hivyo tumekua hivyo.
Sio kweli kuwa waTanzania hawaongei lugha za makabila yao, wanaziongea huko vijijini ambapo mchanganyiko wa makabila ni mdogo. Hili suala mujarabu kabisa kuwa waTanzania ni watu pekee Afrika Mashariki ambao wanaweka ukabila na ubinafsi pembeni na kuwa wamoja, na wanaunganishwa na lugha moja.
Mtoa mada sijui unatoka nchi gani ila ufahamu kuwa kwa nchi za Afrika Mashariki zilizobakia (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi n.k) ni ngumu sana kuwa na lugha moja kwa kuwa wamekumbatia ukabila. Kila mtu kakumbatia kabila lake ndio maana ili waweze kuungana wanaishia kuazima lugha za watu (Kiingereza au Kifaransa).
Hata Kiswahili kwa nchi kama Kenya ingawa kinaongewa na wengi ila kinaonekana kama ni lugha ya watu fulani, hivyo lugha za makabila zinakuwa na nguvu zaidi halafu kinafuata kiingereza.
Majirani zetu kujisifia kwao kuongea lugha za kuazima sio kwamba wamesoma sana au wana exposure, ila ni kwa sababu hamna umoja, ukabila wameuweka mbele na mpaka leo tumeona hakuna walichokipata. Watafute lugha itakayowaunganisha, watakuwa na umoja.
Tanzania ni moja kwa sababu Kiswahili kimeondoa upofu wa ubinafsi wa ukabila.
Kwani nani aliyemtawala mwenzie?... Mbona hujasema kwanini wabrazil wana majina ya kireno?.... Au wamarekani wana majina ya kiingereza?...Hiyo transformation kwa nini wazungu na waarabu hawatumii majina ya Kiafrika? Waafrika akili mbovu tu hamna kujitetea katika hili.
What is mother tongue?I find this perturbing; the vast majority of Tanzanians can only speak one language, Kiswahili. A Tanzanian friend called John David (yes, many Tanzanians have two English names) explained this situation as a repercussion of the country's socialist past. Nyerere discouraged the learning of local languages and imposed the coastal language, Kiswahili, on the nation.
The vast majority of Kenyans and Ugandans are multilingual yet Tanzania holds a perculiar distinction; East Africa's largest majority unilingual country.
Are there any steps being taken to protect your heritage?
Wazungu walipokuja afrika...Walileta dini... Ambayo walilazimisha watt wabatizwe na kupewa jina la kwanza la kizungu na huo mfumo upo hadi leo na utazidi kuendelea...Bado ni wazimu huo, mbona wazungu hawatumii majina ya Kiafrika? Watu mmepumbazwa mnaona ni kawaida kutumia majina ya kigeni wakati ni uzwazwa wa hali ya juu.
thats not official"Tanzanians have two English names...."i don't know why but I had asked myself this question a couple of times after watching a Tz movie and reading on the Casts names. Very awkward.
I find this perturbing; the vast majority of Tanzanians can only speak one language, Kiswahili. A Tanzanian friend called John David (yes, many Tanzanians have two English names) explained this situation as a repercussion of the country's socialist past. Nyerere discouraged the learning of local languages and imposed the coastal language, Kiswahili, on the nation.
The vast majority of Kenyans and Ugandans are multilingual yet Tanzania holds a perculiar distinction; East Africa's largest majority unilingual country.
Are there any steps being taken to protect your heritage?
He heeeee, mbona hujui hata kikuyu, kamba, luo, masai!Full disclosure, I speak 4 languages. English, Kiswahili, Kamba, Luhya and I can read and write in Arabic. Je wewe?
Na ndio ilikuwa maana yangu kuwa nchi zote hizo zina lugha zao ambazo ni tofauti kutoka nchi moja hadi nyingine. Lakini ndaya hizo nchi wamechaguwa lugha moja ambayo wote wanaiongea na utaratibu lugha zao ndogo ndogo za asili zimepotea. Bila kuwa na lugha moja ya taifa utawaunganishaje wananchi wako??Hizo nchi hazitumii lugha moja kaka
Same applies here brother! Sasa imagine baba ana baptisal name, af akampa mtoto wake naye jina la kikristo, huyo mtoto atakuwa na majina gani kama sio kuonekana kama mzungu flani hivikwa mKenya ni kawaida jina la kwanza liwe la kiingereza. ukisoma historia utapata kuwa wengi walikuwa lazma wawe na jina moja la kiingereza (baptismal name) wakati wa ukoloni kwa kuwa wakoloni walipata wakati mgumu kuwataja kwa majina yao ya kiafrika. jina moja la kiingereza linatosha
huyo jamaa tupo nae hapa jf kwa siku nyingi.anapenda kujipambanua kuwa ni mkenya kwenye mijadala inayohusu kenya vs tanzania.He heeeee, mbona hujui hata kikuyu, kamba, luo, masai!
You have few tribes in Kenya so you should increase your parameter!