The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

Wapo kwenye system na wanalindwa na system, wamekosa nini zaidi ya support ya Chadema ? Kiufupi ni hata wakishinda wakaendelea kuwa wabunge ni sawa ila Hawapo kwenye mioyo ya wananchi tena na hakuna wakuwapigia kura zaidi ya Chawa wao.
 
Naona unajifanya kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa, kuwa nachangia post zako with objectivity ili uonekane mstaarabu, mimi sio wa sifa nyepesi za hivyo bro. Sifa za hivyo wape wasiojitambua.

Mkuu Tindo kama ni bondia basi unapenda sana kupiga za uso [emoji23]
 
Mkuu econonist , hapa umesema jambo fulani kubwa sana!, watu wafukuzwe chama kinyume cha sheria, wakate rufaa, siku ya rufaa wanaambia wajitetee wananyamaza!, unajua ni kwa nini walinyamaza na hawakujitetea?
sababu ni moja tuu, heshima na utilii. Silence is an admission of guilty kwasababu Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Hata ungekuwa wewe ungefungua mdomo kusema chochote?. One thing is for sure, kati ya hao 19, kuna 5 ni partners wa wajumbe wa CC wanaishi kwa co habitation, wakilala chuma kimoja kitanda kimoja kwenye dhana ya ndoa!, unamiini waume zao hawajui ukweli wa waliingiaje?. Ila pia Halima ana command respect ya ajabu, aliwezaje kuwafunga modomo wote 18 wasijibu kitu!.
P
Mkuu una info tusizozijua.
Watu wanaita “an ear to the ground”
Lakini bado Mdee and the 18 wanakosa mizania ya kuwa pale walipo kwa basis ya lack of political sponsorship, kana katiba ya nchi inavyotaka.
 
Mkuu una info tusizozijua.
Watu wanaita “an ear to the ground”
No, hakuna chochote nikijuacho ambacho nyinyi hamkijui, ila nimekuwa tuu nasikia tuu sauti, nikiwaambia nimesikia hivi, nikiwauliza hamjibu!, mfano niliwauliza
Lakini bado Mdee and the 18 wanakosa mizania ya kuwa pale walipo kwa basis ya lack of political sponsorship, kana katiba ya nchi inavyotaka.
Its true, na hapa kwenye hili, ndilo mimi ninalompongezea Dr. Tulia na from now on, Spika wa Bunge letu lazima awe mwanasheria mbobezi. Hapa Spika Tulia katumia her personal initiative kuulinda ubunge wao ili tuu kuwatendea haki!.
P
 
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , hakuna kitu kizuri kama kusoma kitu huku umetulia

Mimi ni pia ni binadamu, na mwili wangu umeumbwa kwa nyama na unamahitaji yale ya kibinaadamu kama binadamu wengine wote, miili yetu inahitaji chakula na sisi watu wa Kanda ya Ziwa toka makabila ya wafugaji, tunapenda sana kutafuna na ni watafunaji wazuri kuanzia kutafuna Karanga hadi kutafuna nyama, hivyo kama kuna nyama yoyote na inatafunika hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kutaka kuitafuna kama inalika na inatafunika!.

Na kuna wanadhani utetezi wangu kwa wanaoporwa haki nimeanza na kina Mdee, no!

Angalia terehe ya bandiko hili Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!
na hili Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
na Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!
na Membe, Japo Umeonewa, Usifanye Kosa la Lowassa!, Ila CCM ya Ajabu!, Uamuzi based on Illegal Evidence ni Void Ab Initial!. hivyo utetezi wa kutetea watu sikuanza leo na sikuanza na Halima Mdee!

Hapa ndipo mzizi wa fitna ulipoanzia. Wewe mwenzetu inajua walifikaje Bungeni?.

Kumbe unadhani Bungeni zimewasilishwa nyaraka za forgery?. Naomba nikusaidie kama kuna forgery yoyote, then ni nyaraka zilizo wasilishwa Tume lakini barua za uteuzi kutoka Tume kwenda Bungeni ni authentic bonafide genuine.
Chadema kabla ya kuwahukumu kilipaswa kujiridhisha kwanza. Je kuna ushahidi wowote usiotia shaka wa forgery?.

Kwenye hili nakubaliana na wewe, kiukweli kabisa hapa nakubali udhaifu, nina hasira sana na mibaba iliyokataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura halafu wadada wanapewa viti vya ubwete, mibaba inawaonea wivu inaamua kuwazuia ili tukose wote.
P
Hasira yako ingekuwa na mantiki kama kweli hiyo mibaba ilikataliwa kweli kwenye sanduku la kura! Labda ukiri kwamba hasira yako ilianzia kwenye ile kura moja uliyovuna kwa wajumbe zama zile za wajumbe si watu!
 
Mkuu Jidu, Jidu La Mabambasi , hakuna kitu kizuri kama kusoma kitu huku umetulia

Mimi ni pia ni binadamu, na mwili wangu umeumbwa kwa nyama na unamahitaji yale ya kibinaadamu kama binadamu wengine wote, miili yetu inahitaji chakula na sisi watu wa Kanda ya Ziwa toka makabila ya wafugaji, tunapenda sana kutafuna na ni watafunaji wazuri kuanzia kutafuna Karanga hadi kutafuna nyama, hivyo kama kuna nyama yoyote na inatafunika hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kutaka kuitafuna kama inalika na inatafunika!.

Na kuna wanadhani utetezi wangu kwa wanaoporwa haki nimeanza na kina Mdee, no!

Angalia terehe ya bandiko hili Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!
na hili Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
na Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!
na Membe, Japo Umeonewa, Usifanye Kosa la Lowassa!, Ila CCM ya Ajabu!, Uamuzi based on Illegal Evidence ni Void Ab Initial!. hivyo utetezi wa kutetea watu sikuanza leo na sikuanza na Halima Mdee!

Hapa ndipo mzizi wa fitna ulipoanzia. Wewe mwenzetu inajua walifikaje Bungeni?.

Kumbe unadhani Bungeni zimewasilishwa nyaraka za forgery?. Naomba nikusaidie kama kuna forgery yoyote, then ni nyaraka zilizo wasilishwa Tume lakini barua za uteuzi kutoka Tume kwenda Bungeni ni authentic bonafide genuine.
Chadema kabla ya kuwahukumu kilipaswa kujiridhisha kwanza. Je kuna ushahidi wowote usiotia shaka wa forgery?.

Kwenye hili nakubaliana na wewe, kiukweli kabisa hapa nakubali udhaifu, nina hasira sana na mibaba iliyokataliwa na wananchi kwenye sanduku la kura halafu wadada wanapewa viti vya ubwete, mibaba inawaonea wivu inaamua kuwazuia ili tukose wote.
P
Kwahiyo Paskali hapa unaitangazia dunia kwamba mwaka 2020 palikuwa na uchaguzi huru na wa haki?

Anyway hakuna asiyekujuwa humu, bahati nzuri Mungu alishaingilia ugomvi ila haya mengine madogo sana.
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua uanachama na baadae kikao cha Baraza Kuu kuyabariki maamuzi yale batili ya Kikangroo ya CC yao. Wakakimbilia mahakamani ili kutafuta haki, na huko Mahakamani kwa mara ya kwanza waligonga mwamba na sasa wamefile kesi nyingine.

Sauti hii "The Voices From Within" imeniambia " Safari hii huko Mahakamani pia Watashindwa Tena!" Sababu ni Kuwatumia Mawakili ambao ni mawakili tuu. Kuna mawakili na mawakili bora. Hii kesi ilihitaji Mawakili Bora wa calbre ya Murtaza Lakha. Jee kwenye safu ya mawakili wetu Tanzania, Jee tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?. Kama wapo, please Jitokezeni Kusaidia ili kuepusha hukumu ya karma kuwashukia wahusika wa kadhia hii.

Mtu ukikosa haki kwenye Taasisi yako, ukakimbilia mahakamani, ili upate haki, ukakosa haki mahakamani, jee uende wapi baada ya hapo?.

Kitachobaki ni kitu kimoja tuu kumuachia Mungu ambaye ndiye pekee hutoa hukumu za haki kupitia kitu kinachoitwa karma "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!

Leo mchana huu, nilikuwa napitia bandiko fulani, mara nikaisikia sauti, "the voices from within" ikinieleza kuwa japo wamefile upya kesi, lakini Watashindwa tena and this time it will be fatal, hivyo uamuzi hautakuwa struck out kama mwanzo, this time the case will be dismissed entirely on its totality and kila mmoja will bear his own costs!.

The voices from within, huwa haitoi sababu, lakini kwenye suala hili mimi nazijua sababu ambazo ni just some simple logic, wanawatumia mawakili wenye uwezo duni!. Sasa kabla hata hiyo kesi mpya haijapangiwa siku ya kusikilizwa, natoa wito kwa manguli wa sheria, hata kama hawajawa contracted, wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada, ili watendewe haki.

Kwa jinsi nilivyoisoma ile hukumu, kusema ukweli wanawatumia mawakili wenye uwezo mdogo au wa wastani sana kiasi kwamba kuna baadhi ya makosa ni silly mistakes, hivyo mtu aliyefanya silly mistakes kama zile, hata akirejebisha makosa na ku file tena, I doubt kama atakuwa na uwezo wa kuargue kesi writs kama za habeas corpus, mandamus, prohibition, quo warranto and certiorari, sio kesi za kumpa tuu wakili yoyote ili mradi ni wakili, hizi zinahitaji kuwa handled na mawakili mawakili kweli ambao ni mawakili bora na sio hawa ma bora wakili wanaofile kesi kwa makosa ya kijinga kabisa na kupeleka mahakama ku struck out!. Leo mpaka nimemkumbuka Wakili Murtaza Lakha.

Kwa vile mimi ni mtu wa mastori hivyo naomba kuikatiza kwanza hii mada, nianze na mastory mastory ya Pasco Mayalla, halafu nije kumrudia Wakili Murtaza Lakha kisha ndio ni drive home hoja yangu. Hivyo kama wewe sio mtu wa mastori mastori, ishia hapa halafu rukia kule chini

Sasa ndio narejea baada ya mastory mastory ya Pasco Mayalla.

As days go by nikiangalia mienendo ya baadhi ya kesi, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha, nimejiridhisha hata fani ya sheria nayo imevamiwa, kila mtu mwenye LL.B, anaweza kuwa wakili.

Japo kila mtu mwenye LL.B anaweza kuwa wakili, na fani ya uwakili imevamiwa, ili kuwa wakili mzuri, zaidi ya kuwa admitted kwenye Bar, lazima pia uwe na uwezo fulani na kipawa fulani.

Kwa haya yanayoendekea mahakamani sasa, nimemkumbuka sana wakili Murtaza Lakha alikuwa ni wakili mzuri, kama sio Murtaza Lakha, Mzee wangu asingetoka!.

Ile sauti ilioniambia Watashindwa tena kesi sababu ya kuwatumia mawakili ili mradi ni mawakili tuu, badala ya kuwatumia mawakili bora, wao wanawatumia na bora wakili!.

Kwa vile mhusika mkuu wa kesi hiyo na yeye pia ni mwasheria, nilitaraji kwa vile Zitto Kabwe na yeye pia aliwahi kutimuliwa na chama kile kile kwa mtindo ule ule wa a Kangaroo Court, Zitto alifungua kesi hivyo hivyo na kesi yake ilitupwa katika hatua za awali, hivyo Bi dada alipoamua kufungua kesi hii ilipofunguliwa tulitaraji wangewatumia mawakili manguli wa sheria na sio wakili tuu alimradi ni wakili.

Hata kwa majaji wetu, niliwahi kusema kitu kuhusu utoaji haki na uwezo wa baadhi ya majaji Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?

Kitendo tuu cha shauri kuwa struck of fatal procedural improperity ni uthibitisho tosha wa mawakili wenye uwezo wa wastani?.

Natoa wito kwa manguli wa sheria wajitokeze wajitolee kuwasaidia hawa wadada ili watendewe haki, lengo la kuwasaidia watendewe haki sio tuu ili kuwatendea haki hawa Wabunge 19 bali kuiepuka adhabu ya karma itakayo itandika chama chao na viongozi wake, kufuatia the consequences of karma ya Zitto kwa chama hicho na viongozi wake, wasipotendewa haki, the karma consequences will be bad, big and devastating!.

Paskali
Hicho kilevi unachotumia kimeshakudatisha. Nawahurumia sana wanao.
 
Pasco, hawa covid 19, licha ya kuipambania sana CHADEMA, walichokifanya ni kukosa maarifa. Uwezo wao mdogo wa ku0na mambo uliwafanya watumbukie shimoni.

1) waliangalia maslahi yao ya muda mfupi badala ya kuangalia hatima yao ya kisiasa.

2) umenunua shba, umelima, umepalilia, umevuna, ukayaacha mazao yao shambani, mvua zikayanyeshea, yakaoza = utaishia na big zero, ingawa kazi zote mpaka mavuno ulifanya kwa juhudi na akili kubwa, lakini ukakosa akili na juhudi za kuyasomba mazao yako na kuyatunza ghalani. Mwishoni, utakuwa sawa na wale ambao ni wavivu, hawakuwahi kununua wala kulima zao lolote.

3) kiburi na kuamishwa na watu wenye akili ndogo kama Ndugai, kutayagharimu maisha ya kisiasa ya Mdee na wenzake.

4) hawa akina Mdee, hata wanfepata wakili makini kiasi gani, hawawezi kushinda. Kwao ushindi ni kusogeza tu miezi mbele ili waendelee kupata kamshahara ka-ubunge. Hoha zipo wazi. Kwanza katiba ya CHADEMA, inazuia masuala ya maamuzi ya chama kupelekwa mahakamani. Labda kama katika maamuzi hayo kuwepo na jinai. Pili, uwanachama wa chama chochote cha siasa, huamliwa na taasisi za chama, siyo mahakama. Hata kama watasogea hatua moja mbele, mahakama itapitia maamuzi ya CHADEMA kwa kutumia katiba ya chama, na siyo vinginevyo.
 
Sasa ndio utashangaa mtu anayejiita mwanasheria haya yote hayaoni.

Licha ya kwamba Kibatala ni best lawyer kwa sasa, ila kesi za kipumbavu kama hizi ni kwenda kumuongezea ujiko Kibatala bila sababu maana anakwenda kuwapiga mapema tu na wataaibika.

Unashinda vipi kesi kama hii?
 
Kwahiyo Paskali hapa unaitangazia dunia kwamba mwaka 2020 palikuwa na uchaguzi huru na wa haki?
Mkuu Matola, matokeo ya uchaguzi wa 2020 mimi niliyaposti humu November 30 2015 Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Hivyo kilichofanyika siku ya uchaguzi ilikuwa ni kukamisha tuu taratibu za uchaguzi ule na nikawaandaa kisaikolojia Uchaguzi 2020 - Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu
Anyway hakuna asiyekujuwa humu,
Kosa langu ni kuwa mkweli daima, kama watu walinisoma, there was no any surprises kwenye kilichotokea uchaguzi wa 2020, na sisi watu wa kushauri, tulishauri
  1. Uchaguzi 2020 - Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki
  2. Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
  3. Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
  4. Uchaguzi 2020 - Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli
  5. Uchaguzi 2020 - Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?
  6. Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
  7. Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
  8. Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa!
  9. Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi
P
 
Mkuu Selikavu , kwanza mimi sio learned brother, kwasababu mimi sio wakili, na ili uitwe a learned brother lazima kwanza uwe ni wakili msomi.

True, ila pia kwenye filing, sio issues za competence ni issue ya procedures tu ombi linajazwa by application ya chamber summons supported by affidavits kwa makosa kama haya wakili wa type hii ata argue kitu kweli kwenye certiorari na mandamus?.
P
mtu aliyezoea jinai... ukimleta kwenye madai atambwelaa tuu wachache sanaa wapo competent kote kote
 
Back
Top Bottom