The Voices From Within: Warning kwa Chadema, Be Very Careful, Msifanye Ujinga Wowote!, Mkileta Tuu Ujinga!, Tarehe 21 Jan. Kutakuwa Hakuna Uchaguzi!.

Anamaanisha kama upepo wa ushindi ukiwa kwa Lissu CCM kupitia dola watauvuruga na ili ionekane kuwa kuna kila dalili za uvunjifu wa amani ili kumuokoa mtu wao aendelee hadi baada ya uchaguzi mkuu wa 2025.
Uko sahihi.
Lakini si Kila wakati mikakati yao itafanikiwa

Nawaonya ccm wakitaka kutunza amani ya nchi hii wakae mbali na huu uchaguzi
 
The self proclaimed GOD!!!!!!!!! Paschal Mayala, CCM puppet - Esq Mayala.
Chadema endeleeni na democracy, hawa CCM wanaogopa sana democrasi. Sasa hivi wanahaa kuwazuia msifanye uchaguzi wa maana, wa kupendwa. Fanyeni kama sasa hivi mnavyopanga. Mdahalo .

Ushauri kwa Mbowe; jenga Legacy, kubali kuwa kila mwanzo una mwisho, ila Legacy itadumu kama ile ya Edwin Mtei. Fanya Mdahalo na Lisu kwa nia safi kabisa, ukipangua hoja zake una nafasi ya kushinda. Na hata ukishindwa siyo mwisho wa maisha. Chadema itaendelea kuukumbuka Umwamba wako.
 
HUu uzi wako leo nimeupenda, hauja pandisha nyuzi juu ya uzi mzee wa ma "link".

Mbowe mtu mbaya sana kwa hatua hii aliyofikia ameamua kufuta mazuri yale yoote ya nyuma na kuizika chadema ukiwa inapumulia mashine
 
Samahani sana mkuu
Mbona na mimi kuna sauti inaniambia unauwezo wa kumfikia Mbowe na kumpa ujumbe kua amechokwa na hakubaliki hata kidogo na asiendeshwe na machawa wake mda ukifika watamcheka
Na mwonyeshe picha iliopigwa toka ikulu
 

Attachments

  • Screenshot_20241225-215807.jpg
    186.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241225-215807.jpg
    186.5 KB · Views: 2
Chadema ilishakufa toka walipomruhusu Lowassa kugombea Urais. Mwaka 2015 wangempa Slaa tiketi ya urais mchuano ungekuwa mkali sana. Huo mwaka ndio upinzani ulikuwa na nguvu na hakutatokea mwaka mwingine tena. Maana kila Rais ajae ana-refer uongozi wa Jiwe. Hata ukiangalia Wavaa makobazi ndio wasukuma wapya na Kizimkazi ndio chato mpya.
 
Mzee wa RAMLI CHONGANISHI!!

Uchaguzi upo palepale, Lisu atashinda kwa KURA 785 KATI YA WAJUMBE 1200 .

Conspiracy theory Yako haitafanya kazi!!!

Mbowe atagawa sana hela na Covid 19,na Serikali, mwisho wa siku wajumbe watachagua Lissu kwa maslahi mapana, Mbowe ni Sehemu ya mfumo CCM.
 
Ikiwa TL atashindwa uchaguzi, basi itakuwa final blow kwa CDM lakini pia itakuwa fursa adhimu kwa alternative party / parties kuchukua nafasi ya CDM.
Wenyewe wanakwambia hakuna cha ultimate blow wala out-flow, kwa kuwa eti CDM iko mioyoni mwa Watanzania.

Ngoja tuone; muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Mkuu, kama uchaguzi huo ukifanikiwa kufanyika, matokeo ni ya aina moja tu na wala si vinginevyo. ^Kamanda anarudi mzigoni!^

Hata kama wajumbe wote 1200 wangempigia kura TAL, bado kamanda anashinda tena kwa kishindo.

Kamanda hawezi kubaki pembeni akitazama tu huku chama chake alichojenga kwa jasho, damu na rasilimali nyingi kinaelekea kuzamishwa kwa maslahi ya watu fulani fulani. No!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…