Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Huo ni woga wao tu, mkuu. Uchaguzi utakuwa huru na wa haki, na utafanyika mbele ya kadamnasi la Watanzania. Kila mmoja atashuhudia mchakato wa kumrudisha kamanda mzigoni.Yanaweza tokea yaliyotokea mwaka 96 kule Tanga kwenye mkutano wa nncr mageuzi
Lyatonga ilibidi ajifiche chini ya mezani
Ccm watapandikiza vurugu wakiwatumia kina ntobi, boni yai n
Ili wapate sababu ya kumbeba mtu wao
Yaani kuruta anamfundisha spesho komandoo majukumu. hahaThe self proclaimed GOD!!!!!!!!! Paschal Mayala, CCM puppet - Esq Mayala.
Chadema endeleeni na democracy, hawa CCM wanaogopa sana democrasi. Sasa hivi wanahaa kuwazuia msifanye uchaguzi wa maana, wa kupendwa. Fanyeni kama sasa hivi mnavyopanga. Mdahalo .
Ushauri kwa Mbowe; jenga Legacy, kubali kuwa kila mwanzo una mwisho, ila Legacy itadumu kama ile ya Edwin Mtei. Fanya Mdahalo na Lisu kwa nia safi kabisa, ukipangua hoja zake una nafasi ya kushinda. Na hata ukishindwa siyo mwisho wa maisha. Chadema itaendelea kuukumbuka Umwamba wako.
Hamwezi kuielewa dhamira ya FAM kwa sasa. Itawachukuwa muda mrefu sana.HUu uzi wako leo nimeupenda, hauja pandisha nyuzi juu ya uzi mzee wa ma "link".
Mbowe mtu mbaya sana kwa hatua hii aliyofikia ameamua kufuta mazuri yale yoote ya nyuma na kuizika chadema ukiwa inapumulia mashine
Kwani Kuna ubaya gani?Kila mwana CCM,kwa sasa anajifanya mshauri wa siasa za ndani za CDM.Mpaka hiyo January,tutaona mengi sana.
Nani kakwambia amechoka? Kamanda yuko tayari kuingia mzigoni, wewe unazungumzia habari za kupumzika? Ebo!Chonde. Chonde. Chonde. Wajumbe mpumzisheni mbowe kwa busara na hekima .Mchagueni Mheshimiwa Tundu Lissu awe mwenyekiti wa CHADEMA. Okoeni chama chenu kisisambaratike kizembe
Kumbe TL hana dhamira ya dhati kuongoza chama, ni conflict of interest tu, aisee 😯Baada ya kutofautiana na Mbowe, Mzee baba akaamua kumflush TL out of Chadema kwa nafasi yake kumpa Wenje, ndipo Lissu akaamua kama mbway na iwe mbway, mmenianza, mimi namaliza!, akaamua kumvaa Mbowe!.
Wenye akili wanaelewa kitakachotokea siku hiyo na kusababisha uchaguzi usifanyike. Ngumi na makonde yatatembea. Nguo zitachanika, umeme utazimwa, viti na meza zitavunjika. Damu zitamwagika pande hizo mbili (ya Lissu versus ya Mbowe). Ni kama ilivyotokea huko Tanga kwenye mkutano kama huo wa NCCR -Mageuzi enzi za Lyatonga Mrema.Sauti hiyo haisemi kitatokea nini mpaka uchaguzi usifanyike,
Wana haki hiyo kwakuwa wana mgombea ambaye wana maslahi nae.Wanataka "ashinde" kwakuwa wanajua hawezi kushinda.Ila anaweza "akashinda"!Chunguza matakataka wanaoandika akina Tlahthaah,malaria2,masambwa etc,hutopata shida kujua mgombea wao ni naniKila mwana CCM,kwa sasa anajifanya mshauri wa siasa za ndani za CDM.Mpaka hiyo January,tutaona mengi sana.
anashupaza shingo, chama kinaenda kumfiaNani kakwambia amechoka? Kamanda yuko tayari kuingia mzigoni, wewe unazungumzia habari za kupumzika? Ebo!
Hakuna hilo mkuu, chama ni Taasisi sio Mali ya MBOWE, Lissu will fix, hii haina ubishi, kama Serikali itafanya hujuma ni baada bya Lissu kutangazwa, wahujumu chini yake,bila uchaguzi upo palepale!!!Mkuu, kama uchaguzi huo ukifanikiwa kufanyika, matokeo ni ya aina moja tu na wala si vinginevyo. ^Kamanda anarudi mzigoni!^
Hata kama wajumbe wote 1200 wangempigia kura TAL, bado kamanda anashinda tena kwa kishindo.
Kamanda hawezi kubaki pembeni akitazama tu huku chama chake alichojenga kwa jasho, damu na rasilimali nyingi kinaelekea kuzamishwa kwa maslahi ya watu fulani fulani. No!
Thanks for your voice from withinWanabodi
Mzee wa masauti,
Nimesikia sauti ikiniambia niwaonye Chadema mapema tuu, kwenye huu uchaguzi wao wa mwenyekiti, this time around, wasithubutu au wasifanye ujinga wowote au janja janja yoyote!, wafuate tuu katiba yao, sheria taratibu na kanuni, uchaguzi upite salama. Wakileta ujinga wowote, wajue hiyo tarehe 21 Januari, kutakuwa ni hakuna uchaguzi!.
Kwa kipindi cha miaka 20, uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema, ndio unafanyika uchaguzi kweli, hizo chaguzi nyingine zote za mwenyekiti zilikuwaga ni chaguzi zuga tuu!.
Nimeisikia sauti hiyo, wakati nikichangia bandiko hili Kwanini Tundu Lissu hakutangaza nia mapema ya kugombea uenyekiti wa Chama taifa?
Ni kweli Lissu hakuwa kabisa na nia ya kugombea uenyekiti, nia yake ni kutetea umakamo.
Baada ya kutofautiana na Mbowe, Mzee baba akaamua kumflush TL out of Chadema kwa nafasi yake kumpa Wenje, ndipo Lissu akaamua kama mbway na iwe mbway, mmenianza, mimi namaliza!, akaamua kumvaa Mbowe!.
Ni kweli TL amecheza kama Pele ila anajua jinsi wanachama wao walivyo manyumbu, hivyo hawezi kumshinda Mbowe ila atawasumbua, na tena Chadema wawe makini sana, wakileta ujinga wowote, tarehe 21 January hakuna Uchaguzi.
Sauti hiyo haisemi kitatokea nini mpaka uchaguzi usifanyike, na huwezi kuuliza chochote kwenye the voices from within, ni unasikia tuu sauti, inakuambia kitu, haikuambii sababu wala huwezi kuhoji chochote.
Hivyo na mimi nimetimiza wajibu wangu kusema nilichosikia naomba msiniulize chochote ni kusubiri mpaka hiyo tarehe 21, uchaguzi ufanyike, ndipo tuulizane.
Jumapili Njema.
Paskali.
Haya ni maneno ya Mlevi leo Mayalla walwa limemkolea.HAKUNA UCHAGUZI UNAMAANISHA NINI
Na CDM ndio chama cha Watanzania, ila CCM wanataka kuwaaminisha wananchi kuwa CCM bado inakubalika kumbe wapi!Kila mwana CCM,kwa sasa anajifanya mshauri wa siasa za ndani za CDM.Mpaka hiyo January,tutaona mengi sana.