The Watchers: Salamu Toka ICC..."Tread Careful"

The Watchers: Salamu Toka ICC..."Tread Careful"

Pumba tupu
Naona bado unatembea na upepo wa magazeti ya uhuru na mzalendo
Kwa hiyo ukiandikaandika na kubandika humu wote waaamini ulichoaandika
Wewe uende ICC una miadi nao yaani unaona humu kumejaa nyumbu za kuchota tu, au ni kile kivideo ulikiweka hapa unakatiza mitaa ya deh haag ndio unadhani tutakuamini kirejareja hivyo
Naijua Holland nje ndani acha kuandika upupu humu..

Kama unaijua Holland nje ndani kwanini unachukulia hii thread kama big deal? Den Haag sio Dodoma mkuu, hapa uwaziri ni position kwenye mgawanyiko wa majukumu. Prime minister unakutana nae restaurant kama raia wengine. Unaweza kwenda ICC for your own interest hakuna mtu atakuzuia, tatizo TZ tumenyimwa elimu ya kujua haki zetu ndio maana mmekaa kila ni wrong but CCM is right. Safari ni ndefu sana, mimi ninajua sisi wengine tutakufa kabla ya kuona robo ya Tanzania imeamka. Very sad, sisi wengine tumeamua kuwa kwenye right side tu lakini tungekuwa mbuzi God knows
 
Ni suala la muda tu bibi ushungi na genge lake watafikishwa katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu kujibu mashtaka
 
Ulinzi ungekuwa hivi siku zote utekaji isingekuwepo.
Huwezi ua watu vile ukabaki salama, hata machoni pa bwana.
 
Ulinzi ungekuwa hivi siku zote utekaji isingekuwepo.
Huwezi ua watu vile ukabaki salama, hata machoni pa bwana.
 
Hii STT wana mtandao wataiweka mifukoni
Hata hivyo, uwezekano mwingine ambao unaangaliwa hasa kulingana na kinachoenda kutokea ni uwezekano wa kuanzishwa Special Tribunal for Tanzania (STT). Mahakama Maalumu kama hii ndiyo iliyosimamia kesi za kina Milosevic na zile za Rwanda (iliyokuwa inakaa Arusha). Hili inawezekana ndiyo ikawa njia ya haraka ya kuwashughulikia wahusika wa mauaji Tanzania.
 
Dickhead umeshawahi kufika Holland?
Unapajua ICC Den Haag?
wewe hujawahi hata kufika Burundi tu hapo unabwabwaja upupu
Unadhani ICC unaingia tu kama choo cha jiji
You're a stupid idiot arrogant

Unanijua Mimi wewe?

Na ofcoz, ICC sio gereza kama lile la Guantanamo Bay

Ni mahali na eneo huru mtu yeyote kufika na kujifunza only if entry procedures are adhered and followed

Afadhali hata vyoo vya jiji vina strict restrictions kwa maana mhudumu hatakuruhusu kuingia kama kuna mtu mwingine ndani😜
 
Hii STT wana mtandao wataiweka mifukoni
Mnajua watu wako nervous sana kuliko mnavyoweza kufikiria. Hofu ya matukio ya Oktoba ni kuwa kama hawataonekana kufanya uchunguzi wowote - ndio mlango wa ICC kuingilia.
 
Mnajua watu wako nervous sana kuliko mnavyoweza kufikiria. Hofu ya matukio ya Oktoba ni kuwa kama hawataonekana kufanya uchunguzi wowote - ndio mlango wa ICC kuingilia.
Mzee….vipi updates? Kuna mapya pande hizo?

Manake wengi wetu tuna hamu sana mambo yafanyike haraka iwezekanavyo 😀.
 
Nilikutana na Wanasheria kadhaa SA waliniambia hawakutegemea Tanzania kupelekwa The Heague ni aibu sana maana hiyo mahakama ilianzia Arusha wakiamini Tanzania ni Baba katika mambo ya usawa na haki za binadamu tumepotea sana kwa kweli tumeonyesha Dunia na wenyewe ni jinsi gani watu wakiwa na madaraka walivyo makatili..
 
Mzee….vipi updates? Kuna mapya pande hizo?

Manake wengi wetu tuna hamu sana mambo yafanyike haraka iwezekanavyo 😀.
Aisee... ndiyo nageuza hapa; so, kitu kimoja ambacho nimekielewa hawa jamaa ni very methodical. Wanajaribu kufuata "by the book" ili kuweza kupata conviction. Si unajua haitoshi tu kutuhumu but what you can prove. Sasa hivi la kwanza kabisa ni in the background - inaonekana watareach out to the government kujua kama kuna criminal investigation yoyote inafanyika kuhusiana na mauaji yale ya Oktoba. Ni kutokana na hilo (kama kuna uchunguzi wowote) ndio wao wataona kama uchunguzi huo ni 'satisfactory' or not. Wametumia neno "willing and able" kwa national government to investigate and prosecute perpetrators of crimes.

Binafsi my inclings ni kuwa tutasikia something may be no earlier than six months - at least the initial stages of investigations. Lakini, kwa Tanzania kuna advantage moja nayo ni kuwa sources ya taarifa za mauaji yale ni kubwa mno kiasi kwamba, hata wakituma watu kufanya uchunguzi haitawachukua muda mrefu. Siyo sawa na South Sudan au Sudan. Shida ni kuwa viongozi wengi wa nchi hawakamatiki hadi watoke madarakani...which leads me to be the first to say...

Kuna uwezekano CCM katika mchakato wao wa Katiba Mpya wakaja na mapendekezo ya kuondoa ukomo wa madaraka - ili Samia asiondoke after 2030.....
 
Hawakamatiki? Mbona Putin na Netanyau walilimwa arrest warrant,, Sie tunataka Samia alimwe arrest warrant, ilo tu ni kilio Cha kusaga meno
 
Hawakamatiki? Mbona Putin na Netanyau walilimwa arrest warrant,, Sie tunataka Samia alimwe arrest warrant, ilo tu ni kilio Cha kusaga meno
Ni kweli

Kwa hatua tu ya Arrest warrant kuwa issued kwa Samia, nchi hii nzuri ya Tanzania itakuwa imeingia kwenye ukurasa wa hovyo kabisa usiopendeza

Na kwa viongozi wa Africa na nchi za dunia ya 3 masikini hizi, wakianza tu kutafutwa na ICC Ili wakajibu mashitaka yao ya mauaji, inawezekana kweli kwa muda mfupi sana wakajitahidi kujificha na kukimbikimbia hapa na pale kukwepa wasitiwe nguvuni, lakini mwisho wa siku hukamatika tu

Mfano Al Bashir wa Sudan, Laurent Gbagbo wa Ivory Coast, Charles Taylor wa Liberia, kina Uhuru Kenyatta na Williams Ruto Kenya, haikuchukua round kubwa kuwatia mikononi. Wengine wapo jela na wengine wameshakufa kwa sbb ya mahangaiko na kihoro

Hawa wa Ulaya kina Putin na Netanyahu wanaweza kukwepa na wasipatikane kabisa kwa kuwa they are independent
 
Mahakama gani hizo unazodhani zinaweza kushuhulikia kosa la mauaji ya maelfu ya vijana wetu? Kwenye hizi mahakama nani anaweza kusikiliza kesi dhidi ya Kikwete na Samia na akatoa hukumu ya haki? Hawa ni lazima wahukumiwe na mahakama ya kimataifa ; wapi hiyo mahakama itakuwa is irrelevant!
Mkuu 'Bulesi', naona wewe umeamua kuiweka akili yako igande milele katika hii hali mbovu iliyopo sasa; na kusahau kwamba naizungumzia Tanzania Mpya itakayonyanyuka juu kabisa kama nchi yente heshima duniani.

Kwa nini uendelee kujifunga namna hiyo mkuu?

Labda nikupe mfano rahisi wa hivi karibuni unaoweza kustua akili yako: Unamkumbuka yule mwanamke mwingine shetani kama huyu wa kwetu, Shekh Hasina wa Bangladesh, naye aliyehusika katika maelfu ya watu wa Bangladesh?
Mahakama ya huko tayari imekwisha mpa mzigo wake wa hukumu ya kifo. Bahati yake tu ni kuwa kakimbilia India, vinginevyo wakati huu angekuwa kwenye njia moja tu!
Sasa kwa nini wewe uichukulie Tanzania hii iliyovurugwa na hao uliowataja, kuwa ndio watakaoendelea kuishikilia milele!
 
Ni kweli

Kwa hatua tu ya Arrest warrant kuwa issued kwa Samia, nchi hii nzuri ya Tanzania itakuwa imeingia kwenye ukurasa wa hovyo kabisa usiopendeza

Na kwa viongozi wa Africa na nchi za dunia ya 3 masikini hizi, wakianza tu kutafutwa na ICC Ili wakajibu mashitaka yao ya mauaji, inawezekana kweli kwa muda mfupi sana wakajitahidi kujificha na kukimbikimbia hapa na pale kukwepa wasitiwe nguvuni, lakini mwisho wa siku hukamatika tu

Mfano Al Bashir wa Sudan, Laurent Gbagbo wa Ivory Coast, Charles Taylor wa Liberia, kina Uhuru Kenyatta na Williams Ruto Kenya, haikuchukua round kubwa kuwatia mikononi. Wengine wapo jela na wengine wameshakufa kwa sbb ya mahangaiko na kihoro

Hawa wa Ulaya kina Putin na Netanyahu wanaweza kukwepa na wasipatikane kabisa kwa kuwa they are independent
Samia Suluhu Hassan, kikombe hiki cha damu alichokijaza hataepuka kamwe kukinywa. Ni swala la wakati tu sasa lililobaki.
Ama tumalizane naye sisi wenyewe hapa hapa nyumbani, au huko duniani atakinwa tu. Labda akimbilie kwa wajomba zake wenye nguvu ya mahela.
 
Hata hivyo, uwezekano mwingine ambao unaangaliwa hasa kulingana na kinachoenda kutokea ni uwezekano wa kuanzishwa Special Tribunal for Tanzania (STT). Mahakama Maalumu kama hii ndiyo iliyosimamia kesi za kina Milosevic na zile za Rwanda (iliyokuwa inakaa Arusha). Hili inawezekana ndiyo ikawa njia ya haraka ya kuwashughulikia wahusika wa mauaji Tanzania.

Mambo mazito, kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe ikiwemo Samia.
 
Mfumo wetu wa haki uko corrupted mno sasa hivi.
Mfumo upo 'corrupted' na hao hao waliopo madarakani sasa hivi.
Wewe niambie mtu kama Magufuli atokee, ni wiki moja tu hivyo vitakataka vyote vya 'corruption' vinayeyuka.

Siyo kwamba sheria hazipo, ni wasimamizi tu wanaoendeshwa na hao wanaowa'corrupt' watendaji wa mahakama hizo.
 
Mkuu 'Bulesi', naona wewe umeamua kuiweka akili yako igande milele katika hii hali mbovu iliyopo sasa; na kusahau kwamba naizungumzia Tanzania Mpya itakayonyanyuka juu kabisa kama nchi yente heshima duniani.

Kwa nini uendelee kujifunga namna hiyo mkuu?

Labda nikupe mfano rahisi wa hivi karibuni unaoweza kustua akili yako: Unamkumbuka yule mwanamke mwingine shetani kama huyu wa kwetu, Shekh Hasina wa Bangladesh, naye aliyehusika katika maelfu ya watu wa Bangladesh?
Mahakama ya huko tayari imekwisha mpa mzigo wake wa hukumu ya kifo. Bahati yake tu ni kuwa kakimbilia India, vinginevyo wakati huu angekuwa kwenye njia moja tu!
Sasa kwa nini wewe uichukulie Tanzania hii iliyovurugwa na hao uliowataja, kuwa ndio watakaoendelea kuishikilia milele!
Ndugu Kalamu, mahakama gani ya hapa kwetu inayoweza kumpa kibano Samia kama alivyopewa Shekh Hassina kule Bangladesh? Hawa majaji wote ni ccm , Jaji yeyote ambae anatoa hukumu tofauti na matakwa ya ccm huondolewa!! Kuna Jaji mmoja wa mahakama kuu mwanamama alidiriki kutoa hukumu against the state kuhusu wakurugenzi wa halmashauri kusimamia Uchaguzi ; unajua sasa yuko wapi? Hizo ndio mahakama za Bongo!! Usijilishe upepo kuwa bongo mahakama zake zina independence ya mahakama za Bangladesh!! No comparison.
 
Ndugu Kalamu, mahakama gani ya hapa kwetu inayoweza kumpa kibano Samia kama alivyopewa Shekh Hassina kule Bangladesh? Hawa majaji wote ni ccm , Jaji yeyote ambae anatoa hukumu tofauti na matakwa ya ccm huondolewa!! Kuna Jaji mmoja wa mahakama kuu mwanamama alidiriki kutoa hukumu against the state kuhusu wakurugenzi wa halmashauri kusimamia Uchaguzi ; unajua sasa yuko wapi? Hizo ndio mahakama za Bongo!! Usijilishe upepo kuwa bongo mahakama zake zina independence ya mahakama za Bangladesh!!
Tatizo, mkuu 'Bulesi', ni kwamba akili yako, kama zilivyo zetu wengi wetu; hatutaki kamwe kuiondoa kwenye u_CCM; imeganda kabisa huko huko; ni kama hatuwezi kuifikiria Tanzania bila kuifikiria CCM. Swala langu ni kwa nini iwe hivyo.

Wewe hapo ulipo huamini kabisa kuwa CCM inakaribia , kama bado haijafa kabisa?

Kwa nini uijaze akili yako nzuri wakati wote na hii CCM ambayo imefanya maovu yote haya Tanzania?

Huo mstari wako wa mwisho, unanifanya nianze kukudharau hivi hivi mkuu wangu, kama kweli unazo akili za namna hii! Ni kama nawe huna tofauti sana na mtu kilaza kama Samia, anayetumia maneno ya mipasho kama hiyo!

Nimekupa mfano hapo wa Magufuli, bado ni kama umelaza akili, sasa unataka nikueleze nini tena!

Kwani wewe hujui kuwa hiyo Bangladesh yenyewe ilitawaliwa chini ya chama cha Awami League; kilicho ishikilia nchi hiyo kwa nguvu kama ilivyokuwa CCM. Sasa unakuja hapa na kubwabwaja tu bila hata ya kutaka kujiridhisha kujuwa ni kipi kinazungumziwa; unabaki tu na mipasho ya "kujilisha upepo"!
Mtu kama wewe tufanyeje ili tukusaidie kuelewa kinachozungumziwa?

Soma na tafakari kwanza, kabla ya kujibu jambo ambalo huna ufahamu nalo vizuri.
 
UWAJIBIKAJI WA ALIYE RAIS NA AMIRI JESHI MKUU KWA VITENDO VYA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA

Case study DR Congo madaraka makubwa ya rais na mzigo wa kuwajibishwa

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo: Uongozi na Urithi (legacy)​

Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina umuhimu mkubwa katika kuunda hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya taifa hilo. Akiwa afisi ya juu zaidi nchini, rais ana nguvu kubwa, kutoka kwa kusimamia utawala hadi kuwakilisha taifa katika jukwaa la kimataifa. Jukumu hili, hata hivyo, linakuja na changamoto kubwa, ikizingatiwa historia changamano ya nchi ya kuyumba kisiasa, mapambano ya kiuchumi, na misukosuko ya kijamii.

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mojawapo ya mataifa makubwa na yenye rasilimali nyingi barani Afrika, imekabiliwa na changamoto za kipekee katika safari yake ya kuelekea demokrasia. Jukumu la rais limebadilika sana, limeathiriwa na matukio ya kihistoria, mabadiliko ya kikatiba, na mabadiliko ya mienendo ya kisiasa. Ofisi hiyo inadai uongozi thabiti kushughulikia masuala muhimu kama vile maendeleo ya kiuchumi, ujenzi wa amani na mahusiano ya kimataifa.

Makala haya yanaangazia mamlaka, wajibu, na changamoto anazokabiliana nazo Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inaangazia mabadiliko ya kihistoria ya jukumu, mfumo wa kikatiba, na ushawishi katika mazingira ya kijamii na kisiasa. Tutatoa ufahamu wa kina wa nafasi hii muhimu na athari zake kwa taifa kupitia muhtasari wa kina.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo​

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiye mkuu wa nchi na serikali na amiri jeshi mkuu wa majeshi. Jukumu hili linahusu kusimamia utawala, kutekeleza majukumu ya kikatiba, na kuwakilisha taifa kimataifa. Majukumu ya rais ni pamoja na kushughulikia changamoto muhimu kama vile maendeleo ya kiuchumi, kudumisha amani na kukuza uhusiano wa kidiplomasia. Msimamo huo ni muhimu katika kuunda mustakabali wa taifa katikati ya mienendo tata ya kijamii na kisiasa.

Mageuzi ya Kihistoria ya Urais katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo​

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kihistoria amekuwa na mamlaka makubwa, urithi uliotokana na safari ya nchi hiyo yenye misukosuko kutoka kwa utawala wa kikoloni hadi kupata uhuru. Mnamo 1960, DRC ilipata uhuru kutoka kwa Ubelgiji, ikiashiria hatua muhimu. Hata hivyo, mpito huu ulikumbwa na ukosefu wa utulivu, huku nchi ikihangaika kuunda serikali thabiti. Joseph Kasa-Vubu alikua rais wa kwanza, akipitia mazingira tete ya kisiasa yenye sifa ya migawanyiko ya kikanda na kuingiliwa kimataifa.

Urais ulichukua mkondo mkubwa chini ya Mobutu Sese Seko, ambaye alinyakua mamlaka mwaka 1965. Utawala wa Mobutu, uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu, uligubikwa na ubabe, ufisadi, na mamlaka kuhodhiwa na serikali kuu inayomilikiwa na mtu mmoja mwenye maamuzi. Urais ulifanana na utawala wa kibinafsi wakati wa uongozi wake, kwani michakato ya kidemokrasia ilikandamizwa. Enzi hii iliathiri sana utamaduni wa kisiasa wa DRC, na kuacha urithi wa kutoaminiana katika utawala.

Mwishoni mwa miaka ya 1990 ilianzisha kipindi cha mpito na kuondolewa kwa Mobutu na uongozi uliofuata wa Laurent-Désiré Kabila. Kuuawa kwake mwaka 2001 kulimleta mwanawe, Joseph Kabila, madarakani, ambaye aliongoza nchi hiyo kupitia uchaguzi wake wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 2006. Chaguzi hizi ziliashiria mabadiliko makubwa, na kuleta mageuzi ya kikatiba ili kugatua madaraka na kuimarisha uwajibikaji zaidi.

Leo, urais unaendelea kubadilika. Félix Tshisekedi, rais wa sasa, anawakilisha hatua muhimu kama kiongozi wa kwanza wa upinzani kuchukua madaraka kwa amani. Uongozi wake unasisitiza maendeleo ya DRC kuelekea uimarishaji wa demokrasia huku ukiangazia changamoto za utawala zinazoendelea katika taifa lenye rasilimali nyingi lakini lenye mgawanyiko mkubwa.

Madaraka na Wajibu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo​

Mamlaka ya Utendaji​

Rais anaongoza serikali na serikali, akiwa na mamlaka ya utendaji kutekeleza sheria na kusimamia sera za kitaifa. Wanamteua waziri mkuu, wajumbe wa baraza la mawaziri, na maafisa wengine wakuu, kuchagiza muundo wa utawala wa serikali.

Uongozi wa Kijeshi​

Kama amiri jeshi mkuu, rais anawajibika kwa ulinzi na usalama wa taifa. Hii ni pamoja na kuelekeza operesheni za kijeshi, kushughulikia mizozo ya ndani, na kuhakikisha uhuru wa DRC.

Ushawishi wa Kisheria​

Rais anaweza kupendekeza sheria, miswada ya kura ya turufu, na kuitisha kura ya maoni kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jukumu hili la kutunga sheria linawawezesha kushawishi uundaji wa sera na kushughulikia maswala ya kitaifa.

Uangalizi wa Mahakama​

Ingawa mahakama inafanya kazi kwa uhuru, rais anaweza kuteua maafisa wakuu wa mahakama. Nguvu hii inasisitiza ushawishi wa rais katika kudumisha utawala wa sheria na kuhakikisha haki.

Uwakilishi wa Kidiplomasia​

Katika jukwaa la kimataifa, rais anawakilisha DRC katika vikao vya kimataifa, kujadili mikataba na kukuza uhusiano wa kidiplomasia. Jukumu hili ni muhimu kwa ajili ya kupata uwekezaji wa kigeni, misaada, na ubia unaosukuma maendeleo ya taifa.

Changamoto Anazokabiliana nazo Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo​

Kutokuwepo kwa Usawa wa Kiuchumi na Umaskini: DRC inakabiliwa na umaskini mkubwa licha ya kuwa na maliasili nyingi. Rais anapaswa kusawazisha unyonyaji wa rasilimali na maendeleo sawa ya kiuchumi, kuhakikisha utajiri unanufaisha wananchi wote.

Migogoro ya Silaha na Ukosefu wa Usalama: Migogoro inayoendelea katika maeneo kama Ituri na Kivu Kaskazini inaleta changamoto kubwa. Rais ana jukumu la kushughulikia chanzo cha migogoro hii, kushiriki katika mazungumzo ya amani, na kujenga upya jamii zilizoathirika.

Ufisadi na Utawala: Ufisadi bado ni suala kuu nchini DRC. Rais lazima atekeleze hatua za kupambana na ufisadi, kukuza uwazi, na kujenga upya imani ya umma kwa taasisi za serikali.

Huduma ya Afya na Elimu: Upatikanaji wa huduma za afya na elimu ni mdogo katika maeneo mengi ya nchi. Rais ana jukumu muhimu katika kuanzisha mageuzi ya kuboresha sekta hizi na kuimarisha ubora wa maisha kwa wananchi.

Uendelevu wa Mazingira: DRC, pamoja na misitu yake mikubwa na bayoanuwai, ni muhimu kwa juhudi za kimataifa za mazingira. Rais lazima ahakikishe usimamizi endelevu wa rasilimali huku akishughulikia athari za mabadiliko ya tabianchi.

Umuhimu wa Urais wa Félix Tshisekedi​

Uchaguzi wa Félix Tshisekedi mwaka wa 2019 uliashiria wakati mgumu kwa DRC. Akiwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuchukua madaraka kwa amani, urais wake unawakilisha maendeleo katika safari ya kidemokrasia nchini humo. Tshisekedi ameangazia kuboresha utawala, kupambana na ufisadi, na kukuza ushirikiano wa kikanda.

Chini ya uongozi wake, DRC imeona kuongezeka kwa ushirikiano wa kimataifa. Tshisekedi ameweka kipaumbele katika maendeleo ya miundombinu, mageuzi ya huduma za afya, na mseto wa kiuchumi. Hata hivyo, urais wake pia umekabiliwa na ukosoaji, hasa kuhusu maendeleo ya polepole katika kushughulikia migogoro ya silaha na changamoto za kiuchumi.

Uongozi wa Tshisekedi unaangazia ugumu wa kutawala taifa tofauti na lenye rasilimali nyingi kama DRC. Utawala wake unasisitiza haja ya utawala shirikishi na uundaji wa sera za kimkakati ili kukabiliana na changamoto za nchi kwa ufanisi.

Kwa Nini Wajibu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ni Muhimu?​

Kuhakikisha Utulivu wa Kitaifa: Rais ni muhimu katika kudumisha utulivu wa kisiasa na kijamii, ambao unakuza amani na maendeleo.

Kukuza Ukuaji wa Uchumi: Rais anaathiri mwelekeo wa uchumi wa taifa kupitia sera na mageuzi, na kuunda fursa za maendeleo endelevu.

Kukuza Uhusiano wa Kimataifa: Akiwa mwakilishi wa DRC, rais anajenga ushirikiano ambao unaboresha hadhi ya taifa hilo kimataifa na kuvutia wawekezaji wa kigeni.

Kukuza Mageuzi ya Kijamii: Rais anaanzisha mageuzi ya kuboresha huduma za afya, elimu, na usawa wa kijamii, ambayo huathiri moja kwa moja maisha ya raia.

Umoja wa Ushindi: Katika taifa tofauti kama DRC, rais anaunganisha, akikuza ushirikishwaji na fahari ya kitaifa.

Msalaba wa rais​

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anasalia kuwa mtu mkuu katika kuunda mustakabali wa taifa hilo. Kuanzia kushughulikia changamoto za kiuchumi hadi kukuza amani na utulivu, jukumu hilo linadai uongozi wenye maono na kujitolea kwa kina kwa watu. Wakati DRC ikiendelea na safari yake kuelekea maendeleo, urais utasalia kuwa muhimu katika kukabiliana na changamoto za taifa hilo na kuchukua fursa zake. Uongozi wa Félix Tshisekedi unasisitiza uwezekano wa mabadiliko chanya huku ukiangazia utata wa utawala katika mojawapo ya mataifa yenye rasilimali nyingi zaidi duniani.

Maendeleo ya DRC hayategemei tu viongozi wake bali pia ushiriki wa wananchi wake. Kwa pamoja, wanaweza kufanya kazi kuelekea kujenga mustakabali mzuri zaidi, kuhakikisha kwamba urais unasalia kuwa ishara ya umoja, matumaini, na uthabiti.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara​

Swali: Ni yapi mamlaka makuu ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
J: Rais anasimamia utawala, usalama wa taifa, na uhusiano wa kimataifa huku akiathiri sheria na uteuzi wa mahakama.

Swali: Urais umebadilika vipi nchini DRC?
Jibu: Urais umebadilika kutoka utawala wa kimabavu hadi mfumo wa kidemokrasia, unaoadhimishwa na mageuzi makubwa ya kikatiba.

Swali: Je, rais anakumbana na changamoto gani nchini DRC?
Jibu: Rais lazima ashughulikie umaskini, migogoro ya silaha, ufisadi, na uendelevu wa mazingira huku akihimiza ukuaji wa uchumi.

Swali: Kwa nini urais wa Félix Tshisekedi ni muhimu?
J: Uongozi wa Tshisekedi unawakilisha mabadiliko ya amani ya mamlaka na kuangazia juhudi za kuboresha utawala bora na ushirikiano wa kikanda.

Swali: Urais unaathiri vipi uhusiano wa kimataifa?
J: Rais anawakilisha DRC duniani kote, akikuza ushirikiano unaovutia uwekezaji, misaada, na msaada kwa maendeleo ya taifa.
John-Galindo-96x96.png

John Galindo
John Galindo ni mwandishi wa habari aliyejitolea anayejulikana kwa kutoa hadithi sahihi, kwa wakati unaofaa na za kuvutia. Akiwa na jicho kali kwa undani na kujitolea kufichua ukweli, John anashughulikia mada mbalimbali, kuanzia habari zinazochipuka hadi vipengele vya kina. Uandishi wake ulio wazi na mafupi huwaweka wasomaji habari na kushikamana na ulimwengu unaowazunguka.

Source : TheSouthernAfricantimesdot com
 
Tatizo, mkuu 'Bulesi', ni kwamba akili yako, kama zilivyo zetu wengi wetu; hatutaki kamwe kuiondoa kwenye u_CCM; imeganda kabisa huko huko; ni kama hatuwezi kuifikiria Tanzania bila kuifikiria CCM. Swala langu ni kwa nini iwe hivyo.

Wewe hapo ulipo huamini kabisa kuwa CCM inakaribia , kama bado haijafa kabisa?

Kwa nini uijaze akili yako nzuri wakati wote na hii CCM ambayo imefanya maovu yote haya Tanzania?

Huo mstari wako wa mwisho, unanifanya nianze kukudharau hivi hivi mkuu wangu, kama kweli unazo akili za namna hii! Ni kama nawe huna tofauti sana na mtu kilaza kama Samia, anayetumia maneno ya mipasho kama hiyo!

Nimekupa mfano hapo wa Magufuli, bado ni kama umelaza akili, sasa unataka nikueleze nini tena!

Kwani wewe hujui kuwa hiyo Bangladesh yenyewe ilitawaliwa chini ya chama cha Awami League; kilicho ishikilia nchi hiyo kwa nguvu kama ilivyokuwa CCM. Sasa unakuja hapa na kubwabwaja tu bila hata ya kutaka kujiridhisha kujuwa ni kipi kinazungumziwa; unabaki tu na mipasho ya "kujilisha upepo"!
Mtu kama wewe tufanyeje ili tukusaidie kuelewa kinachozungumziwa?

Soma na tafakari kwanza, kabla ya kujibu jambo ambalo huna ufahamu nalo vizuri.

Kalamu, nimesoma na kutafakari andiko lako. Naamini kabisa kuwa kuna siku ccm itaondolewa madarakani lakini kufikiria kuwa Mwenyekiti wa ccm ambaye ni Rais atahukumiwa impatially na mahakama za hapa nchini is unrealistic hata kama hatakuwa madarakani! There are examples of African heads who are in jail now for human rights violations but were tried by International courts and not their local courts and Samia is no exception!!
To assume that currently ccm is moribund when they have all the critical institutions such as the army still under their tutelege is unrealistic!
 
Back
Top Bottom