Sijui ugumu wa ninachokieleze upo wapi mkuu 'Bulesi'.Kalamu, nimesoma na kutafakari andiko lako. Naamini kabisa kuwa kuna siku ccm itaondolewa madarakani lakini kufikiria kuwa Mwenyekiti wa ccm ambaye ni Rais atahukumiwa impatially na mahakama za hapa nchini is unrealistic hata kama hatakuwa madarakani! There are examples of African heads who in jail now for human rights violations but were tried by International courts and not their local courts and Samia is no exception!!
To assume that currently ccm is moribund when they have all the critical institutions such as the army still under their tutelege is unrealistic!
Kwa nini unashikilia CCM kubaki na 'influence' ile ile hata baada ya kuondolewa madarakani?
Labda nikwambie hivi: Itokee kesho pawepo na mapinduzi yatakayowaondoa madarakani hao wanaojiita CCM. Ndiyo, kesho hiyo hiyo watu wataisahau na kuitupilia mbali kabisa hiyo CCM.
Hivi kwa nini wewe hujui kwa nini Samia hakuamini kuwa angeweza kubaki madarakani bila ya kutumia nguvu? Ni kwamba watu (waTanzania) hao hao unaosema wewe wameshikiliwa na CCM hawawataki. Sasa kilichobaki ni kutumia mitutu ya bunduki kulazimisha kila jambo, hadi huko mahakamani.
Sasa piga picha, mitutu hiyo, iwe CCM hawaishikilii tena (kesho); kwa nini mahakama hiyo iendeleze tena mambo ambayo hata wao walikuwa hawayataki!
Tafakari yako ikazie kwenye CCM kutokuwa na madaraka ya kutumia mabavu kulazimisha yafanywe wasoiyoyataka waTanzania.