Sijui ugumu wa ninachokieleze upo wapi mkuu 'Bulesi'.Kalamu, nimesoma na kutafakari andiko lako. Naamini kabisa kuwa kuna siku ccm itaondolewa madarakani lakini kufikiria kuwa Mwenyekiti wa ccm ambaye ni Rais atahukumiwa impatially na mahakama za hapa nchini is unrealistic hata kama hatakuwa madarakani! There are examples of African heads who in jail now for human rights violations but were tried by International courts and not their local courts and Samia is no exception!!
To assume that currently ccm is moribund when they have all the critical institutions such as the army still under their tutelege is unrealistic!
Mkuu 'Bulesi', imenibidi nirudi baada ya akili yangu kushindwa kuwa tulivu, kwa kutojuwa hasa ni kipi ninachokieleza hakigusi kabisa fikra zako.To assume that currently ccm is moribund when they have all the critical institutions such as the army still under their tutelege is unrealistic!
Mkuu 'Bagamoyo', just know that you're doing a wonderful job; you're playing your part.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John W. Heche akisoma maazimio ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA katika press conference leo tarehe 11 December 2025 pamoja na maazimio ya vikwazo pia imetoa mapendekezo kumi mazito yafanyike
"Tread carefully".'' Tread careful''
Samia hana 'interest' na "salamu kufika".Salamu zitafika tu....baada ya kuzurura kule..naona majibu yanajaribu kutolewa
Jambo la msingi ICC itoe arrest warrant tu.Samia hana 'interest' na "salamu kufika".
ICC watakuwa wanamfanyia fadhila kubwa iwapo wataendelea kkimya kimya kama ilivyo sasa, kumpa fursa ya yeye kumaliza miaka yake mitano. Hilo ndilo lenye mashiko makubwa kwake kuliko kitu kingine chochote wakati huu.
Baada ya miaka yake mitano kuisha, atamwachia mwenzake atakayehakikisha hasumbuliwi akiwa mstaafu; na kama kuna usumbufu wa ICC wakati huo, itakuwa ni rahisi tu kwake kwenda kuishi kwa wajomba akimaliza maisha yake bila ya bughdha!
Hiyo mahakama ya ICC kazi kubwa ni kuwashughulikia ma'war-lords' kama wale wa DRC. Hawa watawala madharimu wanawaona kuwa wagumu kwa sababu zao wenyewe kuwashughulikia.
WaTanzania watakuwa wanafanya makosa makubwa kuwategemea hao ICC kuwawajibisha waovu hawa.
hili alilitangaza yeye mwenyewe hadharani, tena kwenye mkutano. Sijui kwa nini ni jambo linalomsumbua sana akili yake; kiasi kwamba inasababisha afanye uovu wote huu kwa jambo kama hili.Suala la kumaliza MIAKA YAKE, ni mentality ya kipumbavu, maana TZ siyo nchi yake
Mkuu... huyu mama kichwani hamna kitu na kwa bahati mbaya sana mimi nilikuwa sijagundua kuwa kiwango chake cha upumbavu ni kikubwa namna hii. Yaani CCM wametuweza kweli kweli. Huyu na Gigi Money ngoma droo. Waliozunguka wote wanalijua hili lakini wanataka kufaidika kwa ufisadi ndiyo maana hawaonekani kutishika. Hivi nchi ilivyo na tension sasa hivi ni muda wa Makonda kutembea na gari la kifahari kuliko hata waziri wa Uingereza? Hivi hawa watu wanatafuta nini hasa? Baada ya kuua maelfu anadhani ndiyo amepata ushindi?hili alilitangaza yeye mwenyewe hadharani, tena kwenye mkutano. Sijui kwa nini ni jambo linalomsumbua sana akili yake; kiasi kwamba inasababisha afanye uovu wote huu kwa jambo kama hili.
Kuna hilo swala la 'military' na polisi kuwa katika hali waliyomo sasa hivi; hili linatakiwa kufanyiwa uchambuzi makini zaidi, kwa maana naamini kuna sababu zinazolazimisha vyombo hivyo kuwa 'paralysed' kama vilivyo sasa hivi.
Ni katika mwendelezo huo hupo unaowashikilia hawa wote wanaokubali kutumikia uovu huu katika sehemu mbalimbali.
Inatia mashaka sana kuhusu mwenendo waliouchukua ICC kuhusu hali ya mauaji Tanzania hadi sasa; yaani hakuna hata taarifa tu ya kueleza kuwa hilo swala lilishawasilishwa huko. Ni taarifa tu zinazotolewa na watu pembeni kuhusu uhusika wa ICC juu ya swala hilo. Ni kama wanasubiri hali itengemae kabisa, na watu waendelee na maisha na kusahau; jambo ambalo ndilo Samia analitarajia sana litokee.Jambo la msingi ICC itoe arrest warrant tu.
Suala la yeye kukamatwa, waachane naye.
Hiyo pekee itakuwa JELA maisha yake yote yaliyobakia.
Kesi imeshafunguliwa na chama cha wanasheria Madrid pamoja na NGO moja ya South Africa.Inatia mashaka sana kuhusu mwenendo waliouchukua ICC kuhusu hali ya mauaji Tanzania hadi sasa; yaani hakuna hata taarifa tu ya kueleza kuwa hilo swala lilishawasilishwa huko. Ni taarifa tu zinazotolewa na watu pembeni kuhusu uhusika wa ICC juu ya swala hilo. Ni kama wanasubiri hali itengemae kabisa, na watu waendelee na maisha na kusahau; jambo ambalo ndilo Samia analitarajia sana litokee.
Hizi mbinu zote za kuunda tume na kuhimiza maridhiano ni njia hiyo ya kutaka kutowahusisha ICC katika swala hili,; na inawezekana hata wao wanatoa mwanya huo ili wasionekane kuhusika kwao kunazidi kuvuruga jitihada za Samia kutawala kwa mabavu.
Samia anastahili kuuliwa kama alivyouliwa Indira Gandhi au Anwar Sadat.Samia hana 'interest' na "salamu kufika".
ICC watakuwa wanamfanyia fadhila kubwa iwapo wataendelea kkimya kimya kama ilivyo sasa, kumpa fursa ya yeye kumaliza miaka yake mitano. Hilo ndilo lenye mashiko makubwa kwake kuliko kitu kingine chochote wakati huu.
Baada ya miaka yake mitano kuisha, atamwachia mwenzake atakayehakikisha hasumbuliwi akiwa mstaafu; na kama kuna usumbufu wa ICC wakati huo, itakuwa ni rahisi tu kwake kwenda kuishi kwa wajomba akimaliza maisha yake bila ya bughdha!
Hiyo mahakama ya ICC kazi kubwa ni kuwashughulikia ma'war-lords' kama wale wa DRC. Hawa watawala madharimu wanawaona kuwa wagumu kwa sababu zao wenyewe kuwashughulikia.
WaTanzania watakuwa wanafanya makosa makubwa kuwategemea hao ICC kuwawajibisha waovu hawa.
Hao wanaofanya mikutano ya pembeni. Hili suala ni zito watambue"Tread carefully".
Still, it's unclear who should "tread carefully"!
Hiyo mifano ya Indira na Sadat, HAPANA.Samia anastahili kuuliwa kama alivyouliwa Indira Gandhi au Anwar Sadat.
We're dealing with an exceptional group of people who have no limits to their audacity!Hao wanaofanya mikutano ya pembeni. Hili suala ni zito watambue
Lakini, si wamekwenda hadi Vatican, mkuu 'Mpwimbe'; hatujui hadi sasa wamewasilisha taarifa gani huko; pengine wakitarajia kuwabana hao TEC hapa nyumbani.Kesi imeshafungukiwa na chama cha wanasheria Madrid pamoja na NGO moja ya South Africa.
Hata hayo maridhiano ni FAKE, maana mpaka sasa hatuajona wamekutana na mtu yoyote wa TEC.
TEC wana ushahidi wote, wa maiti zilivyojaa kwenye hospotali zao.
Hili suala halitapita tu kama upepo kwasabbu walifanya kipumbavu. Watu mpaka leo hawajazika.
Kuwa na akili ni jambo moja, kukosa maarifa ni jambo jingine. Tanzania ya leo hatuna watu wenye maarifa.We're dealing with an exceptional group of people who have no limits to their audacity!
Hebu fikiri watu hawahawa kufunga safari kwenda Vatican kuonana na kiongozi wa dhehebu la dini, ambalo wamefanya kila njia ya kulishutumu, na hata kujaribu kuua mmoja wa viongozi wake!