Kabla ICC haijaamua kumuindict mtu pale ushahidi wa kutosha upo wa vitendilo vya uhalifu inayoa nafasi kwanza kwa vyombo vya ndani kushughulikia. Mkutano wa Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC ulikuwa ni kutoa nafasi kwa serikali kuelezea nini kinafanyika kuwawajibisha wote waliohusika na mauaji na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanyika October 29th.
Serikali inatakiwa itoe taarifa ya ni chombo gani cha ndani kinashughulikia kuleta mashtaka juu ya wahusika. Jibu la serikali ni Tume ya Chande. ICC wanatakiwa kuamua kama tume hiyo inakidhi viwango vya kimataifa kutokana na Mkataba wa Roma kuhusiana na uchunguzi na mashtaka ya uhalifu.
Kama ICC ikiona tume hiyo haikidhi viwango hivyo ni LAZIMA ilete mashtaka dhidi ya wahusika. Kama Samia baada ya kuapishwa tu angeonesha kushtushwa na matukio na mara moja kuanza kuwawajibisha watuhumiwa nanhivyo kujitenga nao angeweza kukwepa kuhusishwa. Tunajua alichofanya na anachoendelea kufanya.
Kwa mfumo wetu ni Bunge tu linaweza kumwajibisha Rais siyo mahakama.mimi siyo mwanasheria, lkn kwa uelewa wangu raisi ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, hivyo wakati mauaji yanafanyika kulikuwa na mkuu ambaye anatoa command majeshi hayawezi kamwe kuanza tu kushoot to kill watu bila ya kupata amri ktk kwa mkuu wao na huyo mkuu alikuwa na uwezo wa kutoa tu amri kusitisha mauaji, sasa watoe (icc) nafasi kwa wahusika washughulikiwe ndani ya nchi ni nani amshughulikie mkuu wa vyombo na ulinzi na usalama ndani ya nchi? kama kungekuwa na huo uwezekano tusingewahitaji icc na intzernational community in the first place ...
Kama hivi ndivyo; kuwa utaratibu ni huo wa wahalifu kufanya juhudi za kujisafisha kabla ya kufikishwa madarakani; basi hapo hakuna kesi.kwa vyombo vya ndani kushughulikia. Mkutano wa Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC ulikuwa ni kutoa nafasi kwa serikali kuelezea nini kinafanyika kuwawajibisha wote waliohusika na mauaji na uhalifu dhidi ya ubinadamu uliofanyika October 29th.
Nashukuru umemaliza na huo mstari wa mwisho.Kama ICC ikiona tume hiyo haikidhi viwango hivyo ni LAZIMA ilete mashtaka dhidi ya wahusika. Kama Samia baada ya kuapishwa tu angeonesha kushtushwa na matukio na mara moja kuanza kuwawajibisha watuhumiwa nanhivyo kujitenga nao angeweza kukwepa kuhusishwa. Tunajua alichofanya na anachoendelea kufanya
Samia alitaka kutoa ujumbe kwa waTanzania wote wasithubutu kupinga nia yake ya kubaki madarakani kwa njia yoyote ile.mimi siyo mwanasheria, lkn kwa uelewa wangu raisi ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, hivyo wakati mauaji yanafanyika kulikuwa na mkuu ambaye anatoa command majeshi hayawezi kamwe kuanza tu kushoot to kill watu bila ya kupata amri ktk kwa mkuu wao na huyo mkuu alikuwa na uwezo wa kutoa tu amri kusitisha mauaji, isitoshe raisi mwenyewe alitoka public na kuhutubia dunia nzima na kusema nguvu iliyotumika iliendana na hali iliyokuwepo hivyo yeye mwenyewe emeji-implicate kuhusika sasa watoe (icc) nafasi kwa wahusika washughulikiwe ndani ya nchi ni nani amshughulikie mkuu wa vyombo na ulinzi na usalama ndani ya nchi? na kama kungekuwa na huo uwezekano tusingewahitaji icc na international community in the first place ...
Tume iliulizwa kuhusu 'conflict of interest'' nyingi na mojawapo ni ya Mjumbe Tax. Kwamba ni mtu wa Chama na alikuwa waziri wa ulinzi wakati wa machafuko. Nilitegemea Jaji Chande angeliona hilo swali kama ''heads up'' akapuuzia. Impartiality inaangaliwa kuliko jambo jingine katika matukio kama hayaKama ICC ikiona tume hiyo haikidhi viwango hivyo ni LAZIMA ilete mashtaka dhidi ya wahusika. Kama Samia baada ya kuapishwa tu angeonesha kushtushwa na matukio na mara moja kuanza kuwawajibisha watuhumiwa nanhivyo kujitenga nao angeweza kukwepa kuhusishwa. Tunajua alichofanya na anachoendelea kufanya.
Hakuna chochote cha maana wanaweza kuwasilisha huko.Lakini, si wamekwenda hadi Vatican, mkuu 'Mpwimbe'; hatujui hadi sasa wamewasilisha taarifa gani huko; pengine wakitarajia kuwabana hao TEC hapa nyumbani.
Ni sahihi kwa hao wanasheria wa Madrid, na hiyo NGO walivyofanya kwa niaba yetu; lakinii hili haliwezi kutupa matumaini makubwa sisi waTanzania.
Wahusika ni sisi, tunao wajibu wa kushiriki karibu zaidi katika swala linalotuhusu sisi; kwa sababu ni sisi tulioumia na tunaendelea kuumia.