The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Mwenzako alipoitisha picha za kariobangi alidhani kwamba kariobabgi in slum ndio maana akaiweka katika sentensi moja na kibera. Picha ndio hiyo mumeletewa na bado mnaweweseka. Tokeni nje ya mazense mjue kuna life nje ya slums za dar
 
Mwenzako alipoitisha picha za kariobangi alidhani kwamba kariobabgi in slum ndio maana akaiweka katika sentensi moja na kibera. Picha ndio hiyo mumeletewa na bado mnaweweseka. Tokeni nje ya mazense mjue kuna life nje ya slums za dar
Halaf mnajipa tabu kweli, kila comment ya mtu mnataka kujibu kwa mashambulizi

Jamaa aliuliza tuu, vip sehem zingine hizo huwezi ukaleta picha katika sehem alizozitaja majawapo ni Kariobang
Sasa Wakora mkaona sehem hiyo pekee ya kutuma picha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka hata ya kasarani pia tutakuletea. Pale kasarani wewe na wadanganyika wenzako wote hamwezi kuafford kulipa kodi lakini ndani ya akili zenu potovu mndhani ni kama slums za Dar mlizozoea
 
Dar yote ni slums na hizo corrugated iron sheets a k a dream house ndo kabisaa utadhani taka za dampo ukiwauliza utasikia wanasema unplanned settlement,maajabu🤣🤣🤣🤣
 
Watanzania Wenzangu hebu tuwe seriousy katika hili, hata iwe Vipi huwezi kufananisha DSM na NRB wenzetu waKenya mji wao Upo well organized na more developed there is no way tukaweza compete nao BUT DSM nayo inakua kwa speed sana in term of infrastructure..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna uzi wa Dar vs NBO mzee, kule ndo kuna mashindano hayo nenda kule kaseme maneno hayo
Mbona hapa hakuna ufananishi wa Dar vs NBO, me naona Wakenya tuu hapa wakisifia eneo mojawapo la NBO liitwalo Westlands
Ko no competition hapa nahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamupendi kuambiwa ukweli hata na watanzania wenzenu mijitu nyie
 
Asante kwa kuongea ukweli bila ushabiki au uzalendo
 

Tatizo unaleta ujuaji wa kijinga.. tatizo waTz wengi hatuna exposure..Tembea brother uone Dunia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
 
 

Attachments

  • sanlam westlands nairobi.jpg
    144.8 KB · Views: 40
  • kempinski westlands.jpg
    197 KB · Views: 38
  • The-Sarit-Centre westlands.jpg
    99.7 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…