The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

The WESTLANDS district of NAIROBI CITY

Acha tu hawa jamaa ni vilaza tu, magomeni yenyewe sijui wanacompare na Westland nini? Because magomeni ni residential area ambayo bado ina makazi duni ,makazi ya magomeni ni bungalow za kiajabu ajabu, kuna apartments tu kama nne ,mtaa wa idrisaa,mtaa wa mwinyi na mikumi sioni pale kitu cha kumfanya mtu aitaje, magomeni yenyewe haina hata two star hotel hua nashangaa hawa kakazetu sijui akili walizieka wapi.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Looks like you know Dar quite well. Kwa huo ufafanuzi, naeza linganisha hiyo magomeni na Kangemi hivi
 
Wakenya wamepanic kwelikweli
Hahahahah kumbe na nyie mna panic hivoo, yaan Magomeni tuu inawatia jambajamba kiasi hiko

Bro tuusan umewaweza hawa majirani, maana hujaenda mbali umewapa Magomeni wanaweweseka hivi, je ungewapa Kijitonyama au Morocco si ndo uzi ungegeuka NBO vs Dar tena!!
Hahahahah

Wakenya eeh, tunaheshimu Westlands bana ndo maana tuusan akasema mbona ni ya kawaida tuu kama Magomeni Hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar inafaa ilinganishwe na Mogadishu because both of them hawana roundabouts. Dar ndo inajenga yao ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wenu sindio mnaupigia kifua sana sikuhz...wahabeshi wa NBO

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wamepanic kwelikweli
Hahahahah kumbe na nyie mna panic hivoo, yaan Magomeni tuu inawatia jambajamba kiasi hiko

Bro tuusan umewaweza hawa majirani, maana hujaenda mbali umewapa Magomeni wanaweweseka hivi, je ungewapa Kijitonyama au Morocco si ndo uzi ungegeuka NBO vs Dar tena!!
Hahahahah

Wakenya eeh, tunaheshimu Westlands bana ndo maana tuusan akasema mbona ni ya kawaida tuu kama Magomeni Hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua hamna Data yakutosha lakini Tazama Hii Video kwa umakini halafu bubujika povu.
 
Westy ni avic towers ndio inaleta hii maneno yote,nyumba zenyewe hazijaisha[emoji38][emoji38].....the rest hapa Dar zipo wacha nichubue mute

Sent using Jamii Forums mobile app
Magomeni huu ndio uchafu mnalinganisha na Westy????
1553762526574.png

1553762550687.png

1553762592911.png
 
Sa iyo wetland inasaidiaje kuponya njaa na umaskini walonao wakenya
 
Why do all houses in Dar have rusty iron sheets? Najua watesema ni kwa sababu iko karibu na bahari but hata Mombasa pia iko karibu na bahari
Umasikini tu kwani hata Miami na Long Beach pia zipo kando yua bahari na huoni rusty rooftops.
 
Sa iyo wetland inasaidiaje kuponya njaa na umaskini walonao wakenya
Utaumia sana kwa wivu ila njaa iko Turkana peke yake sio Kenya.
1553764415670.png
 
Attachments

  • 1553764324566.png
    1553764324566.png
    370.8 KB · Views: 25
Hiyo Nairobi mnavyoisifia mtaa wa Westland .tuwekeeni na picha za kariobangi, kasarani,kibera na mathare basi hahahahaa
 
Hiyo Nairobi mnavyoisifia mtaa wa Westland .tuwekeeni na picha za kariobangi, kasarani,kibera na mathare basi hahahahaa

Tihahahhaaaaa. Kwisha... Ukiona mdangagiza anataja kibra au mathare ujue amebanwa
 
Back
Top Bottom