The world's most powerful people in chitchat 2013-forbes chitchat

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Kuanzia wakurugenzi wa makampuni makubwa,wanasiasa,wajasiriamali,mabilionea,forbes chitchat inawaletea watu wenye nguvu zaidi chitchat,

name; Baba V
organisation;CEO wa Chitchat relationship.kwa kutumia sheria ameweza kurudisha hadhi ya mahusiano CC
age;76
position ;1

name; Arushaone
org; president wa chitchat
age;35
position;2

name; manoah
org; CEO manoah engineering works,inasemekana ndiye mmojawapo wa waliorudisha treni ya mwakyembe kuendelea na shughuli
age;30
position;3

name; Madame B
org;CEO msuto.com,cc job recruiters
age;22
position;4

name; Bishanga
org; CEO ChitChat udaku,ndiye muanzilishi wa kutoa hadharani picha za aibu
age;85
position;5

name; Mamndenyi
org; secretary African Union CC,aliweza kuleta mazungumzo ya amani baina ya kiongozi wa M23 Bujibuji na utawala wa rais wa cconggo
age;30

name; watu8
org;CEO wa advert co, mkurugenzi wa usalama wa taifa,alifanikisha kupatikana kwa pembe za ndovu kenya na china.
Age;59

name; Erickb52
org; chairman wa chitchat restaurant & pub
age;28
position;8

name; Chimbuvu
org;co-founder wa JF forbes
age;19
position;9

name; @C6
org; nyandi inc,software developers
age;22
position;10

name; charminglady
org; international model
age;22
position;11

name; Marry Hunbig
org;secretary United Nations CC
age;24
position;12

name; Ruttashobolwa
org;CEO law firm,ndiye anayesimamia kesi za lulu na papa musofe
age;59
position;13

name; Mr Rocky
org; president JF bank,ndie aliyeikopesha nchi ya tazmania pesa ya uendeshaji gesi
age;40
position;14

name; Donn
org;CEO wa JF telecoms,aliamua kufuata nyayo za mjomba wake Chimbuvu
age;21
position;15
 
Last edited by a moderator:
Ngoja badae waje, sasa ivi network zina sumbua maofisini. Kwaiyo hawapati mawasiliano. Kwani Chimbuvu ujagundua kuna upungufu sana wa member kuanzia ijumaa hadi jumapili.
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu jamani, asante tena hii ndo kazi yangu umri tu ndo umechemka, but anyway inatosha.

name; Mamndenyi
org; secretary African Union CC,aliweza kuleta mazungumzo ya amani baina ya kiongozi wa M23 Bujibuji na utawala wa rais wa cconggo
age;30
 
Last edited by a moderator:
hah! naandamana!
name: Smiling Saint

org:founder umoja wa mabachela wa chitchat (UMACHI)
aliwaunganisha mabachela wote wa chitchat kupinga unyanyasaji wa wenye ndoa wa chitchat
age:kama Erickb52
position: 0.9 (kabla ya 1)
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha
jf raha tupu!
 
Aiseee Chimbuvu nakushtaki kwa Marry Hunbig ... Umekosea age yangu not 18 ni 21yrs bana... Kumbe unatakiwa kuwa unanipa shikamoo kila asubuhi....! Unataka wafanya kazi wangu pale ilovetz.com wanishangae eenh...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…