Sawa mkubwa,sasa hv kamati ipo ktk upembuzi yakinifu
Kwanza unajua wewe ni underage?kurithishwa sehemu tu ya utajiri basi mapembe yameanza kuota
Rufaa zote kwa Baba V ndo anapitia na kutoa maamuzi
Ndio hapo thatha tedo,yaani tulikuwa tumeshampanga kamati ya ulinzi pamoja na zubedayo_mchuzi!
Waambie wapite pande hii, rufaa zao ziwe na mihuri ya wanasheria Ruttashobolwa na Kipipi
Harusi kwani nimeshapokea mahari?